Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Aisee!
Nakuhakikishia Safari yako itakuwa ni nyepesi sana endapo utayafanya haya Mambo MANNE (4), MH: MADAM kwa haraka ikiwezekana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na NYOTA yako itazidi kung'ara

(1) MPE AMRI DPP AFUTE KESI YA MASHEKH WA UAMSHO ILIYODUMU ZAIDI YA MIAKA MINANE BILA USHAHIDI KUKAMILIKA (NOLE PROSEQU)

(2) PANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WALAU KWA 100% YA MISHAHARA YA SASA! ITASAIDIA SANA MZUNGUKO WA FEDHA MITAANI NA KUFUTA MACHUNGU YA MIAKA TAKRIBAN MINANE

(3) LIPA FIDIA KWA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA UBUNGO KIMARA

(4) TANGAZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA IWE NI LAZIMA KUPATA MIKOPO HIYO NA WAKATI HUO HUO REJESHA KIWANGO CHA RIBA YA MAREJESHO YA MKOPO KAMA ILIVYOKUWA AWALI ASILIMIA 8

KWA HAYO TU TAYARI MADAM UMESHAJINYOOSHEA NJIA FOR 2025 PRESIDENCY KAZI NI LAINI SANA NI SAWA NA KUMSUKUMA MLEVI
 
Ni kweli kila mtu ana ubora wake lakini ukisifiwa, tia mashaka sifa hizo ni za lengo gani. Sasa hivi Samia unasifiwa na wafanyabiashara, unasifiwa na wanasiasa walioko madarakani, unasifiwa sana na wanasiasa wasiokuwa madarakani, unasifiwa na mitandao ili kuzidisha kampeni hiyo ya sifa.

Ukweli unabaki pale pale! Wengi ni kwa lengo la kutaka kusikika au kukupa hofu ili uone yaliyopita ni makosa. Kumbuka pia unapopanga serikali yako, kuna kundi nje pia linapanga ya kwao.

Hofu yangu kubwa ni pale utakaposifiwa sana na vyombo vya nje. Hapo sasa ndo tutajua uelewa uko wapi maana Africa hii lazima liwe shamba la bibi ili wazungu wakusifu. Rukia Banda wa Malawi kwa kutaka sifa aliruhusu hata ushoga, na akapendwa lakini alidhalilisha Malawi.
 
Tunajua Sukuma gang mmepata bonge la pigo. Muacheni Mama afanye kazi. Hotuba zake mbili zimetosha na kustahili kupewa sifa. Amejua tabu tulizopata chini ya utawala wa muumiani, mtoa roho za watu Magufuli
 
Mmmh! Ukiwa mpya unapewa mengi!

Ila kuna ukweli. Hizi sifa za akina Nape, Kigwangala, Januari, Kinana, nk. hivi kweli wnaona mbali kiasi hicho? Kama rais atadhani wanampenda ndo hivyo tena! Halafu kuna watu tunaona wanarudishwa sehemu nyeti kabisa pamoja na rushwa zao. Haya Mkuu!
 
Ni full unafiki unaotokana na tamaa ya madaraka na kuataka kunufaika kwa namna moja au nyingine.
Uzuri Rais amekuwa serikalini kwa muda mrefu na anaonekana sio mfuasi wa kupewa sifa za kinafiki.
 
Uzuri wa sisi ambao sio MATAGA pale penye kusifia tutasifia mpaka ukasirike na akizingua tunarudi kumpa makavu kama yote. So yes tutamsifia na tutamponda pale panapostahili... na ndio ubinadamu na uongozi. Hata yeye anaelewa hilo

Kuna mtu humu humu nchini alisifiwa na kupewa sifa za Muumba... matokeo yake akawafanya wanyonge ndo shamba la bibi.
 
Hayo ni mawazo yako au ya watanzania? Mimi katika hayo hakuna linalonigusa
 
Mkuu mawazo yako ni mazuri lakini kutekelezeka kwake ni ngumu hata kama akiwa na nia yakuyatekeleza sio rahisi.

Feasibility yake ni zero.
 
Nakuhakikishia Safari yako itakuwa ni nyepesi sana endapo utayafanya haya Mambo MANNE (4), MH: MADAM kwa haraka ikiwezekana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na NYOTA yako itazidi kung'ara

(1) MPE AMRI DPP AFUTE KESI YA MASHEKH WA UAMSHO ILIYODUMU ZAIDI YA MIAKA MINANE BILA USHAHIDI KUKAMILIKA (NOLE PROSEQU)

(2) PANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WALAU KWA 100% YA MISHAHARA YA SASA! ITASAIDIA SANA MZUNGUKO WA FEDHA MITAANI NA KUFUTA MACHUNGU YA MIAKA TAKRIBAN MINANE

(3) LIPA FIDIA KWA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA UBUNGO KIMARA

(4) TANGAZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA IWE NI LAZIMA KUPATA MIKOPO HIYO NA WAKATI HUO HUO REJESHA KIWANGO CHA RIBA YA MAREJESHO YA MKOPO KAMA ILIVYOKUWA AWALI ASILIMIA 8

KWA HAYO TU TAYARI MADAM UMESHAJINYOOSHEA NJIA FOR 2025 PRESIDENCY KAZI NI LAINI SANA NI SAWA n

Nakuhakikishia Safari yako itakuwa ni nyepesi sana endapo utayafanya haya Mambo MANNE (4), MH: MADAM kwa haraka ikiwezekana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja na NYOTA yako itazidi kung'ara

(1) MPE AMRI DPP AFUTE KESI YA MASHEKH WA UAMSHO ILIYODUMU ZAIDI YA MIAKA MINANE BILA USHAHIDI KUKAMILIKA (NOLE PROSEQU)

(2) PANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WALAU KWA 100% YA MISHAHARA YA SASA! ITASAIDIA SANA MZUNGUKO WA FEDHA MITAANI NA KUFUTA MACHUNGU YA MIAKA TAKRIBAN MINANE

(3) LIPA FIDIA KWA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO KWA AJILI YA UJENZI WA BARABARA UBUNGO KIMARA

(4) TANGAZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANAFUNZI WOTE WENYE SIFA IWE NI LAZIMA KUPATA MIKOPO HIYO NA WAKATI HUO HUO REJESHA KIWANGO CHA RIBA YA MAREJESHO YA MKOPO KAMA ILIVYOKUWA AWALI ASILIMIA 8

KWA HAYO TU TAYARI MADAM UMESHAJINYOOSHEA NJIA FOR 2025 PRESIDENCY KAZI NI LAINI SANA NI SAWA NA KUMSUKUMA MLEVI
Mashehe watasubiri sana maana ishu yao iko kwa cdf.
 
Hata kama sio 100% ila apandishe.

Zanzibar shein aligonga kwa asilimia kubwa nadhani ilikaribiana na 100% bila shaka utasema zanzibar ni ka nchi kadogo.
Zimebaki siku 24 aongee na wafanyakazi nadhani ataongeza
 
Ni kweli kila mtu ana ubora wake lakini ukisifiwa, tia mashaka sifa hizo ni za lengo gani. Sasa hivi Samia unasifiwa na wafanyabiashara, unasifiwa na wansiasa walioko madarakani, unasifiwa sana na wansiasa wasiokuwa madarakani, unasifiwa na mitandao ili kuzudisha kampeni hiyo ya sifa.

Ukweli unabaki pale pale! Wengi ni kwa lengo la kutaka kusikika au kukupa hofu ili uone yaliyopita ni makosa. Kumbuka pia unapopanga serikali yako, kuna kundi nje pia linapanga ya kwao.
Hofu yangu kubwa ni pale utakaposifiwa sana na vyombo vya nje. Hapo sasa ndo tutajua uelewa uko wapi maana Africa hii lazima liwe shamba la bibi ili wazungu wakusifu. Rukia Banda wa Malawi kwa kutaka sifa aliruhusu hata ushoga, na akapendwa lakini alidhalilisha Malawi.
Wafuasi wa Jiwe mnaumia sana !!. Ridhikeni harudi tena na maombolezo mwisho leo [emoji3517]. Siasa za kibabe hazina nafasi dunia ya leo.

Mama Yuko vizuri

Odhis *
 
Sisi wengine kitendo cha Mama kuwa Rais tu tushasuuzika na mioyo yetu. Hata asipofanya hayo yote uliyoyasema mtoa mada, tushatua mzigo mzito uliowahi kutuumiza.
 
Aongeze mshahara asilimia 100 kwelii???
Tanzania inakusanya tilioni 1.5=bilioni 1500.baada ya hapo hulipa mishahara kwa mwezi bilioni800 halafu madeni ya nje kila mwezi tunalipa bilioni 700hapo pesa tote imeisha. Marehemu alikuwa akilipa maendeleo kwa kukopa kwenye mabenki ,ndio alikuwa anasema sisi ni matajiri hatuombi misaada. Si ajabu AKISHINDWA kupandisha mishahara. Sasa Mhe. Samia atafanya maajabu gani ya kupandisha kwa asilimia 100. HAWEZI MAANA MISHAHARA PEKE YAKE ITAMALIZA MAKUSANYO YOTE.
 
Tusubiri Mei mosi
 
Mkopo sio lazima pia sheria za mkopo zinataka ukopeshe mtu uliye na uhakika atarejesha

Ndio maana selikali.ilikuwa ikikopesha kwa fani hasa za sayansi za udaktari ,engineering na ujenzi sababu hao wana uhakika wa kujiajiri au kuajirika

lakini unampa mtu mkopo wa digrii ya business administration au history unategemea nini? mkopo hautalipika
Akili yako haina akili.
 
Back
Top Bottom