Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan taarifa ikufikie kuwa mpaka hivi sasa Mwanao na Mzalendo Halisi wa Tanzania GENTAMYCINE nakuandikia hapa JamiiForums ni kwamba tayari Makampuni Sita ( 6 ) kutoka nchini Uturuki yaliyoko Mkoa wa Pwani na yalitokuwa yakiitumia Bandari ...
Ndo kamba zenyewe hizo
 
Wakuu wa mikoa, wilaya na mapolisi ni kupe katika ngozi za wawekezaji hapa nchini.
Uwekezaji Tanzania ni kero tupu kwa sababu ya rushwa.
Askofu bagonza alishasema tatizo sio tumeshindwa kuiendesha bandari bali tatizo la tanzania ni rushwa,rushwa mpaka misikitini na makanisani alafu tunahangaika kulalamikia mambo mengi.
 
Kumuandikia huyo mama ni kupoteza muda, kibarua tulichompa kimemshinda, kila Kona watendaji wanaharibu na hawachukuliwi hatua yoyote.
 
Ila aibu jmn mkuu wa mkoa/wilaya unaacha kushughulikia mambo ya muhimu kazi kwenda kusumbua hawa watu kisa hela.Roho ya kimaskini mbaya sana penye roho ya kimaskini hapatakaa paendelee.
 
Kwasasa Bungeni kuna Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Waziri Mkuu mwenye Naibu Waziri Mkuu, Hongera ulimuondoa Katibu Mwenezi Mstaafu wa Chama.

Pia kuna Wabunge ambao wengi wao wanatuhumiwa kuwa ubunge walipewa tu bila kushinda na Wabunge hawa wanatoka Majimboni na wengi wao ni ama hawapatani na viongozi wa Chama au wanapatana nao na zaidi ya 60% ni Watanganyika ambao nafsi zao huenda zinawiwa kulipa fadhila. Aidha kwa upepo ulioko nje kwa Wananchi wengi wa wabunge hawa wanakuogopa kujinasibisha na wewe kisiasa.

Huku nje kuna DP World, Waraka wa TEC, Watanganyika, Sukuma Gang, na Chadema. Mpaka january Mwakani Mama Upinzani utakuwa mkali sana. Watu kama sisi tusiokuwa na unafiki ndio tutakusaidia. Tuendelee kunywa mtori.

Binafsi nilimpenda sana Magufuli na ninaona umeachana na mambo yake karibu yote. Nasikitika sana. Natamani urudi kwenye drawing board uanze upya
 
REA Kuna rushwa na ulaghai sugu Kama ifuatavyo main contractor wote ktk uombaji wa tenda vigezo ili wapate tenda bond security bank kuthibitisha wanauwezo wa kuziendesha kazi kwa gharama zao na kutoa facility zote kuwa na vitendea kazi na vifaa vya usalama kazin na magari wanathibitisha ktk uombaji kazi ukija ktk uarisia wanapotoa sub contractor awatoi sent tano kwa sub kuanzia mobilization gari mafuta in advance mpaka working tools and safety gear kuonyesha asilimia tisin running cost anabeba sub contractor mpaka kufata vifaa warehouse ili linathibitisha uwozo kuanzia tanesco wasimamizi wa mirad weekend rushwa sugu na ulaghai kuidanganya serikali kuijumu ili tunaomba watu wa rushwa waliosinzia wazinduke kuwachunguza rea mpaka tanesco pesa serikali inachukuliwa na madali rea asilimia tisin contractor abebi achochote aendeshi kazi ajiri nk vyote anabeba sub contractor rea ni Bora kazi izo wapewe ata kampun ndogo ndogo wafaidike kwasababu Kama sub contractor anao uwezo wa kubeba running cost mwenyewe bila kuwezeshwa na contractor main .Tena isitoshe wanatumia jina la jamuhuri ya muungano watanzania kuitanganya selikali na kupeleka mapato nnchin kwao na selikali kubaki haina kitu Kuna haja kwa vyombo vinavyohisika kufatilia kwa ukaribu na kuchukua hatua na kampun ndogo za ndani kupewa kukandaras wa umeme nnchin Wakandaras wa ndani kwa asilimia bila ukaguzi kwa makandasi wa nje kufika site
JPEG_20230830_223812_8674898262055816349.jpg
 
Msomi mzima unasaini mkataba wa milele?
Hata km ungekuwa una manufaa kiasi gani ila hiyo milele. HAPANA
Wamejichanganya sana, waseme bandari imeuzwa tu. Hakuna mkataba wa milele.
Msomi wa kitu gani?
 
Shikamoo mama .achana na utamaduni wa kuteua teua ovyo na reform TISS wanaweka majina ya rafiki zao ndo maana hujui kwa majina wala kwa urafiki na ww wengi wao.nikikuona nitauliza majina hata ya wakuu wa mikoa hujui .mbwa huwa anaheshimu anaemlisha hawakuheshimu wewe wanaheshimu anaewalisha (aliewambia wiki ijayo mama anakuteua)
Mwisho ukiondoa DPW ambayo najua iko nje ya uwezo wako kuzuia kwa sasa maana ushakamatika .ww ni rais mzuri na tunakupenda
 
Habarini wanajf ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku.
Hoja yangu kwenu naomba mnieleze ni njia gani haswaa inayofaa kumtumia Rais wetu wa Tanzania barua ambayo itamfikia yeye mwenyewe bila kufichwafichwa?
Nauliza hivi kwani nilituma barua kwa Rais wetu mama Samia mara tatu bila kupata majibu nikawa nahisi barua zetu sisi wananchi mara nyingi hutupiliwa mbali; tafadhali kwa anaefahamu anijuze. Ikiwezekana zaidi nijuze kupitia whattssapp namba 0624726872.
 
Straight to the point;-

Wiki kadhaa zilizopita , niliona kwenye vyombo vya habari Mhe. Rais akimtumbua Mkuu wa Wilaya ( nimesahau jina la Wilaya hiyo )...kwasababu ya kushindwa kufanya majukumu yake ipasavyo mpaka ikapelekea baadhi ya wana ccm wa eneo lile kurudisha kadi za CHAMA CHA MAPINDUZI.

Tafadhali, Mhe. Rais...kwà HEKIMA na BUSARA zako....tena haki kwenye eneo Hili pia...Huyu nae kashimdwa kufanya majukumu yake...

View: https://youtu.be/JWEVOz0WBug?si=ywdy-IxJJV09VW3x
 
Ndugu leo tena nijaribu kuimba lile shairi la wabunge wa CCM.

Binafsi nimshukuru raisi maana leo hadi saa 1 nanusu hii umeme haujakatika. Mama wewe unatujali sana. Sisi ni nani hata tusikatiwe umeme?

Hakika mama kwa hili unaupiga mwingi mitano tena kwako. Angalau leo kwa mara ya kwanza nimechaji simu hadi asilimia 20.

Wewe mama unafanya mapinduzi na mageuzi makubwa.

Unaupiga mwingi sana
Mtwa mkulu kiongozi wa wala mbwa jf
075486281 (kwa uteuzi)
 
Back
Top Bottom