Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Bora mama anaeingia japo kidogo, kuliko yule jamaa aliekua anapambana nayo
 
Reactions: PNC
Tupo watanzania zaidi ya milioni 60, tumemuamini mama samia kuwa rais wetu, usimtishe!Usilete ramli tatanishi hapa.
 
Jifunze kuweka paragraph kwanza ..halafu usimpangie mama yetu, mama hataki usumbufu wa hovyo hovyo
 
Tupo watanzania zaidi ya milioni 60, tumemuamini mama samia kuwa rais wetu, usimtishe!Usilete ramli tatanishi hapa.
Huyo dada yeye mwenyewe mkeshaji kwenye mitandao ya kijamii, ila cha ajabu hajioni amemuona Mama Samia.

Mbona Marehemu Mtakatifu Meko alikua anakesha kwenye mitandao ya kijamii na alikua akikesha mpaka "KUSIKILIZA SIMU ZA FARAGHA" za watu. Na alikua anasema wazi wazi kwamba anasikiliza simu za watu na kufuatilia sana mitandao. . . Ila hawakulisema hilo???

Huyu dada ana dalili za kuja kuwa "MWANGA au MCHAWI".
 
Kaa kwa kutulia, kuimba kupokezana, saivi zamu yenu[emoji16]
mama yupo fair sana, anatetea uhuru wa habari, anatetea wawekezaji na walipa kodi, yani anafanya yale tuliyokuwa tunaombea yafanyike, lakini bado kuna midubwasha inaleta chuki.Sijui inawashwa na nini? Muacheni afate njia ambayo inatupa raha watanzania. Tumetoka jangwani mtuache tupumzike chini ya bustani.
 
UPUUZI MTUPU!!!
 
Kwani si ndiyo alikuwa makamu na mlimuamini anaweza kushika hatamu mambo yakiwa sivyo kwa mujibu wa katiba na mlimridhia kuwa anafaa, hatuhitaji kelele mmuache atekeleze majukumu yake kwa ilani aliyoinadi kwa njia nyingine tofauti na ya mwendazake ambayo ameiona akiitumia kutakuwa na mkwamo
 
Tatizo liko wapi sasa kuna mtu hapendi kusoma mitanaoni au kosa lake kusema anasoma mitaondaoni. Mwacheni afanye kazi kadiri Mungu atakavyomuongoza hakuna mkamilifu duniani
 
Nadhani anajua faida na hasara za mitandao na ana akili na uzoefu wa kulijua hilo. Afterall mitandao ni sehemu ya maisha pia.
So calm down and relax.
 

Mama ameanza vizuri kuondoa misukule ya MEKO ambao wangemkwamisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…