Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Huyu aliyeweka bunge gizan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani nyazifa ni kama njugu, kuonjesha kila mtu.Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Hahahaha Nape zama zako zimepitwa mzee.
Akidhani anamfurahisha boss!Huyu aliyeweka bunge gizan
Hapana , big NO. Nape kwanza arudi kwenye chama. Uenezi ungemfaa. Amtoe slow slow pale. Chama kinahitaji msemaji atakayebeba maono ya Rais mpya. Yule mzee kijana mwenye sura personal atoke pale anakenuakenua meno tu.Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Hata kwenye nafasi ya chama anafiti.Hapana , big NO. Nape kwanza arudi kwenye chama. Uenezi ungemfaa. Amtoe slow slow pale. Chama kinahitaji msemaji atakayebeba maono ya Rais mpya. Yule mzee kijana mwenye sura personal atoke pale anakenuakenua meno tu shenzi.
Huu ni ushauri wa kipuuzi au umetumwa na kina Ridhiwani. Kwanini miradi yote hiyo ifutwe. hatutaki uzalishwaji umeme na gesi from watu binafsi...hii ni miradi ya familia moja ambayo waliitengeneza kusave watoto wao wasinyongwe. acheni kuwa wachoyo...familia moja au tano haziwezi kuwa eti ni muhimu zaidi kuliko watu milioni 60.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Nape hafaiMadam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Nape anafaa sana, atapambana na ili kundi la Sukuma Gang linaloongozwa na Makonda nasikia, wapo bize kumkosoa nakumtusi Mh. RaisNape hafai
Ya Mungu mengi. Huwezi jua. Kwenye siasa hakuna absolute no; wala absolute yes.Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Kwanini asikuteue wewe?Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Nape na Makonda nani yuko jirani na Rais?!Nape anafaa sana,atapambana na ili kundi la Sukuma Gang linaloongozwa na Makonda nasikia, wapo bize kumkosoa nakumtusi Mh. Rais
Yalishatokea huko nyuma. wakati Mwinyi akiwa RaisHawakujua kuna siku haya yatatokea.
Nape ni mtu sahihiNape na Makonda nani yuko jirani na Rais?!