Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kila binadamu anatakiwa apate muda wa kulala.
 
Uelewa mdogo
 
Kila Rais wa Tanzania anaingia madarakani akiwa na hisia kwamba mwenzake alikosea anavuruga weee ingawa hatuoni marekebisho ya kutusogeza mbele.

Hii ni tabia mbovu inayoifanya CCM ishindwe kuwa chama bora cha siasa katika nchi hii. Hatuna mbadala maana wapinzani nao sasa wameufyata! Mbowe yuko hoi, Mbatia out! CUF, ACT.. uchafu tu! Inabidi tuendelee kupiga kelele kwa hawa wanaolindwa Ikulu.

Rais Samia, hatuhitaji kusimuliwa historia, kuna wakati….bhla-bhla! Kuna kipindi…. bhla-bhla! Mwenzangu alikuwa…. bhla-bhla!

Wewe ni Rais unayelindwa na kutunzwa na raslimali za wa-TZ. Tunataka maono yako siyo kusimulia ya zamani!! Ubaya wa Samia anadhani historia ya nchi hii imeanzia kwake na Magufuli, No! Ukitaka historia anzia kwa akina Nyerere, Karume, Jumbe, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Komando, Karume, n.k.

Hizi hadithi za kujikosha zinaonesha bado tuna shida ya uelewa wa marais wetu.
 
We have the best president ever existed before in this nation. Her voice is eminating peace and her facial expression is registering love. What else do we want?

The 5th phase president (actually he was a dictator) was spitting anger, and his eyes illuminated hate. He was a fear-monger and architect of evils.
 
KATIBA mpya itoe DIRA na MAONO ya nchi Kwa miaka mingi ijayo, Marais wote waifuate. ASIWEPO wa kuja na mawazo binafsi.

Ameen
 
Mmepigwa za macho sivyo!! Unapoanza kulaumu wapinzani Chadema, Cuf, NCCR , etc wao wanalaumika vip, utafikiri ndo wenye serikali!!

Kama mitanzania imekaa tu kama mizuzu kila inachoambiwa inakuwa mikondoo tu wao wafanyeje? Nao ni watu wanachoka, wameamua kukaa kimya gari lijiendee tu mpaka mikondoo itakapozinduka!!
 
Anachofanya Samia ni sahihi. Magufuli aliharibu nchi vibaya sana na kupandikiza UWONGO. Ni jukumu la Rais aliyepo madarakani kusahihisha ili WATANZANIA wote wawe na uelewa sahihi.

Kwa mfano Magufuli alikuwa anasema anajenga kwa hela za ndani wakati kiukweli alikuwa anakopa kutoka mabenki ya nje na ndani. Kama Samia hatasema wananchi watadhania kuwa yeye hana uwezo wa kujenga.

Au kitendo cha kupokea gawio kutoka mashirika mufilisi kama TTCL ilikuwa ni UHAYAWANI tu wa Magufuli kutaka sifa za KIJINGA.

Taratibu iko siku tutatajiwa ni nani alituma watu waliomshambulia Tundu Lissu bungeni.
 
Kweli mkuu na mfano mzuri ni Jiwe.
Hata huyu Samia ni hayo hayo tu! Unavyoona usomi anaonekana kuwa mtu mwenye fikra? Naona kama mtu anayesubili la kuambiwa tu. Hawa wote; nilipomuona Samia anacheza taarabu, nikamuona Kikwete akicheza diso, nikamuona Mkapa akicheza kwenye arusi, basi!
 
Mlamba asali ktk ubora wako 😄..Kila Zama na wapiga mapambio wake
 
Duh. Zis English is illuminating, irritating, nincompoop, uncooth, taiwanianation, americation, hypppopotamasing etc
 
Hukumuelewa.ndio tatizo la "kusomea barua m' bahasha".(msemo wa kiswahil unaomaanisha kutoa maelezo ilihali huna uhakika.
Kasema RC ni hadhi ya Juu uwe mwajibikaj sio kuunda syndicate na kuanza kupiga maji.Rc hana rafiki ili uweze ku exercise mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…