Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ni chaguo la Mungu kweli​

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.

Warumi 13: 1-2
 
Kwenye mazishi yake kuna wanadamu walibeba bango limeandikwa MTAKATIFU MAGUFULI...[emoji848][emoji848][emoji848]
walimjua vizuri mwenyekiti wao ni mpenda masifa ndio maana hawakusita kumpa cheo cha mwisho wa uhai wake MTAKATIFU
 
Praise and Worship Team.
A.K.A
Timu ya kusifu na kuabudu.
 
Namshauri Raisi Samia awe anawafunga wote wanaompa sifa za kijinga bila sababu... maana Kusifia sana Aachiwe Mungu... nchi ikiwa na idadi kubwa ya wapumbavu humjaza Sifa kiongozi wao hadi anawehuka...
TUANZE na wale waliotengeneza Mungu mtu wao ambaye sasa hivi anasubiri kupigiwa kura ya kuwa kiongozi wa malaika mbinguni. Hiyo kura atapata YAI.
 
Mmeshaanza duuuh
 
Hahahaha mmeshaanza Sasa nimipe sirj huyu mama anajitambua nitofauti nayuuuuule mwendazake maana mmh?mlimuita mingu mala yesu mtakatifu Sasa mungu wambingu na aridhi akaamua kuoa hitimisho
 
Hayo ndo mapambio ambayo hatuyataki baki nayo nyumbani kwako, kila binadam ni chaguo la mungu na hakuna alie zaidi mbele za mungu, vyeo ni Mambo ya kidunia tu ,
 
Unanikanyaga!
 
Naunga mkono hoja,
P
 
Hata aliyepita nae alikua na maneno yake fulani hivi...

Usimpangie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…