mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Rekebisha.Ndugu leo tena nijaribu kuimba lile shairi la wabunge wa CCM.
Binafsi nimshukuru raisi maana leo hadi saa 1 nanusu hii umeme haujakatika. Mama wewe unatujali sana. Sisi ni nani hata tusikatiwe umeme?
Hakika mama kwa hili unaupiga mwingi mitano tena kwako. Angalau leo kwa mara ya kwanza nimechaji simu hadi asilimia 20.
Wewe mama unafanya mapinduzi na mageuzi makubwa.
Unaupiga mwingi sana
Mtwa mkulu kiongozi wa wala mbwa jf
075486281 (kwa uteuzi)
Alikuwa anauwahi umeme kabla haujakatikaRekebisha.
Samia.
Suluhu.
Hassan.
Rais.
Jamhuri.
Ile akili ni kubwa mno...hawakutaka kuitumiaamesahau kama ingekanyagwa kama anavyotaka asingekua alipo leo.
yote kwa yote kijana wa kakulwa aliona mbali sana.
Ile Kashfa Kubwa ( ya Magomeni Mapipa kwa Macheni ) iliyopelekea kuanzishiwa Uzi hapa JamiiForums uliitolea ufafanuzi ili Usafishike?Una kitu ila hujui kuandika Kwa mpangilio yani heading yako huwa ni uzi tosha halafu kwenye content unarudia Yaleyale ya kwenye HEADING
Out of topic, unaleta mada tofauti na huu uzi, jitafakari mkuu usijifanye intelligent kubwa bichwa imejaza miuji tu [emoji57][emoji57]Ile Kashfa Kubwa ( ya Magomeni Mapipa kwa Macheni ) iliyopelekea kuanzishiwa Uzi hapa JamiiForums uliitolea ufafanuzi ili Usafishike?
Ile Kashfa Kubwa ( ya Magomeni Mapipa kwa Macheni ) iliyopelekea kuanzishiwa Uzi hapa JamiiForums uliitolea ufafanuzi ili Usafishike?Out of topic, unaleta mada tofauti na huu uzi, jitafakari mkuu usijifanye intelligent kubwa bichwa imejaza miuji tu [emoji57][emoji57]
Ila ujipange kama uko frontHatutochoka kumkosoa Samia mtangulizi wake na ukali wake tulimkosoa Urais sio Uungu!!
Urais sio cheo cha malaika au cha Mungu baba useme hutokosolewa
Wembe tuloutumia kumnyolea mtangulizi wake tutamnyolea na yeye asidhani tunamuogopa
Kama anatafuta huruma na hataki kukosolewa basi ajiuzulu Urais akalee wajukuu Kizimkazi nchi na ikulu sio mali ya familia
Huwezi kuendesha nchi hovyo hovyo halafu unataka tukukenulie tuseme unaupiga mwingi
Tuna bahati mbaya sana kuwa na Rais kama huyu!!
,kwanza tokea kaingia ni lipi la maana kalifanya zaidi ya kuzurura tu na kutuongezea makodi na matozo?Halaf eti anataka huruma wa wananchi
Kwanza mpeni taarifa kwamba mtaani hawamuelewi hata apige kelele hadi moto utoke mdomoni hatumuelewi ng'oo!!
Eti anaupiga mwingi[emoji35][emoji35] kuupiga mwingi my foot!!