johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapo kwa mawaziri hakuna namna lazima aunde baraza jipya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa mawaziri hakuna namna lazima aunde baraza jipya!
Nimeishia 2025 atakuwa mgombea!Wengi wamekuwa wakitaka kuku-prempt -
Anzia na Bunge wanatakiwa wabadili ratiba yao wakupe nafasi nzuri ya kuangalia mipango yenu ya Serikali iliyoandaliwa na Dr. Mpango na Katibu wake Doto James. Usikubali kuendelea hivyo hivyo...
Kule tulikokusudia Kama TaifaAtakuvusha kwenda wapi?
👐Mi naamini kuna Mkono wa Mungu kushika nafasi hii.Hivyo basi, jitahidi sana kutenda haki ; hata kama si matarajio ya Chama; kwa sababu Mungu ni wa haki.Lazima conscious yako itasema hii si haki.Ukitenda haki usiogope kwani nyuma yako kuna jeshi kubwa
Kuna viumbe vya ajabu sijapata kuona, wapo walioumia na kuteseka kuona nchi ikiongozwa na msukuma kutoka kanda ya ziwa, wapo walioumia na kuteseka kuona maendeleo makubwa yaliyoletwa na marehemu kwa muda mfupi sana kuliko maraisi wote, wapo walioumia na kuteseka kuona marehemu amewafyekelea mbali mafisadi papa/nyangumi na wala rushwa, wapo walioumia na kuteseka kuona marehemu hakua mbaguzi wa ukabila wala udini, wapo walioumia na kuteseka kuona raisi hakua mtu wa kujisifu na kuvisit nchi za mabeberu.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa...
Namaanisha Kanda ya kaskazini wanaotaka waonwe wao tu kila utawala na awamuAnaogopatu atawewe ndio ungekua wao ungefuta tu.
Utawala ule wa kusifu umeshaondoka,Tulia tu nyuzi zako zitabakia salama sasa.
Make Tanzania Great Again, waliiga kutoka kwa MAGA ambayo ilikuwa timu ya kusifu na kuabudu ya Rais wa ovyo wa Marekani bwana Trump ambaye kapiga awamu moja kama ilivyokuwa kwa Jiwe kapiga awamu moja, ila tofauti ni kwamba Jiwe yeye Kaenda kabisa kuzimu ila Trump bado ana survival japo katengwa na Waamerica kwa ubaguzi wakeJAMANI HIVI NINI MAANA YA NENO MATAGA??
Yumo humu.Daaah waTz bwana. Mnadhani raisi anasoma JF