Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Mkuu usawa huu utampata Mwanasiasa mwenye sifa zote hizi kweli kutoka CCM? 🤔 Upinzani kwenyewe sidhani kama yupo! Sembuse kwenye chama kichafu na cha hovyo kama CCM!!!Pili awe ni mtu asiye na skandali ya aina yeyote, wizi, uzinzi na uasherati,uuaji,dhuluma, mdomo mchafu n.k.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hata wewe unaesoma JF unaweza kuja kuwa rais.Daaah waTz bwana. Mnadhani raisi anasoma JF
Sawa. Ila mleta uzi anamzungumzia raisi wa sasa sio ajaehata wewe unaesoma JF unaweza kuja kuwa rais.
Haya siyo maoni bali chuki binafsi.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3.Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4.Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5.Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7.Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8.Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Ni kweli kuwa ni Raisi wa sita na ni awamu ya Tano. Samia anamalizia awamu ya Tano .
Ila sio kweli kuwa Awamu ni miaka kumi
Mfano ktk uchaguzi wa 2020 angeshinda T.A. Lissu angekuwa Raisi wa Sita Awamu ya Sita .
Ukizidiwa majibizano unakimbilia kuita watu MATAGA. Punguza kulia lia kama watoto wa kambo.MATAGA utawajua tu!
View attachment 1729237View attachment 1729236
Nakukumbusha mama wakati unaanza kurekebisha baraza la mawaziri anza na Wizara ya Afya. Wizara imeyumba sana imekuwa na waziri asiye na msaada wowote. Hii ni wizara serious sana lakini waziri wake aligeuka kuwa comedian na kuacha sayansi. Ikukupendeza mheshimiwa huyu atenguliwe hata ubunge maana ni hasara tu.
Hatuwezi kuwa na watu wanafiki wa kumfuatisha rais anachopenda badala ya kuwa mshauri asiyeyumba katika kusimamia fani yake kwa weledi
ni member humu ovaSawa. Ila mleta uzi anamzungumzia raisi wa sasa sio ajae
Wiki yote hii kila siku nimekuwa nikiweka mada na zote zinaondolewa.Mods wanamlinda kwa wivu wote hata baada ya kufa!
Ile baby walker itafika Chato niokoe gharama za nauli? Tuwahi msibani maana tukichelewa guest zitajaa.Wiki yote hii kila siku nimekuwa nikiweka mada na zote zinaondolewa.Mods wanamlinda kwa wivu wote hata baada ya kufa!