kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ukiwa umeambiwa Mimi (wewe), monyo wa ITV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndio mh.Rais SSH?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Sawa tutalifatilia
Habari ndiyo hiyo....!!1.wakuu wa mikoa yooote ya tanganyika. Wanafata pesa.
2.Wakuu wa wilaya wooote wa tanganyika wanafata pesa.
HAPANA
Ndo kamba zenyewe hizoMheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan taarifa ikufikie kuwa mpaka hivi sasa Mwanao na Mzalendo Halisi wa Tanzania GENTAMYCINE nakuandikia hapa JamiiForums ni kwamba tayari Makampuni Sita ( 6 ) kutoka nchini Uturuki yaliyoko Mkoa wa Pwani na yalitokuwa yakiitumia Bandari ...
Askofu bagonza alishasema tatizo sio tumeshindwa kuiendesha bandari bali tatizo la tanzania ni rushwa,rushwa mpaka misikitini na makanisani alafu tunahangaika kulalamikia mambo mengi.Wakuu wa mikoa, wilaya na mapolisi ni kupe katika ngozi za wawekezaji hapa nchini.
Uwekezaji Tanzania ni kero tupu kwa sababu ya rushwa.
Msomi wa kitu gani?Msomi mzima unasaini mkataba wa milele?
Hata km ungekuwa una manufaa kiasi gani ila hiyo milele. HAPANA
Wamejichanganya sana, waseme bandari imeuzwa tu. Hakuna mkataba wa milele.