Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

"Maisha na uhai wa kila binadamu ni zawadi ya kipekee toka kwa Mwenyezi Mungu na kama Taifa, uhai na maisha ya Mtanzania yeyote ni lazima kupiganiwa kwa hali na nguvu zote".

Na Dr. Samia Suruhu Hassan.
- Brazil.
 
Vipi kuhusu suala la uhai wa yule aliyekuwa Kada wa Chadema Mzee Mohammed Kibao? Kwa nini kwenye kifo cha huyo mtu alisema "kifo ni kifo tu" ?

This is hypocracy of the highest degree in this planet!
 
"Maisha na uhai wa kila binadamu ni zawadi ya kipekee toka kwa Mwenyezi Mungu na kama Taifa, uhai na maisha ya Mtanzania yeyote ni lazima kupiganiwa kwa hali na nguvu zote".

Na Dr. Samia Suruhu Hassan.
- Brazil.
Ndugu Mhariri nilikutag hapa kwa issue kama hii either ni wewe au mwenzako naona umeingia mkenge for the next time.

Look at this, Mh. Rais katoa tamko jana akiwa Brazil wewe umepeleka kuunga bandiko langu kwenye uzi uliozeeka wa miaka kibao huko, how?.

Ni kwamba hamfatilii habari au mpo nyuma sana?.
 
Raisi amefikia kusikiliza washauri wake wanamwambia serikali inunue engine za diesel kwa ajiri ya kuendesha tren za umeme na mawazo hayo anaona nisahihi ! Badala ya kuboresha umeme wa uhakika yeye anaona Kila wazo linaloletwa na kadogosa lipo Sawa hata kweli huyu ccm huyo ndiye mnataka aendelee kutuongozea nchi yetu !
Raisi anapaswa kuwa na msimamo katika kuendesha nchi mawazo mengine ya viongozi wake inatakiwa ayachakate aone kama yanafaa au hayafai siyo Kila kitu kukubali ! Raisi unahujumiwa mbele ya wapiga Kura wako unaona Sawa.
Sgr hadi Sasa mkandarasi kakimbia site hakuna hela mradi umesimama siyo mwanza shinyanga wala tabora hakuna kinachoendelea.
Haya tumekubali leteni hizo nchini tunasubiri 2025

CCM wote wenye mapenzi mema na hii nchi tangazeni kugombea uraisi hata mkiwa kwenye mahoteli/nyumbani kwenu kama alichofanya tundu lisu kuelekea 2025 Hana cha kuwafanya huyo mama yenu hamzuiiwi kikatiba na hakuna form moja kama inavyosema.
 
Katumia case study Moja,in fact huwezi kukusanya cash kwenye mashirika harafu hurudishi ili service ziendelee,wakulima wamekopwa mazao na bado msimu unaanza hawajalipwa na mbegu za mawakara hazijafika na msimu umeanza,wakulima wa parachichi soko aliahidi wameuza 500 kwa kilo,sasa anajitafuta,hakuna bajeti inenda sawa hata Moja sasa jina hilo la Rais maana yake nini.
Wakati mwingine ajiongeze mahusiano ya biashara yaendane na technology na pia DP World tija yao ni ipi kwa sasa,hatujui faida inachangia ngapi kwenye bujeti sababu bajeti zinafeli,lakini pia kwanini ameongeza percentage ya mgao wa Zanzibar ilihaki huku mambo hayaendi?
Just to say few.Je kwanini deficit bajeti kila mara
 
Raisi amefikia kusikiliza washauri wake wanamwambia serikali inunue engine za diesel kwa ajiri ya kuendesha tren za umeme na mawazo hayo anaona nisahihi ! Badala ya kuboresha umeme wa uhakika yeye anaona Kila wazo linaloletwa na kadogosa lipo Sawa hata kweli huyu ccm huyo ndiye mnataka aendelee kutuongozea nchi yetu !
Raisi anapaswa kuwa na msimamo katika kuendesha nchi mawazo mengine ya viongozi wake inatakiwa ayachakate aone kama yanafaa au hayafai siyo Kila kitu kukubali ! Raisi unahujumiwa mbele ya wapiga Kura wako unaona Sawa.
Sgr hadi Sasa mkandarasi kakimbia site hakuna hela mradi umesimama siyo mwanza shinyanga wala tabora hakuna kinachoendelea.
Haya tumekubali leteni hizo nchini tunasubiri 2025

CCM wote wenye mapenzi mema na hii nchi tangazeni kugombea uraisi hata mkiwa kwenye mahoteli/nyumbani kwenu kama alichofanya tundu lisu kuelekea 2025 Hana cha kuwafanya huyo mama yenu hamzuiiwi kikatiba na hakuna form moja kama inavyosema.
Kipimo Cha kufaulu Kwa Rais Kiongozi ni Sgr? Uko timamu au mbege zimepanda kwenye ubongo?
 
Back
Top Bottom