blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Painful FACT.Wakati tukilipa,wewe utakuwa ukifaidi kiinua mgongo chako cha 80% ya mshahara wa rais atakayekuwa madarakani kwa wakati huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Painful FACT.Wakati tukilipa,wewe utakuwa ukifaidi kiinua mgongo chako cha 80% ya mshahara wa rais atakayekuwa madarakani kwa wakati huo.
Utagongewa mkeo ww. Endeleza ujinga tuWewe Kama nani wa kumtisha Rais wetu? Wewe Kama nani Hadi umpangie Rais wetu? Hiyo mikutano unayoisena kwenda kuzungumza Ni Nani kairuhusu Kama siyo maamuzi ya Rais wetu? Nani angefanya mikutano ya hadhara Kama Rais wetu asingeruhusu? Ni Nani wa kumtisha Rais wetu Hadi awaogope? Yaani mikutano aruhusu yeye halafu awaogope? Kwa hoja gani mlizo nazo? Kwa Sera na ajenda zipi?
Watanzania siyo wajinga Kama unavyofikiria wewe ukiwa unaota ndoto? Unafikiri watanzania hawaoni miradi ya maendeleo ikifanyika na kukamilika kwa ufanisi? Unafikiri hawaoni Elimu ikitolewa bure bila bughudha kwa wananchi kuwasumbua mamichango? Unafikiri hawaoni mabillioni ya Ruzuku katika mbolea? Unafikiri hawaoni miradi ya reli na bwawa inavyokwenda kwa Kasi? Unafikiri hawaoni namna mairadi Kama daraja la wami yalivyo amsha Tabasamu la watanzania?
Kwa hiyo hiyo ndio hoja dhaifu mnayokwenda nayo kwenye Hiyo mikutano? Hakika mmepotea njia kabla ya kuanza hata safari, Hamna Cha kuwaeleza watanzania kitakachoeleweka nakuungwa mkono maana watanzania wameridhishwa na kazi iliyotukuka ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia
Kila binadamu ni mwizi tunatofatiana level tu. Usipokuwa mwizi lazima ufe haraka sana. This is the rule of life. Ndo mana hata ukiwa unakula peke yako lazima ujiibie kwanzaWewe jitambue,sio kila mtu anaehoji basi ni mwanasiasa.
Wengine tunachukia wizi wenu tu.
MIRADI ILIYOACHWA NI MIKUBWA NA ILIACHWA IKIWA CHINI YA 20%,HUKU MWENDA ZAKE AKIWA AMEKWISHA KOPA MPAKA KUFIKISHA 71 TR, TUKUMBUKE KUIMALIZIA MIRADI NI LAZIMA, ITAKAPO KWISHA HII MIRADI HATUTAITAJI KUKOPA KWA STAHILI HII, BALI BIDII ITAWEKWA KATIKA KULIPA MADENI.Ni mradi gani rasmi tutakaokukumbuka nao!
Hela ulizokwisha kopa,hazilingani na tunachokiona site.
Ulianza na Ndugai ukamla kichwa!
Kosa amehoji kuhusu Mikopo!
Akaja mbunge wa kisesa Luhaga Mpina mkamla kicha U-Nec CCM!
Kisa amehoji kuhusu mikopo!
Leo umesema wazi kwamba atakayehoji kuhusu Mikopo ajiandae kudeal na Mwenye Serikali yake.
Gerald Hando amepoteza kazi EFM- Radio.
Kisa Mmiliki wa Radio ametishika na kauli yako uliyoitoa live kwa wanasiasa ukiwa Ikulu.
Kama unakopa mikopo nje,kumbuka pia ulipewa pia mabilioni ya Uviko!
Wananchi wanalipa kodi zote stahiki.
Tozo kwenye Miamala yetu inaendelea.
Ebu tuambie tofauti na miradi ya ujenzi wa mashule,ambao pia ni muendezo wa serikali ya JPM.
Ni kipi ambacho ndio mradi mkubwa uliobuniwa na serikali yako wewe kama wewe!
Maana!
SGR,JNHP,Daraja la Tanzanite,
Daraja la Busisi Mwanza.
Madawati nchi nzima,
Meli ziwa Nyasa,
Meli ziwa Victoria,
Masoko makubwa Mwanza,
Morogoro na Stendi za mabasi kubwa zote,Daresalaam mwanza na kwingineko.
Ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.
Ni mawazo na miradi iliyoanzishwa na JPM.ingawa sasa mnasema watu wazuri hawafi.
Maisha mtaani yanazidi kuwa Magumu.
Bei hadi ya bidhaa za humuhumu mfano kama nyama ya ngombe ziko juu.
Wewe kila uchao ni.... safari,Makongamano,warsha na mikutano kila idara ya serikali ikiendelea ili tu waweze kula urefu wa kamba zao.
Hilo bwawa la Nyerere tuliambiwa mkandarasi alikwisha lipwa awamu ya tano.
Na hadi sasa yeye mkandarasi ndie alipaswa kutulipa fidia ya 1.5 trilioni kwa kuchelewesha kazi.
Lakini hatumsikii Makamba wala Maharage wakiliongelea hilo.
Pamoja na kuhojiwa hadi huko bungeni.
Usitutishe maana walipaji ni sisi wala sio wewe.
Wakati tukilipa,wewe utakuwa ukifaidi kiinua mgongo chako cha 80% ya mshahara wa rais atakayekuwa madarakani kwa wakati huo.
Vinginevyo tutahisi kwamba kuna namna hiyo mikopo haitumiki sahihi.
Kuliko kutisha wahoji mikopo,wewe ungedhibiti ufisadi uliotamalaki huko kwenye miradi inayoendelea.
Dhibiti wizi kwenye Force Account s za ujenzi wa miradi.
Sio kujifanya msafi kumbe na wewe unao upande wako.
Kwa sababu umeruhusu mikutano,subiri uanze kupewa za uso.
Machawa wamejaa humu sababu wewe unaleta na wao wanaiba!
Kwa nini wasikusifie.......
Hoja nzuri ila umetumia maneno makali sana kumtisha rais wetuNi mradi gani rasmi tutakaokukumbuka nao!

Jana anasema anaomba akosoleweNi mradi gani rasmi tutakaokukumbuka nao!

Jf raha sana,uzuri watu hawana info
Weka taarifa zako humuHuyo ni mpumbavu tusihoji mikopo yeye nani mafiii ya bata
Vp,inabidi awake majina yake,namba ya sim,mtaa/eneo analoishi mmepe.Wewe Kama nani wa kumtisha Rais wetu? Wewe Kama nani Hadi umpangie Rais wetu? Hiyo mikutano unayoisena kwenda kuzungumza...
Wamepata UhuruJf raha sana,uzuri watu hawana info
Zako ...humu unavimba na kutamba
Tu
Ova
Kiwango Cha uhimilivu wa mikopo kinachokubalika na Wachumi ni 70%. Sisi bado tuko kwenye 40%. Maana yake ni kwamba hatukopi kiasi Cha kutosha. Ili tuendekee kwa haraka zaidi tunatakiwa tukope zaidi.Ni mradi gani rasmi tutakaokukumbuka nao!
Hela ulizokwisha kopa,hazilingani na tunachokiona site...