CHARLES2016
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 376
- 435
Ndo maana mkamwita Rais dhaifu, Chadema bwana.Mbona JK alikuwa na masihara na alikuwa mtu poa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana mkamwita Rais dhaifu, Chadema bwana.Mbona JK alikuwa na masihara na alikuwa mtu poa tu.
Punguza hasira.Ndo maana kapiga chini mambo ya katiba mpya na takataka zingine.
Mmeanza tena 🤣🤣🤣🤣Waswahili wana msemo wao maarufu "Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua"
Naam, Mungu huwa hatoi taarifa kama anataka kukupa. Ndivyo alivyofanya kwetu Watanzania.
Ametupa kiongozi mahiri ambaye ameonesha umahiri mkubwa wa uongozi katika siku zake chache tangu amekikalia kiti cha enzi.
Kauli zake, zinaonesha mwelekeo mzuri wa Taifa na ni wazi kuwa huyu ni Chaguoa sahihi la Mungu kwetu watanzania, ili kutuletea maendeleo huku tukifurahia umoja, udugu, amani na utulivu wa mwili na roho.
Asante Mungu.
Kwanza inaonekana wewe kichwani hamna kitu inaitwa akili.Waswahili wana msemo wao maarufu "Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua"
Naam, Mungu huwa hatoi taarifa kama anataka kukupa. Ndivyo alivyofanya kwetu Watanzania.
Ametupa kiongozi mahiri ambaye ameonesha umahiri mkubwa wa uongozi katika siku zake chache tangu amekikalia kiti cha enzi.
Kauli zake, zinaonesha mwelekeo mzuri wa Taifa na ni wazi kuwa huyu ni Chaguoa sahihi la Mungu kwetu watanzania, ili kutuletea maendeleo huku tukifurahia umoja, udugu, amani na utulivu wa mwili na roho.
Asante Mungu.
Hao ndiyo MATAGA waliokuwa wanashinda vibarazanj kwa jiwe wakiuza umbeaNamshauri Raisi Samia awe anawafunga wote wanaompa sifa za kijinga bila sababu... maana Kusifia sana Aachiwe Mungu... nchi ikiwa na idadi kubwa ya wapumbavu humjaza Sifa kiongozi wao hadi anawehuka...
Katika kitu ambacho rais Samia anapaswa kukemea ni hizi sifa za kijinga. Asikubali kabisa. Ni bora apende wanamkosoa kuliko wanamsifia. Leo nimeona tena ile tabia aliyoianzisha Makonda ya kusimama na kuinama kama unasujudu kila rais anapotamka jina la mhusika bado inaendelea tena kwa kasi sana. Sikatai kuna wakati mtu anaweza kusimama lakini siyo kila jina linapotamkwa mtu anasimama. Kama Mwingulu ndiyo ana tabia hii mpaka mtu unayeangalia TV unasikia aibu.Mumeanza sifa za kijinga ka za mwendazake ili mumutie mama gundu la kumpa utukufu usio wake bure
Muda utasema.tuliza car lio.Ndo maana kapiga chini mambo ya katiba mpya na takataka zingine.
Ni mapema sana kulisema hili....!!! Tuupe muda wakati...itajulikana tuuWaswahili wana msemo wao maarufu "Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua"