Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ila mama awe makini sana na madini yetu pamoja na kuleta chanjo ya corona nchini..ki ukweli hatuhitaji chanjo Kabisa..
Kwenye madini ameshasema anajua yanaondelea Merereni, Barrick Gold atawahimiza walipe mgao wetu haraka.

Kuhusu chango amesema wataalamu wemezipitia, baadaye watampa ushauri.

Maoni yangu tukubali pfizer, sio Astrazeneca. Watu walikuwa wanakufa 1300 kila siku sasa hivi chini ya 50 kwa siku UK.

Wazee wenye magonjwa nyemelezi wapewe, wasilazimishwe. Ile kwa hiyari yao au familia.

Mitungi ya Oxygen Ventilators iongezwe hospitalini. Kifo mara nyingi ni kushindwa kupumua.

Ila ukiwapa drip na oxygen inasaidia sana mwili kupambana. Na kama una magonjwa mengine kusaidiwa kupunguza ukali wao, kushugulikiwa.

Michael Schumacher bado ni mzima hadi leo, anapulia oxygen miaka mitatu sasa.

Ventilator inakusaidia kuingiza hewa na kuitoa,hata kama mwili hauna uwezo sana, mwili unalazimishwa kupumua.
 
Hamjamboni nyote wanangu humu jamvini? Naamini mnaendelea kuwaza tena vizuri. Hivyo, si vibaya kuwapa kachangamoto kadogo kanakonikwaza baba yenu. Kwa anavyoanza kujidhihirisha, kama sijamuelewa vibaya, rais SSH anaoneka kuwa kama Ruxa kuliko hata mzee wa ukweli na uwazi. Sijui wanangu mnamuonaje katika hili.

Mkuu kwahiyo unafurahi watu waishi kama MASHETANI?
 
kikubwa asisite kuchukua hatua haraka pindipo kuna tatizo mahali, kamwe asipepese jicho kama ni kumtoa mtu amtoe mara moja
 
Hamjamboni nyote wanangu humu jamvini? Naamini mnaendelea kuwaza tena vizuri. Hivyo, si vibaya kuwapa kachangamoto kadogo kanakonikwaza baba yenu. Kwa anavyoanza kujidhihirisha, kama sijamuelewa vibaya, rais SSH anaoneka kuwa kama Ruxa kuliko hata mzee wa ukweli na uwazi. Sijui wanangu mnamuonaje katika hili.
Nyie wajamaa hamtakiwi kuwepo duniani.
Uchumi na ruxa vinaendana hata nchi zilizoendelea zimeendelea sababu ya ruxa kama tu haivunji sheria
 
Hakuna sheria iliyobadilika kunywa bar siku za kazi wakudandie!

Jamaa ali implement vitu vya ajabu sana ,anafikiri watu wote wameajiriwa serikalini? Yaani kwenda kunywa bar mchana kwa fedha yangu alikuwa anaona kama ni kero,anataka watu waishi kama mashetani bila kuwa na furaha.
 
Hamjamboni nyote wanangu humu jamvini? Naamini mnaendelea kuwaza tena vizuri. Hivyo, si vibaya kuwapa kachangamoto kadogo kanakonikwaza baba yenu. Kwa anavyoanza kujidhihirisha, kama sijamuelewa vibaya, rais SSH anaoneka kuwa kama Ruxa kuliko hata mzee wa ukweli na uwazi. Sijui wanangu mnamuonaje katika hili.
Wanako ndio kina nani?
 
Mama Oyeeeee!!! Furaha ni bora kuliko chochote! Kheri Mkate Mkavu kwenye amani kuliko asali, maziwa na nyama vitani.,

Mama Samia MITANO TENA!
 
Back
Top Bottom