Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Sijaona uzi unaozungumzia bei mpya ya mafuta.
 
Leo unasifia kesho unalalama duh aiseee
Mama anaupiga mwingi katiba ibadilishwe atawale hadi 2080[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we huoni uchumi unakua?
 
Yaani ni wiki iliyopita tu nimenunua petrol kwa lita moja 3200+ halafu kuna watu mnatoa mpaka pongezi!! Na wakati huyu Mama alipopewa tu madaraka ya kutawala, bei ya mafuta ilikuwa ni nusu ya hii ya sasa!!
 
Hi. Jfmembers, I would like to identify and appreciate the president of Tanzania as a Symbol of Tanzanians,since her efforts on upgrading Tanzanians life pillars socially, politically,and economically. Congratulations our president live long. I am from Haiti Island.
 
Ukatibu waenezi wa chama umeanza kuutafuta kwa style hi au?
 
Mkuu hiyo heading yako ipo sawa sawa kweli?

Stool = Mkojo ama ulikuwa na maana nyingine?

Labda Madaktari watakuja kunisahihisha
 
Mama awe makini anagombanishwa na Walimu maana huu mwezi wa Tatu Fedha za Posho zao na Fedha na uendeshaji Shule hawajawekewa Hivi Vuta picha saivi wizara yoyote ingelikua haipokei mafungu toka s/kuu Hali ingekuaje? Hivyo nashauri uongozi wake uwe makini na Hili sana

Shukran
 
Mama anaupiga mwingi sana
 
Fanyeni haraka mnijibu kwani Waganda wananisumbua mno kuhusu Uongozi wa Rais Samia na Mimi sina jibu sasa Oky?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…