Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wengi wamekuwa wakitaka kuku-prempt -
Anzia na Bunge wanatakiwa wabadili ratiba yao wakupe nafasi nzuri ya kuangalia mipango yenu ya Serikali iliyoandaliwa na Dr. Mpango na Katibu wake Doto James. Usikubali kuendelea hivyo hivyo...​
Nimeishia 2025 atakuwa mgombea!

Nani Samia...!

Embu niondolee huu upuuzi.
 
Pamoja na majonzi na maumivu ya kuondokewa na Rais Dr. JPM lakini BADO ninalo tumaini kuwa ametuacha kwenye mikono salama isiyoteteleka.

Naimani na Rais wetu Mama Samia Hassan Suluhu kwani kashapikwa na kapikika kisawasawa ndani ya miaka kadhaa aliyokuwa Makamo wa Rais Pamoja na nyadhifa alizowahi kushika huko nyuma.

Mungu azidi kumpa Hekima, Busara,MAARIFA Pamoja Maamuzi yaliyo dhabiti.

IMG_20210320_082541_323.jpg
 
Mi naamini kuna Mkono wa Mungu kushika nafasi hii. Hivyo basi, jitahidi sana kutenda haki ; hata kama si matarajio ya Chama; kwa sababu Mungu ni wa haki. Lazima conscious yako itasema hii si haki. Ukitenda haki usiogope kwani nyuma yako kuna jeshi kubwa
 
Miruzi mingi wajameni
Mwacheni Madam president afanye yake ikibidi atachanganya na za kwenu
Ila ikumbukwe, SIO LAZIMA
 
Mi naamini kuna Mkono wa Mungu kushika nafasi hii.Hivyo basi, jitahidi sana kutenda haki ; hata kama si matarajio ya Chama; kwa sababu Mungu ni wa haki.Lazima conscious yako itasema hii si haki.Ukitenda haki usiogope kwani nyuma yako kuna jeshi kubwa
👐
 
Kuvushwa kutoka kwenye Chai ya Rangi bila Sukari wakati wa Magufuli hadi Chai ya Maziwa yenye Sukari na Vitumbua au Chapati zilizonona kama enzi za JK

Tunataka Uchumi wa kwenye makaratasi uhamie Mezani

Tunataka Katiba mpya na Tume huru kwelikweli

Tunataka Afya isiingizwe kwenye Siasa Afya iwe HAKI ya Binadamu

Tunataka Wazee wetu wapatiwe Chanjo ya Corona
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa...
Kuna viumbe vya ajabu sijapata kuona, wapo walioumia na kuteseka kuona nchi ikiongozwa na msukuma kutoka kanda ya ziwa, wapo walioumia na kuteseka kuona maendeleo makubwa yaliyoletwa na marehemu kwa muda mfupi sana kuliko maraisi wote, wapo walioumia na kuteseka kuona marehemu amewafyekelea mbali mafisadi papa/nyangumi na wala rushwa, wapo walioumia na kuteseka kuona marehemu hakua mbaguzi wa ukabila wala udini, wapo walioumia na kuteseka kuona raisi hakua mtu wa kujisifu na kuvisit nchi za mabeberu.


Ulichokiotodhesha hakimake sense hata kidogo, ni chuki na wivu zinakusumbua
 
Inabidi mjue tu hata huyu Rais wa sasa atafanya yote kwa watanzania wote na sio kwa ajili yenu tu.

Hii nchi ina mikoa mingi tu sio kwa ajili yenu tu, hivyo chuki na lawama zisizo na tija zikome.

Kanda yetu.. Kanda yetu.. Kanda yetu my foot!

(Max Melo na Mike Mushi ninawaheshimu sana kama wapenda Uhuru wa habari na wanaharakati wa mawazo huru)
 
Anaogopa tu hata wewe ndio ungekua wao ungefuta tu.
Utawala ule wa kusifu umeshaondoka, Tulia tu nyuzi zako zitabakia salama sasa.
 
Anaogopatu atawewe ndio ungekua wao ungefuta tu.
Utawala ule wa kusifu umeshaondoka,Tulia tu nyuzi zako zitabakia salama sasa.
Namaanisha Kanda ya kaskazini wanaotaka waonwe wao tu kila utawala na awamu
 
Wananchi vijana kwa wazee,wake kwa waume walikosa amani na uhuru wa kukosoa uongozi Mbovu wa rais marehemu Magufuli kwa sifa alizokuwa anapewa na vijana waganga njaa wa CCM kwa sababu alikuwa anawateua katika nafasi mbalimbali za uongozi na kuanza kudharau watanzania wengine

Hii nchi ni yetu sote na si hati miliki ya CCM vijana waganga njaa walimpoteza marehemu Magufuli kwa Mapambio na kujiona Mungu mtu

Wewe ni mtoto wa kiislam hatutarajii kukumbatia sifa za kinafiki kutoka kwa vijana wenu wa CCM a.k.a MATAGA au waganga njaa

Ongoza nchi kwa kufuata sheria,kanuni,taratibu na Katiba na si kulewa sifa kutoka kwa vijana wa MATAGA,WATAKUHARIBIA MAMA .
officialmwalubadu-20210323-0001.jpg
 
Akisikiliza tu mapambio ya MATAGA, kwisha habari yake. Jamaa wanajua kumpamba mtu aisee! 😇
 
JAMANI HIVI NINI MAANA YA NENO MATAGA??
Make Tanzania Great Again, waliiga kutoka kwa MAGA ambayo ilikuwa timu ya kusifu na kuabudu ya Rais wa ovyo wa Marekani bwana Trump ambaye kapiga awamu moja kama ilivyokuwa kwa Jiwe kapiga awamu moja, ila tofauti ni kwamba Jiwe yeye Kaenda kabisa kuzimu ila Trump bado ana survival japo katengwa na Waamerica kwa ubaguzi wake
 
Tuna kuamini mama utatembea mule mule alipo pita jiwe ili 2025 tuje na kauli mbiu ya awamu ya pili tena.
 
Back
Top Bottom