Kila Siku niamkapo, Na kuiona Nuru Njema Ya Jua, NINAFURAHIA KAZI NJEMA NA ILIYOTUKUKA YA KWAKO WEWE MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN.
1. ROYAL TOUR imeleta MATOKEO MAKUBWA SANA KIUCHUMI. Na inaendelea kuleta MATOKEO chanya Hadi Wakati Huu ninaandika MAKALA HII. Kwa Sasa Kuna mwamko Mkubwa Sana KWA Watalii na Wageni kutoka Duniani mwote, Hasa Viongozi, na Wafanya Biashara, wanakuja kwa wingi Sana Hapa TANZANIA. Hii inaiweka TANZANIA Katika Ramani Ya Dunia, katika Diplomasia Ya Uchumi, Jamii Na Kisiasa.
2. SAFARI ZA KIKAZI ZA MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, kwa Nchi mbali mbali HUKO Duniani, Zimeleta TIJA KUBWA SANA kwa TAIFA , Hasa KIUCHUMI. Ninapo tazama Kilomita kadhaa Mbele, Kitaifa, Na Kiserikali; NAONA KUWA; NCHI ITAPATA WAGENI WENGI KATIKA UTALII WA MIKUTANO, conference Tourism. HAPA nyumbani TANZANIA, Bara na Visiwani. MAMA endelea Kusafiri, maana FAIDA Ninaziona Sana KWA JICHO LA TAI NA MAFANIKIO MAKUBWA SANA MENGI YANAKUJA HAPA NCHINI. Hii ni Nguvu na Uwezo wa Juu Sana katika Diplomasia Ya Uchumi,
Na KISIASA Ambayo Hivi Sasa inaleta MATOKEO MAKUBWA SANA na Chanya, katika maeneo yafuatayo;--
1. Kiuchumi.
2. Kijamii.
3. Kisiasa Hapa Nchini.
4. Katika Siasa za KIMATAIFA.
5. Mahusiano mazuri Ya KIMATAIFA baina Ya Nchi YETU TANZANIA na Dunia.
6. Uwekezaji kutoka Nje katika Miradi Ya Maendeleo umeimarika Sana.
7. UJENZI wa Viwanda, na miundombinu mbali mbali Ya Biashara umeleta Tija, na KUZALISHA AJIRA nyingi Sana Hapa nyumbani Jamhuri ya muungano wa TANZANIA
3. KISIASA, MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, yuko Vizuri SANA.... Kwa namna ameitumikia Nchi, ... Kwa namna anavyo endesha Siasa Kitaifa na KIMATAIFA, amefanya Kazi njema na nzuri Sana.... Uendeshaji wa Siasa Hapa TANZANIA, unafanyika kwa Haki, weledi Na Busara. CHAMA Tawala; CCM, na Vyama Vya upinzani Hapa Nchini, vinafanya Kazi zao za Kisiasa bila ukandamizaji. Kila Chama kimepewa UWANJA sawa wa KUFANYA Siasa.... Hili Ni jema Sana na Dunia YOTE Wameliona Na KUPONGEZA. Ndio maana, wakuu WENGI Duniani kutoka Nchi mbali mbali wanakuja Hapa, nyumbani TANZANIA ili Kujenga Diplomasia Ya Uchumi Na TANZANIA. Binafsi Mimi JORDAN TWARINDWA, ninaona, ninafuatilia Sana, Siasa za Hapa nyumbani TANZANIA, shughuli za Serikali, Na Hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Kwakweli inaleta, Faraja na matumaini MAKUBWA SANA kwa Watanzania.
4. KUHUSU UTAWALA BORA, katika awamu Hii Ya 6, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Ameimarisha na Kujenga Utawala BORA, na Sisi Wananchi Wote Wa TANZANIA tunayo FURAHA katika Hili.. MFANO; Mashehe wa Uamsho waliowekwa ndani, waliwekwa Huru, mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, mhe; Aikaeli Mbowe, Aliyekuwa amewekwa ndani, Aliachiliwa Huru, Maarufu Ya Mikutano Ya Kisiasa iliondolewa,... Na mengine MENGI MAKUBWA na mazuri yamefanyika.
5. KATIKA MAJUKWAA YA KIUCHUMI DUNIANI, yanayo jadili; Uchumi wa Dunia, Hali ya Chakula Duniani, Kilimo, Mabadiliko Ya tabia Nchi, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Sana kwa Faida Ya Jamhuri Ya muungano wa TANZANIA, ambapo ushiriki wake umepelekea Nchi Kuwa Na Mvuto Sana KIMATAIFA. Na Híi Ni MOJA Ya sababu KUBWA SANA Ambayo imefungulia Neema na FURSA nyingi Sana za Maendeleo katika KILA SEKTA HAPA NCHINI. SHUKRANI ZETU SISI WATANZANIA KWA MAMA YETU SAMIA SULUHU HASSAN, Rais wa Jamhuri Ya muungano wa TANZANIA, Ni Kumuunga mkono ifikapo; 2025 katika UCHAGUZI MKUU
________________________________________________________________________________
Hongera Sana Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Hakika Utumishi WAKO Umetukuka Sana
________________________________________________________________________________
JORDAN GADI TWARINDWA
0689495579 /0755932600
jtwarindwah@gmail.com
DAR ES SALAAM
Tabata