Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Utagongewa mkeo ww. Endeleza ujinga tu
 
Magulification of Afrika and Beyond is Ongoing.

Muendelezo wa Ujasiri na Kiburi cha Hayati Magufuli Unaendelea Afrika na Duniani.

Hata Wa Denmark wameunga treni....

Tutazikwa Chato, na hata mtuuite gang yeyote ile tupo vile vile, weusi, werevu na tuna Kiburi.

Wananchi wana haki yao, Kikatiba.
Raisi anazo haki zake Kikatiba.

Tusichagazane


Weka tusi kwa Uangalifu....
 
Wewe jitambue,sio kila mtu anaehoji basi ni mwanasiasa.

Wengine tunachukia wizi wenu tu.
Kila binadamu ni mwizi tunatofatiana level tu. Usipokuwa mwizi lazima ufe haraka sana. This is the rule of life. Ndo mana hata ukiwa unakula peke yako lazima ujiibie kwanza
 
MIRADI ILIYOACHWA NI MIKUBWA NA ILIACHWA IKIWA CHINI YA 20%,HUKU MWENDA ZAKE AKIWA AMEKWISHA KOPA MPAKA KUFIKISHA 71 TR, TUKUMBUKE KUIMALIZIA MIRADI NI LAZIMA, ITAKAPO KWISHA HII MIRADI HATUTAITAJI KUKOPA KWA STAHILI HII, BALI BIDII ITAWEKWA KATIKA KULIPA MADENI.
 
Hoja nzuri ila umetumia maneno makali sana kumtisha rais wetu
 
Jana anasema anaomba akosolewe
Leo anasema atakayemkosoa atadeal naye.

Tujiandae kuokota maiti kwenye viroba. Ni suala la muda tu
 
Miradi mingi unayoitaja kuanzishwa na Magufuli ilianzishwa wakati wa Kikwete. Magufuli alikutana na wakati wa kuiyekeleza tu. Hii ni pamoja na Daraja la Tanzanite, Reli ya SGR (Magufuli aliongeza SHR kuwa ya Umeme), Flyovers zote za Dar, Barabara za Kisasa katika Miji yetu na mingineyo.

Mradi rasmi aliounzisha ni wa Bwawa la Umeme Rufiji, Chato Airport na mingineyo. Kama alivyokuwa Magufuli kutekeleza miradi iliyoanzisha na Kikwete, Mama Samiha pia inabidi aendeleze miradi iliyotokea kwa Magufuli kabla hajaanzisha miradi mingine mikubwa.

Kazi ni kupokezana vijiti.
 
Ni mradi gani rasmi tutakaokukumbuka nao!
Hela ulizokwisha kopa,hazilingani na tunachokiona site...
Kiwango Cha uhimilivu wa mikopo kinachokubalika na Wachumi ni 70%. Sisi bado tuko kwenye 40%. Maana yake ni kwamba hatukopi kiasi Cha kutosha. Ili tuendekee kwa haraka zaidi tunatakiwa tukope zaidi.
 
Mi bado nasoma, nikitoboa maisha nahama nchi
Huyu bibi anatupeleka pabaya sana. Kwanza mswahili balaa, ukimwambia ukweli anakujibu kwa michambo na maneno ya dharau kabisa.

Ipo siku Tanzania itapitia hali ngumu kiuchumi, halafu tutabaki kukumbuka tu chanzo cha hayo yote ni nani na tutajuta kumwachia huyu bibi aongoze nchi.

Binafsi naona na elimu yangu hii ya sasa, ukinipa urais nitaongoza nchi vizuri kuliko huyu bibi
Subirini tu.

Mipango yangu ikitiki naenda zangu Marekani. Hayo matatizo ya kizazi kijacho yawakute wajukuu zenu tu.... sio wangu[emoji38][emoji38]
 
Mkuu

Kuna legacy NYINGI tu zinazungumzwa we unaonaje!!?

-Ndie Rais PEKEE aliejenga Madarasa mengi Sana kea mkupuo tangu Uhuru!

-Ndio Rais PEKEE aliegawa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto chini ya miaka mitano vijijini tangu Uhuru!!

-Ndio Rais PEKEE ambaye amefanya maridhiano na kuahidi marekebisho ya Katiba iliyopo kwa kuita vyama vya UPINZANI vyote,sidhani kama kuna Rais amewahi kuviita vyama vya UPINZANI na kuwaahidi marekebisho ya Katiba iliyopo hapa nchini!!

Mkuu hizo Ndio legacy AMBAYO chama chetu kitazipigia chapuo na nyingine zitakuja Baadae we waonaje MKUU!!!?
 
Huu ni ushauri wangu kwa Rais wa JMT mh Samia

Tujikite kwenye kuimarisha Uchumi kwanza na kuwatengenezea vijana mifumo sahihi ya Kujiajiri

Hali ya Uchumi wa dunia siyo ya kufurahisha

Katiba mpya itakuja lakini kwanza tujikite kwenye hili la Uchumi

Mungu wa mbinguni akubariki sana Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…