๐ฅ๐ฎ๐ถ๐ ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ป๐ถ ๐๐ต๐ฎ๐บ๐ฝ๐ถ๐ผ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐จ๐ฐ๐ต๐๐บ๐ถ ๐๐๐ป๐ถ๐ณ๐ (๐พ๐ง๐๐๐ฉ๐๐ซ๐ ๐๐๐ค๐ฃ๐ค๐ข๐ฎ).
๐ฝ๐. ๐ฐ๐๐๐ ๐ฝ๐๐๐๐ .
Zamani za kale na hata sasa dhana ya Uchumi imekuwa ikijikita katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa na huduma ,kwamba chanzo kikuu cha uchumi ni bidhaa au huduma lakini katika ulimwengu wa sasa upo Uchumi Bunifu ( Creative Economy) uchumi ambao Ubunifu/kipaji ndio bidhaa inayouzwa,kuingiza pato na hata ajira kwa vijana wengi .
Uchumi Bunifu( Creative Economy) unahusisha Ubunifu kama bidhaa adhimu ya kutengeneza fursa,mapato na ajira katika Jamii ikihusisha Muziki,Filamu ,Fasihi pamoja na Sanaa nyengine ikiwemo Maonesho ,Uchoraji pamoja na Uchongaji .Aidha Uchumi Bunifu umekuwa ni mhimili muhimu na kutegemewa katika nyakati hizi za Teknolojia ya Habari (TEHAMA) pamoja na Tatizo la Ukosefu wa Ajira ulimwenguni kote ,kwani ni Sekta inayoweza kuhusisha na kutoa ajira kwa watu wengi zaidi.
Uchumi Bunifu unaajiri watu wengi ikiwemo Wasanii, Wapiga picha ,Wachoraji (Graphic Designer) ,Wachongaji ,Wanamitindo wa mavazi ,Madereva ,mameneja n.k .Kazi moja ya Sanaa inatoa ajira kwa watu wengi zaidi na mapato kwa msanii na Taifa kwa ujumla kupitia kodi ,hivyo Taifa lolote linalowekeza na kuinua sekta ya sanaa na Uchumi Bunifu inaandaa kesho njema ya Taifa hilo .
Tanzania tunapaswa kujivunia na kutambua mchango mkubwa wa Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika ukuzaji na uendelezaji wa Uchumi Bunifu katika Nchi yetu ambao utaleta maendeleo endelevu ya kiuchumi ,maendeleo ya jamii ,utunzaji wa utamaduni na ujumuishaji wa Jamii(Social Inclusion).
Kwanini Rais.Dkt.Samia Suluhu ni Championi katika Maendeleo ya Uchumi Bunifu Nchini ?, ni kama ifuatavyo kwa uchache ;-
๐๐ฐ๐๐ณ๐๐ฌ๐ก๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐๐๐๐ก๐ ( Mikopo).
Fedha ni rasilimali muhimu katika uwekezaji wowote ule na chini ya Uongozi wa Dkt.Samia Suluhu wasanii wamepatiwa mikopo nafuu ili kuendeleza kazi zao na uchumi wao kwani wasanii wengi walikuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo matumizi ya vifaa duni na ukosefu wa mitaji katika kazi zao .
๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ง๐ ๐๐ฐ๐๐ณ๐๐ฌ๐ก๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ญ๐๐๐ฅ๐๐ฆ๐ฎ .
Chini ya Uongozi wa Mhe.Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan wasanii wamepata mafunzo ,semina na fursa ya kupata changamoto na kujifunza kutoka kwa wasanii wa Kimataifa katika sehemu mbalimbali Duniani.Mfano Wasanii wa Bongo Movie walipatiwa fursa ya kuenda kujifunza katika moja ya Studio kubwa ya Filamu Nchini Korea .
๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐จ๐ง๐๐จ๐ฆ๐๐ข๐ง๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐๐๐๐๐ .Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mdau tegemezi katika Uchumi Bunifu kwani kazi za sanaa kwa kiasi kikubwa zinategemea matumizi ya Vifaa vya Elektonic na Programu Tumizi( Application) na Mhe.Rais.Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka nguvu kubwa katika usimikaji wa TEHAMA katika
Shule za Msingi ,Sekondari na Vyuoni ili kuwapa Wanafunzi na Vijana fursa ya kujifunza na kubobea katika matumizi ya TEHAMA na fani zao za Sanaa.
๐๐ฅ๐ข๐ฉ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ซ๐๐๐๐ก๐ ๐ง๐ ๐๐๐ค๐ข za ๐๐๐ฌ๐๐ง๐ข๐ข.
Ili kuhakikisha kuwa Wabunifu( wasanii) wanakuwa kiuchumi na kukuza sekta ya Ubunifu ,Serikali chini ya Uongozi wa Mhe.Dkt.Samia kupitia Ofisi ya Hatimiliki Tanzania( COSOTA) imelipa Leseni na Mirabaha kwa wasanii kutokana na matumizi kazi za wasanii katika Taasisi mbalimbali za Umma ikiwemo TAA inayohusika na Viwanja vya Ndege ,zote hizi ni udhihirisho wa dhamira ya Mhe.Rais kuona sekta ya Uchumi Bunifu inakua .
๐๐ข๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ง๐จ ,๐๐๐๐๐ก๐ข๐ฆ๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ง๐ ๐๐๐ญ๐๐ฆ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐๐๐ฅ๐ข .
Pamoja na uwepo wa Mitandao ya Kijamii, Matamasha ni moja ya maeneo ambapo dhamira ya sanaa ya kuelimisha na kuburudisha jamii inafanyika ,Tamasha ni soko kwa Mbunifu pale mchoraji na mchongaji na msanii yeyote atauza bidhaa zake za kiubunifu atapata kipato ,serikali itapata pato na uchumi wa msanii na Taifa utakua .Kupitia mikutano mbalimbali ya Kimataifa iliyofanyika na inayofanyika nayo imekuwa fursa ya soko kwa wasanii kufanya biashara .Pongezi Mhe.Rais kwa kutekeleza Diplomasia ya Uchumi kwa kiwango cha kuridhisha .
1๐๐๐ข๐ค๐ฉ๐๐๐ค 5:8 .
" Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini ".
Pongezi nyingi
๐๐๐.๐ฟ๐ ๐ฉ. ๐๐๐ข๐๐ ๐๐ช๐ก๐ช๐๐ช ๐๐๐จ๐จ๐๐ฃ ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwajali na kuwaendeleza Wasanii na Watanzania walioajiriwa katika sekta hii kubwa.Dhamira ni njema,matokea tunayaona ,matumaini ni makubwa zaidi siku za usoni kwa uwezo wa Mungu .
KaziIendelee
MitanoTena .