Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kodi kubwa ni tatizo..

Weka kodi ndogo, utawa encourage watu wafungue business and ku create a sense of responsibility,..mtu anachangia pato la taifa kiroho safi...

Ukiweka kodi kubwa,unaua biashara nyingine,na mtindo huu unawafanya wafanya biashara waliopo ambao wanakatwa kodi kubwa wa feel wananyonywa na kuonewa katika nchi yao wenyewe....

Mimi nakushauri mama yangu ukae na wafanya biashara,kila mtu apaze sauti nina imani mtafikia muafaka..

Sio kweli kodi kubwa ndio maendeleo mimi napinga; ukikusanya kidogo na kiwa channeled properly lazima kizae faida, unaweza ukakata kodi kubwa na uka misuse this money
 
Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Unadhani nyazifa ni kama njugu, kuonjesha kila mtu.
 
Mnafiq, kila nikikumbuka lile tabasamu lake la kinafiq wakati anaingia ikulu,mkono ameikunja kifuani kama budha.
 
Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Hapana , big NO. Nape kwanza arudi kwenye chama. Uenezi ungemfaa. Amtoe slow slow pale. Chama kinahitaji msemaji atakayebeba maono ya Rais mpya. Yule mzee kijana mwenye sura personal atoke pale anakenuakenua meno tu.
 
Hapana , big NO. Nape kwanza arudi kwenye chama. Uenezi ungemfaa. Amtoe slow slow pale. Chama kinahitaji msemaji atakayebeba maono ya Rais mpya. Yule mzee kijana mwenye sura personal atoke pale anakenuakenua meno tu shenzi.
Hata kwenye nafasi ya chama anafiti.
 
Nape huyu huyu anayetrend online akitajwa kuwemo kwenye lile kundi la mumiani, au kuna mwingine?
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Huu ni ushauri wa kipuuzi au umetumwa na kina Ridhiwani. Kwanini miradi yote hiyo ifutwe. hatutaki uzalishwaji umeme na gesi from watu binafsi...hii ni miradi ya familia moja ambayo waliitengeneza kusave watoto wao wasinyongwe. acheni kuwa wachoyo...familia moja au tano haziwezi kuwa eti ni muhimu zaidi kuliko watu milioni 60.

Hizi ni zama za ukweli na uwazi. resources za nchi ya tanzania ni za kila mtu. Siyo za familai tano. tunajua kinachoendelea na kilichotokea. Namuomba sana mama Mh. Samia Suluh. Tafadhali tunataka mtuambie ni nini kilisababisha kifo cha raisi wetu mpendwa aliyekutangulia DR. John Joseph Pombe Magufuli. ni haki yetu sisi wananchi wa kawaida kuambiwa ukweli.

Tunawajua adui za maendeleo yetu na cha ajabu mpaka sasa hivi hawajachukuliwa hatua yeyote ile na waneshaanza kukusifia eti ili waendelee na wizi wao na uhujumu uchumi wa nchi yetu. MAMA SAMIA Mwnyenzi Mungu anakuon ana ukitenda haki na usawa Mungu mwenyewe atakuongoza vyema. Asanteni sana na kama kuna mtu amekuwa ofended samahani sana. I AM TOO UPSET.

Hivi tutaendelea kunyamaza kimya hivi hadi lini? viongozi wengi wa Afrika wanauawa tena na watu waliwachagua. Tufanyeni jambo kama taifa na kama bara
 
Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Ya Mungu mengi. Huwezi jua. Kwenye siasa hakuna absolute no; wala absolute yes.
 
Madam president, please, mpe NAPE NNAUYE wizara ya mambo ya ndani, ataimudu ipasavyo,na pia atawanyoosha hawa Mataga na sukuma Gang wanaoleta ziaka na matusi juu ya mamlaka
Kwanini asikuteue wewe?

Nape amekuzidi nini hadi umbebe mgongoni?
 
Back
Top Bottom