Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Natumia maneno makali kidgo ila cyo kwa nia mbaya ….. kwa kiufupi sana hizi ni kelele za chura au debe tupu
 
Ufisadi na tamaa ndo umeleta umaskini uliokithiri Africa. Hata nani aje kuwa rais kama ufisadi hupo hapo itazidi tu kuwa mbaya.
 
Baba aliwahi kuniambia kuwa, familia yeyote ambayo mama ndio last say, hiyo familia lazima iwe ni ya hovyo.

In that context hata nchi yetu mama ni last say hivyo inafall kwenye kundi la nchi za hovyo kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…