Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wakuu
Mimi ni shabiki namba moja kabisa wa mama (kwa upande wangu) na nilianza kumkubali tangu aliposhika kiti rasmi
Mama alianza vizuri mnoo kiasi kwamba kila mtu kila mwananchi alimpenda na kumfurahia ila sasa hv kiukwel hali ni ngumu sana mama hatusikilizi tena...
Natumia maneno makali kidgo ila cyo kwa nia mbaya ….. kwa kiufupi sana hizi ni kelele za chura au debe tupu
 
Ufisadi na tamaa ndo umeleta umaskini uliokithiri Africa. Hata nani aje kuwa rais kama ufisadi hupo hapo itazidi tu kuwa mbaya.
 
Baba aliwahi kuniambia kuwa, familia yeyote ambayo mama ndio last say, hiyo familia lazima iwe ni ya hovyo.

In that context hata nchi yetu mama ni last say hivyo inafall kwenye kundi la nchi za hovyo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom