Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Yule ni mwizi pro max, hawezi kurudi pale.Samia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni mwizi pro max, hawezi kurudi pale.Samia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
Kwanini asirudishwe Kalemani?Samia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
kichaa muokota makopo kabisa Makamba alitakiwa anyongwe tamaa ya wizi wake ndo imetufikisha hapaSamia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
Hizi ndio akili za vijana mnaowaza simba na yanga mambo yanayohusu nchi ni mazito sana kwenu nyieSamia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
Yaani arudishe muanzilishi wa mgao!Samia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
Acha za kuleta hapa.Samia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
Sahihi kabisa huyu wa sasa hatumuelewi kabisa.Samia,Turudishie Makamba, mgao umeme umekuwa Too much!
Tunateseka Sana.
Tuendelee Kumpongeza MamaWakati tuko mbioni kupata Rais mpya wa sita katika awamu ya tano. Tunamsihi sana apate kutekeleza majukumu yake katika Maslahi Mapana ya taifa. Na apate kutambua pia maana ya kauli ya Maslahi Mapana ya taifa. Maana viongozi wengi huamini Maslahi ya taifa Ni katika vitu tu hususa (miundo mbinu, rasili Mali vitu, n.k) na hukomea hapo.
Kiuhalisia si hivyo, Maslahi Mapana ya taifa huanzia kuunganisha taifa lipate kuwa kitu moja bila kujali itkadi za aina yoyote si za kisiasa na si za kiimani na si kikabila wala za kijinsia. Lengo hapa ni taifa lipate kushikamana na kushirikiana bila chuki Wala ubaguzi. Utawala uliopita ndani yake ulikuwa na chuki na ubaguzi wa wazi wazi.
Pili Maslahi Mapana ya taifa ni upande wa kuindaa rasili Mali watu (wananchi), katika fikra na mawazo ya kisasa na kuwaondolea ujinga (kiufupi ni kuwekeza taasisi za elimu katika elimu ya kisasa ya kuendana na Karne ya 21). Elimu ya Sasa iliyipo nchini Ni duni, maana kwa asilimia zaidi ya 80 Ni theory oriented. Wananchi ndio taifa lenyewe, hawa wananchi hutegemea wameandaliwa na elimu ya ubora aina gani.
Kwa uchumi wetu hatuwezi kutoa elimu bure, na tukitoa elimu basi itakuwa Bora na si elimu Bora. Elimu Bora ni gharama.
Sasa Ni Bora tukawa wananchi elfu 20 wenye elimu Bora (quality education, compatible with 21 century environment) na tukawa wananchi million 60 wanaoujua kusoma na kuandika?
Tatu Maslahi Mapana ya taifa ni pamoja na Sera na Sheria wezeshi kwa wananchi wake. Mfano utawala uliopita Sera za Kodi Ni kandamizi, hazimuinui mwananchi. Tukumbuke mwananchi nae anapaswa kuendelea kiuchumi, na serikali inapaswa kuendelea kiuchumi. Sera za Kodi za Sasa so rafiki kwa mwananchi, Bali Ni rafiki kwa serikali. Kwa biashara za watanzania wengi hususa wa mtaji mdogo baada ya makato ya Kodi na Kodi ya pango hujikuta wamepata pesa ya kula, kuvaa, n.k hapati faida ya kumfanya hafungue biashara nyingine, kiufupi apigi hatua nyingine.
4: Maslahi Mapana ya taifa Ni pamoja na utawala Bora na taasisi imara. Tanzania haitaji kiongozi imara inahitaji taasisi imara za kiserikali. Maana taasisi hudumu Karne na Karne, lakini kiongozi ufa au humaliza muda wake. Ndio maana baada Magufuli alivyokufa watu wametandwa na hofu, yote Ni tokana hatuna taasisi imara, serikali ya awamu tano ilisimama si tokana na taasisi imara Bali raisi imara.
Taasisi imara husimikwa na katiba na Sheria za. Nchi, maanake ya Sasa katiba inapaswa kubadilishwa.
Hakuna mtu namkubali kama kipanyaWatanzania wa hivyo hawapo siku hizi, na hili ndilo mlilotegemea, ila mmekuja kushangaa mpo uchi kwenye kadamnasi
MAMA, Jambo likiwa na kelele nyingi jua maslahi yake makubwa, kama katika utaratibu wake hakuna tashwishwi yoyote iliyojificha ndani yake yenye maslahi ya binafsi endelea na bandari lakini kama kuna msukumo wa faida ya watu wachache achana nalo kwa maana ukikomaa nalo litakutesa bali kama si hivyo endelea Mungu atakuwa pamoja na wewe.
Subiri kwanza miez 6 ipite ndo utoe malalamiko design hiiMBEYA Umeme Hamna now is two days