ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Kwenye madini ameshasema anajua yanaondelea Merereni, Barrick Gold atawahimiza walipe mgao wetu haraka.Ila mama awe makini sana na madini yetu pamoja na kuleta chanjo ya corona nchini..ki ukweli hatuhitaji chanjo Kabisa..
Kuhusu chango amesema wataalamu wemezipitia, baadaye watampa ushauri.
Maoni yangu tukubali pfizer, sio Astrazeneca. Watu walikuwa wanakufa 1300 kila siku sasa hivi chini ya 50 kwa siku UK.
Wazee wenye magonjwa nyemelezi wapewe, wasilazimishwe. Ile kwa hiyari yao au familia.
Mitungi ya Oxygen Ventilators iongezwe hospitalini. Kifo mara nyingi ni kushindwa kupumua.
Ila ukiwapa drip na oxygen inasaidia sana mwili kupambana. Na kama una magonjwa mengine kusaidiwa kupunguza ukali wao, kushugulikiwa.
Michael Schumacher bado ni mzima hadi leo, anapulia oxygen miaka mitatu sasa.
Ventilator inakusaidia kuingiza hewa na kuitoa,hata kama mwili hauna uwezo sana, mwili unalazimishwa kupumua.