NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wee nenda huko na liruto lenu Hilo anayefuruga nnchi ya kenyaUshaanza kuonyesha rangi yako halisi,Uwaziri Mkuu sio maharage ya mbeya.
Leo yupo Mbeya ngoja nikamsikilize Kama kweli anafit hiyo nafasiWee nenda huko na liruto lenu Hilo anayefuruga nnchi ya kenya
Wee nenda huko na liruto lenu Hilo anayefuruga nnchi ya kenya
Hakuna Mkuu wa shule aliye tayari kuona kiranja Mkuu anakuwa maarufu na Mwenye nguvu kuliko yeye.Ukimsikiliza Makonda unaona kabisa ana uelewa na uthubutu wa kusukuma mambo ya msingi.
Mh.Rais Samia kama hutojali wewe Mteue Makonda awe Waziri Mkuu wako baada ya 2025.
Anaweza kuwasukuma Mawaziri wakawa wanashughulikia kero kama anavyofanya kulingana na ratiba ambayo atawapangia then wewe utapumua.
Baadhi ya mambo Kwa Sasa hayaendi Kwa sababu PM wa Sasa hana ujasiri wa kuwasimamia Mawaziri wenzake.
Ukiangalia kwenye Serikali Yako Mawaziri walau wanafanya kazi ya dhati ya Kumsaidia Rais ni
Bashungwa, Mchengerwa,Mavunde,Ulega,Aweso,Bashe na Naibu wa Uchukuzi.Waliosalia utawaona kwenye matukio tuu.
View: https://youtu.be/VpKhMRf7Oe4?si=0XsIzlSOD8QBIXaQPili tubadili Muundo wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya Ili wawajibike zaidi,Kwa sababu haiwezekani kero zimejaa na miradi imekwama na wao wapo na hawachukui hatua.Tuwape Nguvu za kimaamuzi Kwa kubadili muundo wa nafasi zao.
Mwisho Kwa Makonda umecheza kama Pele.
Sasa kama watu wake ndo wanamwangusha, yeye si ndio msimamizi wao?Mimi siyo chawa, wala sihitaji na wala sina maslahi yoyote katika kusema huu ukweli wangu. Ukweli kabisa Rais Samia ni mama muungwana sana,ifike mahali tukubaliane tu.
Kwa sisi watu wa kanda ya ziwa ilifikia mahali tukawa kama hatumuelewi,kumbe watendaji wake ndiyo wanamwangusha na malengo yao ni kutaka achukiwe na wananchi ili wapate kujinufaisha wao. Sasa nawaambia mambo yao yamebuma na ukweli tumeuelewa vizuri. Tutamuunga mkono huyu mama kuliko wale wanafiki wake wanavyofikri.
AMINA
Hawa wabunge viazi eeeh!