Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Inashangaza na kuhuzunisha aibu kwa Wasome wetu.Msomi mzima unasaini mkataba wa milele?
Hata km ungekuwa una manufaa kiasi gani ila hiyo milele. HAPANA
Wamejichanganya sana, waseme bandari imeuzwa tu. Hakuna mkataba wa milele.
Natamani sana wapate Elimu Maisha yamebadilikaNdo naanza kuamini hakuna akina salama leku wanajua alufa bete pekee elimu dunia hawajui kitu mfano hawa waarabu wa dpw wangekuwa na elimu wasingeweza kuandika mkataba wa namna ile wanahisi zama za ukolon
Asalama leku ....Ndo naanza kuamini hakuna akina salama leku wanajua alufa bete pekee
HIlo hakiwezekan cz ya mfumo uliopo!!Sijui kwanini hatuna viongozi wenye uchungu na hii nchi
Aendelee kuwaamini hao washauri fake wake hadi siku anaambulia kura MojaJe unampa ushauri gani ukimshauri ajue yuko alipo kwa muda na hivyo, awe makini?
Karibuni wanangu wapendwani
Kwanza huyo nape mwenyewe alishamtukanaga mwenda zake na sauti zikaja public mbona ye hakushtakiwa na kesi ya uhaini yaani wajinga wachache wanaleta taaluki nchiniAendelee kuwaamini hao washauri fake wake hadi siku anaambulia kura Moja
Sina ushauri Bali aibu hii itamuandama Hadi kaburiniView attachment 2721013
Kwa wanaofuatilia kinachoendelea nchini, Tanzania saa ni taifa la kipolisi. Kwani, polisi wanaweza kukamata yeyote wamtakaye na kumfungulia kesi hata asiyohusika nayo hasa anapokuwa mpinzani wa serikali au agenda zake. Mfano wa karibuni ni kukamatwa kwa watajwa hapo juu siyo kwa sababu hawawezi kutenda jinai. La hasha. Ni kwa sababu kesi waliyofunguliwa circumstantially, hawakutenda. Kwa sababu, wahusika walitumia uhuru wao wa kujieleza, hii haiwezi kuwa uhaini. View attachment 2721008
Kwa mambo yanavyokwenda, wapo wanaodhani kuwa rais mama anaingizwa mkenge ili wakati wa kutafuta mgombea urais wa CCM apigwe chini. Je wewe unampa ushauri gani rais mama ili kuepuka kuingizwa box na kujuta baadaye? Je unampa ushauri gani ukimshauri ajue yuko alipo kwa muda na hivyo, awe makini?
Karibuni wanangu wapendwani
Rais wa mchongo, kaonewa, hana zlsifa za kuongoza nchi labda kitchen partyHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Huu ushauri wako ulitakiwa kuutoa kabla mambo hayaja haribika. Kwa sasa naweza kusema, it is too late.Mh.Rais wangu usipokuwa makini wamebakia pointi Moja kugonga mvinyo.
Sisi mashabiki wako tunakupenda na tunapenda uendelee,hatupendi kabisa kurudi kule Kwa watu wanaoamini mkono wa chuma,watatufukarisha.
Huo ndio ukweli mama anachonganishwaAcha urongo
Lakuvunda Halina hubaniMh.Rais wangu usipokuwa makini wamebakia pointi Moja kugonga mvinyo.
Sisi mashabiki wako tunakupenda na tunapenda uendelee,hatupendi kabisa kurudi kule Kwa watu wanaoamini mkono wa chuma,watatufukarisha.
Mpaka dubai kote, aseme tu tumpe template nzuri kwa manufaa ya nchi yetuNingewachukua Hawa wanaopiga kelele akina lisu, Shivji, mwabukusi, mdude, slaa nk nikawaambia twendeni Dubai tukaandike mkataba upya