Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King Kong III tumepata Rais ujue. Bado pesa kuingia mtaani
Wamemsahau waliyemwita masihi sasa wamegeuza nyimbo kwa mamaWell said !!! She has to tread and carefully sail with WANAMAPAMBIO. Most of them are FILTHY FAKE !!!
Naam amegusia vitu vyote muhimuKwenye madini ameshasema anajua yanaondelea Merereni, Barrick Gold atawahimiza walipe mgao wetu haraka.
Kuhusu chango amesema wataalamu wemezipitia, baadaye watampa ushauri.
Maoni yangu tukubali pfizer, sio Astrazeneca. Watu walikuwa wanakufa 1300 kila siku sasa hivi chini ya 50 kwa siku UK.
Wazee wenye magonjwa nyemelezi wapewe, wasilazimishwe. Ile kwa hiyari yao au familia.
Mitungi ya Oxygen Ventilators iongezwe hospitalini. Kifo mara nyingi ni kushindwa kupumua.
Ila ukiwapa drip na oxygen inasaidia sana mwili kupambana. Na kama una magonjwa mengine kusaidiwa kupunguza ukali wao, kushugulikiwa.
Michael Schumacher bado ni mzima hadi leo, anapulia oxygen miaka mitatu sasa.
Ventilator inakusaidia kuingiza hewa na kuitoa,hata kama mwili hauna uwezo sana, mwili unalazimishwa kupumua.
Tukiangalia rekodi ya viongozi toka Zanzbsr na bara kuna tofauti kubwa sanaNi muwazi,ni Mwanamke,ni Mzanzibari anapenyaje
Zimeisha tarehe 06.4.2021Hivi zile siku 21 zimeisha au bado jamanii..!?
Acha kudanganya watu, mzunguko mkubwa wa pesa kipindi kile cha shamba la Bibi ulichangiwa na watumishi wengi wa serikali kutumia ofisi za umma ukipatia vipato haramu kama rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi! Sasa hivi watu tulikuwa tunatumia pesa vizuri kwa sababu inatokana na vipato halali!Itaingia tu si umeona mikakati ya Mh Rais? Yote hiyo ni kufanya kuwezesha mzunguko wa fedha urudi kwa watu na yeye ameliona hilo na katamka lengo kurudisha mzunguko wa fedha ambao ulirudi nyuma....Ndio kwanza ana siku 19 za urais ,tumpe muda ,si umeona karuhusu vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe,TRA kutumia ubabe kufunga bishara ukome,ajira za walimu zitekelezwe ,hayo yote yatachangia kuongeza mzunguko wa fedha mtaani....Pia kesi za uhujumu uchumi nazo ziangaliwe kama hazina base waachiwe.
Sukuma Gang mtapata tabu sana...zamu yenu ishakwisha wacha pemba gang nao wapete.Acha kudanganya watu, mzunguko mkubwa wa pesa kipindi kile cha shamba la Bibi ulichangiwa na watumishi wengi wa serikali kutumia ofisi za umma ukipatia vipato haramu kama rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi! Sasa hivi watu tulikuwa tunatumia pesa vizuri kwa sababu inatokana na vipato halali!
Maneno yako yamejaa laana na chukiMh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Wa-Tz bwana,wamesahau kuwa pesa nyingi zilikuwa zinapigwa toka miradi ya serikali zinaingia mitaani.Acha kudanganya watu, mzunguko mkubwa wa pesa kipindi kile cha shamba la Bibi ulichangiwa na watumishi wengi wa serikali kutumia ofisi za umma ukipatia vipato haramu kama rushwa, ufisadi na uhujumu uchumi! Sasa hivi watu tulikuwa tunatumia pesa vizuri kwa sababu inatokana na vipato halali!
Umeandika nini ???Mama na dada yangu na Rais wangu
maadamu umeshajionyesha unapenda mitandao basi subiri moto utakuwakia sana
marais wenzako wana timu ya watu wanaodeal na mitandao wewe umesema unaamka asubuhi na mapema eee!
haya subiri kidogo utajionea jinsi mambo yatakavyokuchenjia mpaka utatamani kuikimbia ikulu
halafu Mama mbona unaenda kasi sana kubadilisha mambo ya meko???mh!
inaonyesha ni jinsi gani ulivyo dhaifu kwa sababu umefanya kazi na meko muda wote ina maana ulikuwa umekaa tuu hujui nini kinaendelea???
mimi nakuonea huruma tuu nchi inaongozwa na professionals sio mihemko na maneno mengi
mawaziri wako wamekushtukia utajionea mambo yatakavyokwenda
hivi ile tumbua tumbua ya meko utaimudu?????
eeeh Mungu hii nchi twende wapi sasa,nani atatusaidia ndugu zangu???
huyu Mama keshafeli kabla ya kuanza
uongozi sio maneno mengi jamani mbona najisikia kuogopa mimi????
Sijui mnataka Rais wa namna gani, pombe mlikua mnamshutumu kwa mengi, sasa tumempata ambae ana utu bado hamumtaki, basi afande sele awe rais wenuMama na dada yangu na Rais wangu
maadamu umeshajionyesha unapenda mitandao basi subiri moto utakuwakia sana
marais wenzako wana timu ya watu wanaodeal na mitandao wewe umesema unaamka asubuhi na mapema eee!
haya subiri kidogo utajionea jinsi mambo yatakavyokuchenjia mpaka utatamani kuikimbia ikulu
halafu Mama mbona unaenda kasi sana kubadilisha mambo ya meko???mh!
inaonyesha ni jinsi gani ulivyo dhaifu kwa sababu umefanya kazi na meko muda wote ina maana ulikuwa umekaa tuu hujui nini kinaendelea???
mimi nakuonea huruma tuu nchi inaongozwa na professionals sio mihemko na maneno mengi
mawaziri wako wamekushtukia utajionea mambo yatakavyokwenda
hivi ile tumbua tumbua ya meko utaimudu?????
eeeh Mungu hii nchi twende wapi sasa,nani atatusaidia ndugu zangu???
huyu Mama keshafeli kabla ya kuanza
uongozi sio maneno mengi jamani mbona najisikia kuogopa mimi????
Kaa kwa kutulia, kuimba kupokezana, saivi zamu yenu[emoji16]Mama na dada yangu na Rais wangu