Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ni wakati sahihi wa kuwa na "Samia bridge". Ili kuunganisha kisiwa cha Ukerewe na mkoa wa Mara kwa njia ya barabara!! Hii ndo ndoto yangu na nitafurahi ikitimizwa na rais wa kwanza mwanamke tena mzaliwa wa kisiwani kama ilivyo Ukerewe. Tuendelee kuifanya nchi ifikike 24hrs/day.
 
MAMA MATERIAL

Tumezoea kusema Wife material sasa SSH DR. ni Mama material,

Baba alipoondoka Mama hukuteteleka
Ombwe ulilifunika ,usukani ukashika,
Nchi ilitikisika , kwako imeimalika,
WEWE NI MOTHER MATERIAL , TWAJIVUNA KUWA NAWE,
 
HUYU NDIYE SAMIA SULUHU HASSAN.

Jina lake ni Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Kwanza Mwanamke Nchini Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ambaye Amevunja Rekodi Mbalimbali baada Tuu ya Kuingia katika Madaraka kwa Mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzana. Hii ni kutokana na Kifo kilichotokea kwa Aliyekuwa Rais Wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzana Awamu ya Tano Hayati Dr.John pombe Magufuli.

Ungana nami kujiona zawadi hii tuliyopewa na Mwenyezi Mungu katika Awamu hii ya Sita Ya Uongozi Chini ya Rais na Amri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kama ifuatavyo :-
Kujenga Shule mpya pamoja na kuongeza Madarasa 151,315 Kwa Shule za Misingi yenye Uwiano wa 1:74 na kwa Shule za Sekondari Madarasa 64,204 yenye Uwiano wa 1:42 Hii Imefanyika katika kipindi Cha Mwaka Mmoja tuu yaani 2021 kupitia Mradi wa COVID-19.

Aidha katika Sekta ya Elimu Mhe Rais Ameweza kuongeza Ajira kwa Walimu wa Shule za Misingi pamaja na Sekondari pamoja na kupandisha Madaraja kwa Walimu kwa Kasi ya juu.

Aidha katika Sekta hii ya Elimu Tumeona Mhe. Rais Akiongeza fedha za kujikimu kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu yaani Vyuoni kutoa 8500/= kwa siku Mpaka Sh. 10,000/= kwa siku Hii ni Baada ya kukutana na Wanazuoni Ikulu Chamwino na Kuwahidili Hilo na Utekelezaji Tayari Hii ndio Kasi ya Awamu ya Sita Chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.

Kupitia Sekta ya Kilimo Rais Samia Amewezesha Vijana Kushiriki Mafunzo kwa Vitendo na Baadae kupewa Mashamba kwaajili ya kufanya Kilimo chenye Tija kupitia Mradi Maalufu kama Jenga kesho iliyo bora yaani Buld Better Tomorrow (BBT) na Vijana wa Awamu ya Kwanza kufika Mafunzoni Tayari wameshahitimu kupitia Vituo Hatamizi Mbalimbali na sasa wako Jeshini kwaajili ya kupata Mafunzo zaidi ya Ukakamavu na Uzalendo Tayari kukabidhiwa Mashamba Ambayo Yatakuwa ni zaidi ya hekari 10 kwa Kila mmoja na Hati milki ya Miaka 60 Huyu ndiye Rais Samia wa Awamu ya Sita.

Kwa Leo niishie hapa Tukutane Tena mda Mwingine tukiangazia Rekodi nyingine Alizozivunja Mwanamama Huyu.

#2025 na Mama Samia Suluhu Hassan
 
#2025 ni Mama Samia Suluhu Hassan
 
Kila Siku niamkapo, Na kuiona Nuru Njema Ya Jua, NINAFURAHIA KAZI NJEMA NA ILIYOTUKUKA YA KWAKO WEWE MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN.

1. ROYAL TOUR imeleta MATOKEO MAKUBWA SANA KIUCHUMI. Na inaendelea kuleta MATOKEO chanya Hadi Wakati Huu ninaandika MAKALA HII. Kwa Sasa Kuna mwamko Mkubwa Sana KWA Watalii na Wageni kutoka Duniani mwote, Hasa Viongozi, na Wafanya Biashara, wanakuja kwa wingi Sana Hapa TANZANIA. Hii inaiweka TANZANIA Katika Ramani Ya Dunia, katika Diplomasia Ya Uchumi, Jamii Na Kisiasa.

2. SAFARI ZA KIKAZI ZA MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, kwa Nchi mbali mbali HUKO Duniani, Zimeleta TIJA KUBWA SANA kwa TAIFA , Hasa KIUCHUMI. Ninapo tazama Kilomita kadhaa Mbele, Kitaifa, Na Kiserikali; NAONA KUWA; NCHI ITAPATA WAGENI WENGI KATIKA UTALII WA MIKUTANO, conference Tourism. HAPA nyumbani TANZANIA, Bara na Visiwani. MAMA endelea Kusafiri, maana FAIDA Ninaziona Sana KWA JICHO LA TAI NA MAFANIKIO MAKUBWA SANA MENGI YANAKUJA HAPA NCHINI. Hii ni Nguvu na Uwezo wa Juu Sana katika Diplomasia Ya Uchumi,

Na KISIASA Ambayo Hivi Sasa inaleta MATOKEO MAKUBWA SANA na Chanya, katika maeneo yafuatayo;--
1. Kiuchumi.
2. Kijamii.
3. Kisiasa Hapa Nchini.
4. Katika Siasa za KIMATAIFA.
5. Mahusiano mazuri Ya KIMATAIFA baina Ya Nchi YETU TANZANIA na Dunia.
6. Uwekezaji kutoka Nje katika Miradi Ya Maendeleo umeimarika Sana.
7. UJENZI wa Viwanda, na miundombinu mbali mbali Ya Biashara umeleta Tija, na KUZALISHA AJIRA nyingi Sana Hapa nyumbani Jamhuri ya muungano wa TANZANIA

3. KISIASA, MHESHIMIWA RAIS DKT MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, yuko Vizuri SANA.... Kwa namna ameitumikia Nchi, ... Kwa namna anavyo endesha Siasa Kitaifa na KIMATAIFA, amefanya Kazi njema na nzuri Sana.... Uendeshaji wa Siasa Hapa TANZANIA, unafanyika kwa Haki, weledi Na Busara. CHAMA Tawala; CCM, na Vyama Vya upinzani Hapa Nchini, vinafanya Kazi zao za Kisiasa bila ukandamizaji. Kila Chama kimepewa UWANJA sawa wa KUFANYA Siasa.... Hili Ni jema Sana na Dunia YOTE Wameliona Na KUPONGEZA. Ndio maana, wakuu WENGI Duniani kutoka Nchi mbali mbali wanakuja Hapa, nyumbani TANZANIA ili Kujenga Diplomasia Ya Uchumi Na TANZANIA. Binafsi Mimi JORDAN TWARINDWA, ninaona, ninafuatilia Sana, Siasa za Hapa nyumbani TANZANIA, shughuli za Serikali, Na Hotuba za Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Kwakweli inaleta, Faraja na matumaini MAKUBWA SANA kwa Watanzania.

4. KUHUSU UTAWALA BORA, katika awamu Hii Ya 6, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Ameimarisha na Kujenga Utawala BORA, na Sisi Wananchi Wote Wa TANZANIA tunayo FURAHA katika Hili.. MFANO; Mashehe wa Uamsho waliowekwa ndani, waliwekwa Huru, mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, mhe; Aikaeli Mbowe, Aliyekuwa amewekwa ndani, Aliachiliwa Huru, Maarufu Ya Mikutano Ya Kisiasa iliondolewa,... Na mengine MENGI MAKUBWA na mazuri yamefanyika.

5. KATIKA MAJUKWAA YA KIUCHUMI DUNIANI, yanayo jadili; Uchumi wa Dunia, Hali ya Chakula Duniani, Kilimo, Mabadiliko Ya tabia Nchi, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Sana kwa Faida Ya Jamhuri Ya muungano wa TANZANIA, ambapo ushiriki wake umepelekea Nchi Kuwa Na Mvuto Sana KIMATAIFA. Na Híi Ni MOJA Ya sababu KUBWA SANA Ambayo imefungulia Neema na FURSA nyingi Sana za Maendeleo katika KILA SEKTA HAPA NCHINI. SHUKRANI ZETU SISI WATANZANIA KWA MAMA YETU SAMIA SULUHU HASSAN, Rais wa Jamhuri Ya muungano wa TANZANIA, Ni Kumuunga mkono ifikapo; 2025 katika UCHAGUZI MKUU
________________________________________________________________________________
Hongera Sana Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Hakika Utumishi WAKO Umetukuka Sana
________________________________________________________________________________
JORDAN GADI TWARINDWA
0689495579 /0755932600
jtwarindwah@gmail.com
DAR ES SALAAM
Tabata
IMG-20231111-WA0016.jpg
 
Mama ikikupendeza mteue Sabaya awe makamu mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi.
Ni kijana huru na mchapakazi nina imani atakusaidia sana kwenye kuimarisha chama.

Natanganguliza shukrani.
 
Bila hata kumwambia tayari keshaandaliwa nafasi.

Hii kushinda rufaa ilikuwa ni kumsafisha rasmi.

Mfa maji haishi kutapatapa. Teuzi za mijitu ya ovyo yote ni kufa maji kwa mteuzi.

Bado maskio upawa Happy.......
 
Bila hata kumwambia tayari keshaandaliwa nafasi.

Hii kushinda rufaa ilikuwa ni kumsafisha rasmi.

Mfa maji haishi kutapatapa. Teuzi za mijitu ya ovyo yote ni kufa maji kwa mteuzi.
HAna hatia yupo huru
 
Mama ikikupendeza mteue Sabaya awe makamu mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi.
Ni kijana huru na mchapakazi nina imani atakusaidia sana kwenye kuimarisha chama.

Natanganguliza shukrani.
🗑️🗑️🗑️
 
images - 2023-11-03T195717.405.jpg

Tangu Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani mahusiano ya nchi ya Tanzania na nchi nyingine Duniani yameongezeka maradufu, kwani kumekuwa na ongezeko kubwa la viongozi mbalimbali wa nchi duniani kuja Tanzania kwajili ya ziara za kitaifa yote yakichagizwa na juhudi za Mhe. Rais Dkt Samia kuitangaza nchi na kuendelea kudumisha Diplomasia ya Uchumi na Demokrasia.

Mhe. Rais Dkt.Samia amekuwa kiunganishi na kipatanishi cha nchi nyingi barani Afrika kutokana na misingi yake ya Maridhiano ya kisiasa ambayo imezaa matunda na kuleta utulivu wa kisiasa nchini, kitu ambacho viongozi wengi barani Afrika wamependa na kuiga misingi hiyo katika nchi zao.
 
Back
Top Bottom