Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Poleni Sana na maombolezo ya mpendwa hayati JPM.

Nakumbuka kipindi cha JK ilifika mahali watu tumejiamini na kuamini kwamba unaweza kujiajiri kwenye sekta binafsi kama biashara ,kilimo ,consultants,makampuni nk na tukajiajiri na maisha yakaenda.

Lakini miaka mitanoiliyopita ilifika mahala kujiajiri ni kama mzigo au kusukumiziwa jumba bovu maana moja haikai wala mbili haikai.Wimbi kumbwa la kulilia ajira za serikali liliibuka maana mtaani hakusomeki.

Tunaomba Sana mh.Rais Madam Mama Samia turejeshee mazingira bora ya kufanya biashara Ili tujiajiri na kujenga spirit ya kuamini kwenye sekta binafsi badala ya sekta ya umma.

Mwisho ni vyema elimu yetu itazamwe upya Ili itoe ujuzi na maarifa yanayoweza kutufanya kujiajiri kwa tija na kuajiriwa kwenye soko la kimataifa.Tusiwe na elimu yenye scope na kutujengea mind set ya kuajiriwa ndani ya nchi tuu.

Watanzania wengi kwa sasa hatuwezi kuvuka border huko Duniani kusaka pesa,moja ya sababu kubwa ni kwamba hatuko aggressive kwa kuwa hatujajengwa kuamini kujiajiri na pia tuna tatizo la lugha hususani kiingereza kama ilivyo kwa wenzetu wa Nigeria,Wa Kenya au South Africans.

Nimtakie kila la heri mh.Rais kwenye kutongoza na pole kwa wafiwa.RIP JPM
 
MRADI MKUBWA KABISA WA KUANZA NAO NI.

[emoji3504]Kutuunganisha kama taifa.

Uzuri wa mradi huu ni kwamba hauna gharama kubwa ya matumizi ya rasilimali.

Mradi huu Hauhitaji wakandarasi, unahitaji utashi na maamuzi.

Hauhitaji upembuzi yakinifu na michakato, unahitaji meza ya duara tu.

Hauhitaji teknonlojia za kisasa, unahitaji hekima na busara kutoka vichwani,moyoni na vinywani.

Mengine yote Kama Treni ya umeme, umeme mto rufiji, barabara, madaraja, hospitali, maji, elimu bure n.k iwe mwendelezo alipoishia Hayati JPM Ni rahisi Sana kuyatekeleza tukiwa wamoja wenye Ari, nguvu, umoja na kupendana

#UmojaNiNguvu
 
mradi wa pili ni kustopisha miradi yote inayoendelea kule Chattle
 
MRADI MKUBWA KABISA WA KUANZA NAO NI.

[emoji3504]Kutuunganisha kama taifa.

Uzuri wa mradi huu ni kwamba hauna gharama kubwa ya matumizi ya rasilimali.

Mradi huu Hauhitaji wakandarasi, unahitaji utashi na maamuzi.

Hauhitaji upembuzi yakinifu na michakato, unahitaji meza ya duara tu.

Hauhitaji teknonlojia za kisasa, unahitaji hekima na busara kutoka vichwani,moyoni na vinywani.

Mengine yote Kama Treni ya umeme, umeme mto rufiji, barabara, madaraja, hospitali, maji, elimu bure n.k iwe mwendelezo alipoishia Hayati JPM Ni rahisi Sana kuyatekeleza tukiwa wamoja wenye Ari, nguvu, umoja na kupendana

#UmojaNiNguvu

Mradi huu ni bora uende sambamba na kuwa na mwongozo mpya kuhusiana na Corona.

Gonjwa hili linatupotezea watu muhimu sana kwa ujenzi wa nchi hii.

Gonjwa hili linatupotezea raslimali nyingi kushughulika na misiba.
 
Kuna viumbe kwenye nchi utapoteza nguvu zako kuwaunganisha lakini hawaunganishiki.
Mfano mtu Kama Lisu unamuunganisha vipi wakati akili inawaza kutetea mashoga na mabeberu
 
Mradi huu ni bora uende sambamba na kuwa na mwongozo mpya kuhusiana na Corona.

Gonjwa hili linatupotezea watu muhimu sana kwa ujenzi wa nchi hii.

Gonjwa hili linatupotezea raslimali nyingi kushughulika na misiba.
Aisafishe wizara ya Afya mapema sana,
Dr Gwajima arudi wodini akatibu wagonjwa,na naibu wake arudi bungeni pamoja na katibu wao fyekelea mbali.
Tupime corona na kutoa elimu ya kutosha.
Chanjo ichunguzwe kama inafaa haraka iingie kwenye matumizi
 
Kushughulika na wizara hii na mwongozo kuhusiana na ugonjwa huu vunapaswa kufanyika katika hali ya dharura sana.

Hamna sababu ya kuendelea kupoteza watu ambao maisha yao yanaweza kulindwa.

Wito wa huyu mwamba si haba:

IMG_20210321_221658_828.jpg
 
MRADI MKUBWA KABISA WA KUANZA NAO NI.

[emoji3504]Kutuunganisha kama taifa.

Uzuri wa mradi huu ni kwamba hauna gharama kubwa ya matumizi ya rasilimali.

Mradi huu Hauhitaji wakandarasi, unahitaji utashi na maamuzi.

Hauhitaji upembuzi yakinifu na michakato, unahitaji meza ya duara tu.

Hauhitaji teknonlojia za kisasa, unahitaji hekima na busara kutoka vichwani,moyoni na vinywani.

Mengine yote Kama Treni ya umeme, umeme mto rufiji, barabara, madaraja, hospitali, maji, elimu bure n.k iwe mwendelezo alipoishia Hayati JPM Ni rahisi Sana kuyatekeleza tukiwa wamoja wenye Ari, nguvu, umoja na kupendana

#UmojaNiNguvu

Taifa mbona moja hili Mkuu, ondoa shaka. Wanaojitenga ni wale wanaohitaji kiti tu nothing else
 
Madam President sasa umekuwa Katika wadhifa mkubwa ambao tunaamini kuwa kero za muungano zinaweza kutatuliwa kikatiba hata siku tatu, najua before ulikuwa na bosi wako ambae ndio muamuzi wa mwisho.

Fursa hii haitaweza kutokea tena, na lile lengo lako la awali kama hutalisimamia utatudhihirisha wazanzibari kuwa ilikuwa ni babaisha bwege tu.

Tunakuomba baada ya msiba huu, kazi itaanza mara moja Insha Allah

Ngoja 40 ipite kwanza ndio aanza wiring ya nyumba

Nawatabiria uhamsho out
 
JK walimtisha Katiba mpya akawaogopa wakati akiwa Amiri jeshi Mkuu, Je mama anaweza kuliamsha dude??
 
Ukitaka ufanikiwe fumua upya TISS na Teua mkurungenzi mpya shirikiana na mkuu wa majeshi vizuri
Badili spiker wa bunge
Na kaa vizuri na jk ni mtto wa mjini ila utajifunza mengi na utatengeneza mfumo wako mpya na wenye nguvu zaid kuliko kutegemea mfumo ambao umeukuta haujui upo kimaslahi au kinchi kuwa wewe kma ww usiogope kupotezwa au kuchukiwa n kikundi cha watu fanya mambo yako kwa kumuogopa mungu n kutanguliza maslahi ya nchi usiogope mtu kwa kuwa mamlaka unayo
 
Tukamilishe SGR kuelekea Kigoma badala ya Mwanza.
Mwanza hakuna biashara ya Shirika la Reli Tanzania, TRC.
Miradi iliyolenga Mwanza ilichochewa na Ukabila badala ya vigezo vya uchumi.
Sasa ukabila gani ndugu mbona una mawazo potofu
 
Back
Top Bottom