Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwani marais wa hizo nchi bado ni walewale waliogoma kuja hawamu zilizopita?
 
Wewe ni chawa au ni kunguni!?
 
Basi juzi balozi alinipigia simu ,nikasema vipi kiongozi ndipo aliponipa taarifa kuwa kesho yake kutakua na kikao cha mtaa wetu .

Basi kwa kua sikuwepo nikampa taarifa wife ahudhurie badala yangu ,lakini nikamakinika kujua kuna nini basi ilipofika jioni wife akanipa mrejesho kuwa wameenda lakini kikaoni walikuja watu wanaitwa chawa wa mama😂😂😂 kwa kweli nilicheka kwanza hivi hao chawa ni official kabisa au inakuaje kuaje hapo
 
 
Hawa wanakuja na interest zao na za raia wao kiujumla.
Mbona hizo nchi zilizotajwa bado hazija ondia vikwazo vya visa pamoja na masoko ya biashara huru baina ya Tanzania na hizo nchi tajwa?
 
AWALIPE YEPI ILE NI AIBUUUUUU JAMANII EEHHH.....
 
Ni Rais wa Kwanza MwanaMama Ambaye Ameleta Mapinduzi Makubwa ya Fikra Miongoni Mwa Watanzania Hii Zawadi Kutoka Kwa Mungu Hatuwezi Iacha Ni Kung'ang'ana Nayo.

#2025 ni Yeye Tena.
#2025 na Samia Suluhu Hassan
 
Kama hiyo avatar ni wewe na unasema Samia kaleta mapinduzi ya kifikra.

Kwa muonekano huo, unahitaji mapinduzi ya lishe maana lishe inaonekana ni tatizo hadi umepata udumavu wa akili ukubwani.

Hali inayopelekea kushindwa kufikiri vitu sahihi vya kuandika kwenye jukwaa kama hili.
 
Mkuu unahukumu watu sana sana
 
Aaah Uzuri ni Kwamba na Wewe Ile Fikra ya kijijini kwenu sasa Imepotea kupitia Rais Samia. Ko Tutafute hiyo Lishe kwa Pamoja Tuendelee kuchapa kazi
 
Ni Rais wa Kwanza MwanaMama Ambaye Ameleta Mapinduzi Makubwa ya Fikra Miongoni Mwa Watanzania Hii Zawadi Kutoka Kwa Mungu Hatuwezi Iacha Ni Kung'ang'ana Nayo.

#2025 ni Yeye Tena.
#2025 na Samia Suluhu Hassan
Kuna tetesi kwamba mahekta ya misitu yetu wamepewa kampuni ya abu dhabi, blue carbon. Je, huyo wa 2025 anahusika? Maana bandari yetu na loliondo zilishaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…