Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaamini kabisa kwenye utawala wa awamu ya 5 hakuna upigaji?Umeacha moja la muhimu sana, nalo ni "Kujitoa sadaka" kwa manufaa ya Nchi. Bila kuji sacrifice, kwa Afrika ni ngumu sana kulinda rasilimali za Nchi kwa manufaa ya Wananchi.
Tukumbuke, mpaka sasa NYANI waliokuwa wanakula mazao shambani, wamejipanga sawasawa kwa kazi hiyo.
Ongeza suala la kupambana na covid 19Samia Suluhu Hassan sasa ndiye Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini yapo mambo tisa yanayomsubiri ayapatie ufumbuzi katika siku 1,691 atakazohudumu madarakani kutoka sasa hadi mwaka 2025 utakapofanyika uchaguzi mkuu...
ni wazo zuri kusubiria trend ya chanjo. ila si kweli kuwa wamesitisha chanjo zote. wamesitisha aina moja na bado wanaendelea na zingine.Usituingize mkenge!! Hii chanjo bado iko kwenye majaribio! Tujipe muda wa kuona hao waliochanjwa kama miaka miwili hivi! Hata baadhi ya nchi za ulaya zimesitisha hata baada ya kushauriwa ziendelee na chanjo!! Hasira ya makaburu na mabeberu iko hapo!..
Favor?Mheshimiwa Rais Samia Hassan Naomba Katika Nafasi zako za Uteuzi usimsahau Mwanamke Mwenzako mama Janeth Magufuli....
kuna njia nyingi sana za kumsaidia huyu mama. ila si kwa kumpa vyeo vya shukurani.Mheshimiwa Rais Samia Hassan Naomba Katika Nafasi zako za Uteuzi usimsahau Mwanamke Mwenzako mama Janeth Magufuli....
Achukue nafasi ya Joyce kule elimu!Mheshimiwa Rais Samia Hassan Naomba Katika Nafasi zako za Uteuzi usimsahau Mwanamke Mwenzako mama Janeth Magufuli
Kibinadamu nimemuhurumia Sana baada ya kupata fursa ya Kujua Mambo aliyokuwa akimshauri Mme wake kuhusu Upendo na Umoja wa Kitaifa, japo Hayati hakuyatilia maanani,
Sitayaongea yote Ila Naomba umkumbuke
ni mawazo yangu
britanicca
Wewe ndio uhitaji sio sisiKatiba mpya ni takwa la wapinzani kupata political mileage, kiuhalisia hatuhitaji katiba mpya.
HUU NI MSIMAMO WA CHAMA CHETU CHA CHADEMAWewe ni Mrundi?
Tukamilishe SGR kuelekea Kigoma badala ya Mwanza.Acha lijengwe mnataka kila kitu kijengwe dar 🤣
Balaa tupuSure yaan...kasepa na yake.Siye tunamwangalia huyu sasa