Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hii nchi haina hela,mwendazake ilkuwa imeshamshnda mpaka akafikia kuchukua pesa kwenye account za watu.

Kwahyo muache mama atafute hela kwanza
 
Wewe acha unafiki kubali kuwa zama zenu za kula zimekwisha!

Hatuwezi kukubali tena Nchi kuongozwa kijima!

Nchi lazima iongozwe kisasa na kwa kuangalia Dunia inakokwenda!

Mama Yuko sawa na anasifiwa kwa kweli na si unafiki.Mama Samia akifanikisha Katiba mpya basi legacy ya Rais Magufuli itakuwa imefichwa vibaya mno!
 
Siku hizi kila mtu amekua mshauri wa rais.
Hapana! Ni maoni tu (opinion), na huo ndio ubinaadam. Huyu kasem hiki, yule kasema kile, mwengine asema hivi. Different ideas!!
 
Mtoa mada ni wale wanaodhani nyama pia inachumwa kutoka kwenye miti utadhani matunda.
 
Ila kupandisha mishahara kwa watumishi ni suala la lazima kwa Kila mwaka siyo favour Kama alivyotaka jiwe eti siku moja nitaongeza Malaki siyo elfu kumi
 
Kama kuandika ndio kutekeleza, jaribu wewe kuwa rais hata wiki tu.
 

Watu hawaelewi halafu kwenye miezi kama sita mapato yatashuka, sababu anataka kufanya mengi sana TRA, TPA, TASAC wote watakuwa makini sana.

Ila baadaye yatapanda hadi katikati mwakani target inaweza kuwa 2.5 trillioni.
 
Onyesha vile vile vyanzo vya hizo pesa!
 
Hizo hela utampa wewe? Ebu tuliza akili kwanza.
 
Duuuh mkuu mshahara 100% kwel itawezekana mkuu? Pesa zitazoka wap mkuu
 
Hamjamboni nyote wanangu humu jamvini? Naamini mnaendelea kuwaza tena vizuri. Hivyo, si vibaya kuwapa kachangamoto kadogo kanakonikwaza baba yenu. Kwa anavyoanza kujidhihirisha, kama sijamuelewa vibaya, rais SSH anaoneka kuwa kama Ruxa kuliko hata mzee wa ukweli na uwazi. Sijui wanangu mnamuonaje katika hili.
 
Wewe marehemu alisema kuwa anakusanya 2 trilion.
Wewe hizo data zako umezitoa wapi?
 
Well said !!! She has to tread and carefully sail with WANAMAPAMBIO. Most of them are FILTHY FAKE !!!
 
Kama ungelijua ustarabu wa pwani sio wa bara na ustarabu wa bara sio wa pwani usinge taabiki hivyo, kwa mfano mkurya amwoe msambaa ulishawahi kujiuliza hili?
 
5. RUDISHA FAO LA KUJITOA KWENYE MIFUKO YA JAMII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…