Hajui maana wala effect kwenye bei za vituDu umetuma vigezo gani kusema hayo? Shirikisha akili kidogo mfano ongeza mshahara100% unajua maana yake?
Nakuhakikishia Safari yako itakuwa ni nyepesi sana endapo utayafanya haya Mambo MANNE (4), MH: MADAM kwa haraka ikiwezekana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na NYOTA yako itazidi kung'ara
(1) MPE AMRI DPP AFUTE KESI YA MASHEKH WA UAMSHO ILIYODUMU ZAIDI YA MIAKA MINANE BILA USHAHIDI KUKAMILIKA (NOLE PROSEQU)
(2) PANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WALAU KWA 100% YA MISHAHARA YA SASA! ITASAIDIA SANA MZUNGUKO WA FEDHA MITAANI NA KUFUTA MACHUNGU YA MIAKA TAKRIBAN MINANE
(3) LIPA FIDIA KWA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA UBUNGO KIMARA
(4) TANGAZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA IWE NI LAZIMA KUPATA MIKOPO HIYO NA WAKATI HUO HUO REJESHA KIWANGO CHA RIBA YA MAREJESHO YA MKOPO KAMA ILIVYOKUWA AWALI ASILIMIA 8
KWA HAYO TU TAYARI MADAM UMESHAJINYOOSHEA NJIA FOR 2025 PRESIDENCY KAZI NI LAINI SANA NI SAWA NA KUMSUKUMA MLEVI
Wajinga hao wanaongea tu utadhani pesa zinachumwa kwenye mitiHIZO PESA ATAPATA WAPI? AU UNATAKA APANDISHE KODI?
Ni full unafiki unaotokana na tamaa ya madaraka na kuataka kunufaika kwa namna moja au nyingine.Mmmh! Ukiwa mpya unapewa mengi!
Ila kuna ukweli. Hizi sifa za akina Nape, Kigwangala, Januari, Kinana, nk. hivi kweli wnaona mbali kiasi hicho? Kama rais atadhani wanampenda ndo hivyo tena! Halafu kuna watu tunaona wanarudishwa sehemu nyeti kabisa pamoja na rushwa zao. Haya Mkuu!
Aongeze mshahara asilimia 100 kwelii???
Hata kama sio 100% ila apandishe.Du umetuma vigezo gani kusema hayo? Shirikisha akili kidogo mfano ongeza mshahara100% unajua maana yake?
Nakuhakikishia Safari yako itakuwa ni nyepesi sana endapo utayafanya haya Mambo MANNE (4), MH: MADAM kwa haraka ikiwezekana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na NYOTA yako itazidi kung'ara
(1) MPE AMRI DPP AFUTE KESI YA MASHEKH WA UAMSHO ILIYODUMU ZAIDI YA MIAKA MINANE BILA USHAHIDI KUKAMILIKA (NOLE PROSEQU)
(2) PANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WALAU KWA 100% YA MISHAHARA YA SASA! ITASAIDIA SANA MZUNGUKO WA FEDHA MITAANI NA KUFUTA MACHUNGU YA MIAKA TAKRIBAN MINANE
(3) LIPA FIDIA KWA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA UBUNGO KIMARA
(4) TANGAZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA IWE NI LAZIMA KUPATA MIKOPO HIYO NA WAKATI HUO HUO REJESHA KIWANGO CHA RIBA YA MAREJESHO YA MKOPO KAMA ILIVYOKUWA AWALI ASILIMIA 8
KWA HAYO TU TAYARI MADAM UMESHAJINYOOSHEA NJIA FOR 2025 PRESIDENCY KAZI NI LAINI SANA NI SAWA n
Mashehe watasubiri sana maana ishu yao iko kwa cdf.Nakuhakikishia Safari yako itakuwa ni nyepesi sana endapo utayafanya haya Mambo MANNE (4), MH: MADAM kwa haraka ikiwezekana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na NYOTA yako itazidi kung'ara
(1) MPE AMRI DPP AFUTE KESI YA MASHEKH WA UAMSHO ILIYODUMU ZAIDI YA MIAKA MINANE BILA USHAHIDI KUKAMILIKA (NOLE PROSEQU)
(2) PANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WALAU KWA 100% YA MISHAHARA YA SASA! ITASAIDIA SANA MZUNGUKO WA FEDHA MITAANI NA KUFUTA MACHUNGU YA MIAKA TAKRIBAN MINANE
(3) LIPA FIDIA KWA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA UBUNGO KIMARA
(4) TANGAZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA IWE NI LAZIMA KUPATA MIKOPO HIYO NA WAKATI HUO HUO REJESHA KIWANGO CHA RIBA YA MAREJESHO YA MKOPO KAMA ILIVYOKUWA AWALI ASILIMIA 8
KWA HAYO TU TAYARI MADAM UMESHAJINYOOSHEA NJIA FOR 2025 PRESIDENCY KAZI NI LAINI SANA NI SAWA NA KUMSUKUMA MLEVI
Zimebaki siku 24 aongee na wafanyakazi nadhani ataongezaHata kama sio 100% ila apandishe.
Zanzibar shein aligonga kwa asilimia kubwa nadhani ilikaribiana na 100% bila shaka utasema zanzibar ni ka nchi kadogo.
Wafuasi wa Jiwe mnaumia sana !!. Ridhikeni harudi tena na maombolezo mwisho leo [emoji3517]. Siasa za kibabe hazina nafasi dunia ya leo.Ni kweli kila mtu ana ubora wake lakini ukisifiwa, tia mashaka sifa hizo ni za lengo gani. Sasa hivi Samia unasifiwa na wafanyabiashara, unasifiwa na wansiasa walioko madarakani, unasifiwa sana na wansiasa wasiokuwa madarakani, unasifiwa na mitandao ili kuzudisha kampeni hiyo ya sifa.
Ukweli unabaki pale pale! Wengi ni kwa lengo la kutaka kusikika au kukupa hofu ili uone yaliyopita ni makosa. Kumbuka pia unapopanga serikali yako, kuna kundi nje pia linapanga ya kwao.
Hofu yangu kubwa ni pale utakaposifiwa sana na vyombo vya nje. Hapo sasa ndo tutajua uelewa uko wapi maana Africa hii lazima liwe shamba la bibi ili wazungu wakusifu. Rukia Banda wa Malawi kwa kutaka sifa aliruhusu hata ushoga, na akapendwa lakini alidhalilisha Malawi.
Tanzania inakusanya tilioni 1.5=bilioni 1500.baada ya hapo hulipa mishahara kwa mwezi bilioni800 halafu madeni ya nje kila mwezi tunalipa bilioni 700hapo pesa tote imeisha. Marehemu alikuwa akilipa maendeleo kwa kukopa kwenye mabenki ,ndio alikuwa anasema sisi ni matajiri hatuombi misaada. Si ajabu AKISHINDWA kupandisha mishahara. Sasa Mhe. Samia atafanya maajabu gani ya kupandisha kwa asilimia 100. HAWEZI MAANA MISHAHARA PEKE YAKE ITAMALIZA MAKUSANYO YOTE.Aongeze mshahara asilimia 100 kwelii???
Tusubiri Mei mosiTanzania inakusanya tilioni 1.5=bilioni 1500.baada ya hapo hulipa mishahara kwa mwezi bilioni800 halafu madeni ya nje kila mwezi tunalipa bilioni 700hapo pesa tote imeisha. Marehemu alikuwa akilipa maendeleo kwa kukopa kwenye mabenki ,ndio alikuwa anasema sisi ni matajiri hatuombi misaada. Si ajabu AKISHINDWA kupandisha mishahara. Sasa Mhe. Samia atafanya maajabu gani ya kupandisha kwa asilimia 100. HAWEZI MAANA MISHAHARA PEKE YAKE ITAMALIZA MAKUSANYO YOTE.
Akili yako haina akili.Mkopo sio lazima pia sheria za mkopo zinataka ukopeshe mtu uliye na uhakika atarejesha
Ndio maana selikali.ilikuwa ikikopesha kwa fani hasa za sayansi za udaktari ,engineering na ujenzi sababu hao wana uhakika wa kujiajiri au kuajirika
lakini unampa mtu mkopo wa digrii ya business administration au history unategemea nini? mkopo hautalipika