Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Umeaandika ushuzi

Inamaana hujui hitajio la vijana ambao ndio majority citizen
 
Unaamini kabisa kwenye utawala wa awamu ya 5 hakuna upigaji?
 
Samia Suluhu Hassan sasa ndiye Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini yapo mambo tisa yanayomsubiri ayapatie ufumbuzi katika siku 1,691 atakazohudumu madarakani kutoka sasa hadi mwaka 2025 utakapofanyika uchaguzi mkuu...
Ongeza suala la kupambana na covid 19
 
Saalam,

Kiongozi anayefanya maovu kwa kukusudia lazima ajiwekee ulinzi mkubwa na Kinga ya mashitaka dhidi yake.

Mh Rais, tunakuamini kuwa unapenda haki. Pia tunajua hakuna mkamilifu duniani hivyo ondoa Kinga hiyo ili inayowakinga wasijione miungu Kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita.

Tumeona spika wa bunge akitoka nje ya madaraka yake wazi wazi na viongozi wenye Kinga hiyo
 
ni wazo zuri kusubiria trend ya chanjo. ila si kweli kuwa wamesitisha chanjo zote. wamesitisha aina moja na bado wanaendelea na zingine.
 
Mheshimiwa Rais Samia Hassan Naomba Katika Nafasi zako za Uteuzi usimsahau Mwanamke Mwenzako mama Janeth Magufuli

Kibinadamu nimemuhurumia Sana baada ya kupata fursa ya Kujua Mambo aliyokuwa akimshauri Mme wake kuhusu Upendo na Umoja wa Kitaifa, japo Hayati hakuyatilia maanani,
Sitayaongea yote Ila Naomba umkumbuke

ni mawazo yangu


britanicca
 
Ana experience katika fani gani huyo mama janet?
 
Achukue nafasi ya Joyce kule elimu!
 
Muhimu asikilize wananchi wanataka nn,mzee wetu maswaiba zake ndio walimfunza tabia mbaya.Angewasikiliza watz asingekuwa vile.
 
Mama simamisha taasisi imara. Watu wanalazimishwa kufunga biashara kwa ajili ya maombelezo kweli!?
Nalog off
 
Acha lijengwe mnataka kila kitu kijengwe dar 🤣
Tukamilishe SGR kuelekea Kigoma badala ya Mwanza.
Mwanza hakuna biashara ya Shirika la Reli Tanzania, TRC.
Miradi iliyolenga Mwanza ilichochewa na Ukabila badala ya vigezo vya uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…