Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anaupiga mwingi katiba ibadilishwe atawale hadi 2080[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we huoni uchumi unakua?Leo unasifia kesho unalalama duh aiseee
Mama anaupiga mwingi katiba ibadilishwe atawale hadi 2080[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we huoni uchumi unakua?
Ukatibu waenezi wa chama umeanza kuutafuta kwa style hi au?Hi. Jfmembers, I would like to identify and appreciate the president of Tanzania as a Symbol of Tanzanians,since her efforts on upgrading Tanzanians life pillars socially, politically,and economically. Congratulations our president live long. I am from Haiti Island.
Sina mpango huo mkuuUkatibu waenezi wa chama umeanza kuutafuta kwa style hi au?
More than one meaning mkuuMkuu hiyo heading yako ipo sawa sawa kweli?
Stool = Mkojo ama ulikuwa na maana nyingine?
Labda Madaktari watakuja kunisahihisha
WellSenki yu vere machee!!
Shukrani 🙏More than one meaning mkuu
Mama anaupiga mwingi sanaHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
waambie unamuona kupitia tv kama wengineFanyeni haraka mnijibu kwani Waganda wananisumbua mno kuhusu Uongozi wa Rais Samia na Mimi sina jibu sasa Oky?