DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kitu ambacho nakiona ni kuwa sectors binafsi zimeanza kupata pumzi hilo ndo naliona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia mitano tenaWakati tuko mbioni kupata Rais mpya wa sita katika awamu ya tano. Tunamsihi sana apate kutekeleza majukumu yake katika Maslahi Mapana ya taifa. Na apate kutambua pia maana ya kauli ya Maslahi Mapana ya taifa. Maana viongozi wengi huamini Maslahi ya taifa Ni katika vitu tu hususa (miundo mbinu, rasili Mali vitu, n.k) na hukomea hapo.
Kiuhalisia si hivyo, Maslahi Mapana ya taifa huanzia kuunganisha taifa lipate kuwa kitu moja bila kujali itkadi za aina yoyote si za kisiasa na si za kiimani na si kikabila wala za kijinsia. Lengo hapa ni taifa lipate kushikamana na kushirikiana bila chuki Wala ubaguzi. Utawala uliopita ndani yake ulikuwa na chuki na ubaguzi wa wazi wazi.
Pili Maslahi Mapana ya taifa ni upande wa kuindaa rasili Mali watu (wananchi), katika fikra na mawazo ya kisasa na kuwaondolea ujinga (kiufupi ni kuwekeza taasisi za elimu katika elimu ya kisasa ya kuendana na Karne ya 21). Elimu ya Sasa iliyipo nchini Ni duni, maana kwa asilimia zaidi ya 80 Ni theory oriented. Wananchi ndio taifa lenyewe, hawa wananchi hutegemea wameandaliwa na elimu ya ubora aina gani.
Kwa uchumi wetu hatuwezi kutoa elimu bure, na tukitoa elimu basi itakuwa Bora na si elimu Bora. Elimu Bora ni gharama.
Sasa Ni Bora tukawa wananchi elfu 20 wenye elimu Bora (quality education, compatible with 21 century environment) na tukawa wananchi million 60 wanaoujua kusoma na kuandika?
Tatu Maslahi Mapana ya taifa ni pamoja na Sera na Sheria wezeshi kwa wananchi wake. Mfano utawala uliopita Sera za Kodi Ni kandamizi, hazimuinui mwananchi. Tukumbuke mwananchi nae anapaswa kuendelea kiuchumi, na serikali inapaswa kuendelea kiuchumi. Sera za Kodi za Sasa so rafiki kwa mwananchi, Bali Ni rafiki kwa serikali. Kwa biashara za watanzania wengi hususa wa mtaji mdogo baada ya makato ya Kodi na Kodi ya pango hujikuta wamepata pesa ya kula, kuvaa, n.k hapati faida ya kumfanya hafungue biashara nyingine, kiufupi apigi hatua nyingine.
4: Maslahi Mapana ya taifa Ni pamoja na utawala Bora na taasisi imara. Tanzania haitaji kiongozi imara inahitaji taasisi imara za kiserikali. Maana taasisi hudumu Karne na Karne, lakini kiongozi ufa au humaliza muda wake. Ndio maana baada Magufuli alivyokufa watu wametandwa na hofu, yote Ni tokana hatuna taasisi imara, serikali ya awamu tano ilisimama si tokana na taasisi imara Bali raisi imara.
Taasisi imara husimikwa na katiba na Sheria za. Nchi, maanake ya Sasa katiba inapaswa kubadilishwa.
Kwa mfumo wa nchi yetu mkuu huwezi kuitanganisha serikali na rais ndo maana wakati wa magu alipiga marufuku ajira na hazikutoka, mbona sasa serikali haikutoa hizo ajira kama ilikuwa inajitegemea bila rais??? Usijitoe ufahamu hizi ajira zina vibali na hivyo vibali maanake haiviwezi kutoka bila bajeti, na bajeti haiwezi kutengwa bila waziri wa fedha kuhusishwa na waziri hawezi kujitengea bajeti bila Rais kujua! Usijitoe ufahamu mkuuwewe Poyoyo Samia hamiliki serikali, acha upumbavu wako. Hapa ndio wengi mnapotea, how comes una address serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kama serikali ya Samia? Samia, Mimi na wewe na wengine serikali zetu ziko kwenye familia zetu, full stop. Kamwe huwezi kusikia Wakenya wakitamka huu upumbavu
hatuwezi kuwa wapinzani kwa kila kitu! Cha kupongeza tupongeze na cha kukemea tutakemeaUmesehau kuweka namba ya simu tumtume Abdul akutumie kibunda chako.
Tanzania ina mafala wengi sana.
Kama ataweza kabla ya Mungu kumstafisha kama mwenda zakeTutasikia tu kelele akistafu
Eeh ni kama tena sio mama yako mdogo? sasa mbona km undugu wa kuutafura hivyo.Samia ni kama mama mdogo wangu.
I support you madame.
Go goo.
𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗻𝗶 𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝗶 𝘄𝗮 𝗨𝗰𝗵𝘂𝗺𝗶 𝗕𝘂𝗻𝗶𝗳𝘂 (𝘾𝙧𝙚𝙖𝙩𝙞𝙫𝙚 𝙀𝙘𝙤𝙣𝙤𝙢𝙮).
𝙽𝚊. 𝙰𝚖𝚘𝚗 𝙽𝚐𝚞𝚖𝚊 .
Zamani za kale na hata sasa dhana ya Uchumi imekuwa ikijikita katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa na huduma ,kwamba chanzo kikuu cha uchumi ni bidhaa au huduma lakini katika ulimwengu wa sasa upo Uchumi Bunifu ( Creative Economy) uchumi ambao Ubunifu/kipaji ndio bidhaa inayouzwa,kuingiza pato na hata ajira kwa vijana wengi .
Uchumi Bunifu( Creative Economy) unahusisha Ubunifu kama bidhaa adhimu ya kutengeneza fursa,mapato na ajira katika Jamii ikihusisha Muziki,Filamu ,Fasihi pamoja na Sanaa nyengine ikiwemo Maonesho ,Uchoraji pamoja na Uchongaji .Aidha Uchumi Bunifu umekuwa ni mhimili muhimu na kutegemewa katika nyakati hizi za Teknolojia ya Habari (TEHAMA) pamoja na Tatizo la Ukosefu wa Ajira ulimwenguni kote ,kwani ni Sekta inayoweza kuhusisha na kutoa ajira kwa watu wengi zaidi.
Uchumi Bunifu unaajiri watu wengi ikiwemo Wasanii, Wapiga picha ,Wachoraji (Graphic Designer) ,Wachongaji ,Wanamitindo wa mavazi ,Madereva ,mameneja n.k .Kazi moja ya Sanaa inatoa ajira kwa watu wengi zaidi na mapato kwa msanii na Taifa kwa ujumla kupitia kodi ,hivyo Taifa lolote linalowekeza na kuinua sekta ya sanaa na Uchumi Bunifu inaandaa kesho njema ya Taifa hilo .
Tanzania tunapaswa kujivunia na kutambua mchango mkubwa wa Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika ukuzaji na uendelezaji wa Uchumi Bunifu katika Nchi yetu ambao utaleta maendeleo endelevu ya kiuchumi ,maendeleo ya jamii ,utunzaji wa utamaduni na ujumuishaji wa Jamii(Social Inclusion).
Kwanini Rais.Dkt.Samia Suluhu ni Championi katika Maendeleo ya Uchumi Bunifu Nchini ?, ni kama ifuatavyo kwa uchache ;-
𝐔𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐡𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐟𝐞𝐝𝐡𝐚 ( Mikopo).
Fedha ni rasilimali muhimu katika uwekezaji wowote ule na chini ya Uongozi wa Dkt.Samia Suluhu wasanii wamepatiwa mikopo nafuu ili kuendeleza kazi zao na uchumi wao kwani wasanii wengi walikuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo matumizi ya vifaa duni na ukosefu wa mitaji katika kazi zao .
𝐌𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐨 𝐧𝐚 𝐔𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐡𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 .
Chini ya Uongozi wa Mhe.Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan wasanii wamepata mafunzo ,semina na fursa ya kupata changamoto na kujifunza kutoka kwa wasanii wa Kimataifa katika sehemu mbalimbali Duniani.Mfano Wasanii wa Bongo Movie walipatiwa fursa ya kuenda kujifunza katika moja ya Studio kubwa ya Filamu Nchini Korea .
𝐔𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐢𝐨𝐧𝐝𝐨𝐦𝐛𝐢𝐧𝐮 𝐲𝐚 𝐓𝐄𝐇𝐀𝐌𝐀 .Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mdau tegemezi katika Uchumi Bunifu kwani kazi za sanaa kwa kiasi kikubwa zinategemea matumizi ya Vifaa vya Elektonic na Programu Tumizi( Application) na Mhe.Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka nguvu kubwa katika usimikaji wa TEHAMA katika
Shule za Msingi ,Sekondari na Vyuoni ili kuwapa Wanafunzi na Vijana fursa ya kujifunza na kubobea katika matumizi ya TEHAMA na fani zao za Sanaa.
𝐔𝐥𝐢𝐩𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐌𝐢𝐫𝐚𝐛𝐚𝐡𝐚 𝐧𝐚 𝐇𝐚𝐤𝐢 za 𝐖𝐚𝐬𝐚𝐧𝐢𝐢.
Ili kuhakikisha kuwa Wabunifu( wasanii) wanakuwa kiuchumi na kukuza sekta ya Ubunifu ,Serikali chini ya Uongozi wa Mhe.Dkt.Samia kupitia Ofisi ya Hatimiliki Tanzania( COSOTA) imelipa Leseni na Mirabaha kwa wasanii kutokana na matumizi kazi za wasanii katika Taasisi mbalimbali za Umma ikiwemo TAA inayohusika na Viwanja vya Ndege ,zote hizi ni udhihirisho wa dhamira ya Mhe.Rais kuona sekta ya Uchumi Bunifu inakua .
𝐌𝐢𝐤𝐮𝐭𝐚𝐧𝐨 ,𝐌𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢𝐦𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐭𝐚𝐦𝐚𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢 .
Pamoja na uwepo wa Mitandao ya Kijamii, Matamasha ni moja ya maeneo ambapo dhamira ya sanaa ya kuelimisha na kuburudisha jamii inafanyika ,Tamasha ni soko kwa Mbunifu pale mchoraji na mchongaji na msanii yeyote atauza bidhaa zake za kiubunifu atapata kipato ,serikali itapata pato na uchumi wa msanii na Taifa utakua .Kupitia mikutano mbalimbali ya Kimataifa iliyofanyika na inayofanyika nayo imekuwa fursa ya soko kwa wasanii kufanya biashara .Pongezi Mhe.Rais kwa kutekeleza Diplomasia ya Uchumi kwa kiwango cha kuridhisha .
1𝙏𝙞𝙢𝙤𝙩𝙝𝙚𝙤 5:8 .
" Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini ".
Pongezi nyingi
𝙈𝙝𝙚.𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝙖𝙢𝙞𝙖 𝙎𝙪𝙡𝙪𝙝𝙪 𝙃𝙖𝙨𝙨𝙖𝙣 ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwajali na kuwaendeleza Wasanii na Watanzania walioajiriwa katika sekta hii kubwa.Dhamira ni njema,matokea tunayaona ,matumaini ni makubwa zaidi siku za usoni kwa uwezo wa Mungu .
KaziIendelee
MitanoTena .