Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Poleni Sana na maombolezo ya mpendwa hayati JPM.
Nakumbuka kipindi cha JK ilifika mahali watu tumejiamini na kuamini kwamba unaweza kujiajiri kwenye sekta binafsi kama biashara ,kilimo ,consultants,makampuni nk na tukajiajiri na maisha yakaenda.
Lakini miaka mitanoiliyopita ilifika mahala kujiajiri ni kama mzigo au kusukumiziwa jumba bovu maana moja haikai wala mbili haikai.Wimbi kumbwa la kulilia ajira za serikali liliibuka maana mtaani hakusomeki.
Tunaomba Sana mh.Rais Madam Mama Samia turejeshee mazingira bora ya kufanya biashara Ili tujiajiri na kujenga spirit ya kuamini kwenye sekta binafsi badala ya sekta ya umma.
Mwisho ni vyema elimu yetu itazamwe upya Ili itoe ujuzi na maarifa yanayoweza kutufanya kujiajiri kwa tija na kuajiriwa kwenye soko la kimataifa.Tusiwe na elimu yenye scope na kutujengea mind set ya kuajiriwa ndani ya nchi tuu.
Watanzania wengi kwa sasa hatuwezi kuvuka border huko Duniani kusaka pesa,moja ya sababu kubwa ni kwamba hatuko aggressive kwa kuwa hatujajengwa kuamini kujiajiri na pia tuna tatizo la lugha hususani kiingereza kama ilivyo kwa wenzetu wa Nigeria,Wa Kenya au South Africans.
Nimtakie kila la heri mh.Rais kwenye kutongoza na pole kwa wafiwa.RIP JPM