Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

expand...
MATAGA mmepatwa na kiwewe.

Pambio mfululizo niaka 5 limewalemaza kabisa, mmekuwa vibudu. Jiwe aliwashika vibaya sana.

Mambo ya brainwashing na cult-following.

Niseme tu CORONA BABA LAO. Mtu kazikwa na kinyesi chake😂😂😂😂
 
Ushauri mzuri.
 
Ushauri mzuri
 
Kila mtu ni mshauri wa raisi sasa!!??
 
Hakuna namna utawala uliopita unaweza kupambika never never !!! Magu aliuponda sana utawala wa JK kumbuka maneno ya " Hii nchi imechezewa sana" Muosha huoshwa Asante Mungu
 
2 Samweli 1 :16
"Daudi akamwambia, Damu yako na iwe juu ya kichwa chako mwenyewe; maana umejishuhudia nafsi yako ukisema, Nimemwua masihi wa BWANA. "

Ukisoma mistari ya sura hii iliyopita, utaona jinsi kijana huyu alivyojipendekeza kwa mfalme/mtawala, akimweleza jinsi mtangulizi wake ambaye pia alikuwa Kama mpinzani wake kwenye utawala, alivyokufa,
Kijana alidhani kwamba taarifa hi ingempendeza mtawala/mfalme wake, hata akafikiri kwamba atapewa tuzo kwa kuwa alihusika kumwua, badala yake akaambulia kifo.

2 Samweli 1 : 15
"Ndipo Daudi akamwita mmoja wa vijana, akamwambia, Mwendee, ukamwangukie. Basi akampiga hata akafa."

Hivi ndivyo mtawala anavyoweza kuondoa uovu katika utawala wake.
 
Ushauri mzuri, hii tabia ya kuponda tawala zilizopita sio poa. Magu aliponda sana utawala wa JK, he's getting the same reward japo akiwa udongo, JK did the same kwa Ben.

SSH awe smart zaidi...tunamuombea japo anaongoza watu hatari sana, watz ni viumbe hatari mno, atajitia kidole(sorry for my language) ili tu ajaze utumbo wake. Watu walioimba na kuabudu utawala wa JPM leo ndio ring leaders wa kumoonda mzee, don't expect any better from such imbeciles.
 
Hamjambo wote...??

Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia...

Umeandika haya:

"Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia.."

kisha ukaendelea kumponda aliyepita vilivyo.

Mwacheni mama ainyooshe nchi. Hii ni awamu ya 6.

Hiiiiii bagosha!
 
Kama ndoto huja kweli, kuna uwezekano mkubwa wa mama kuhurumia wafaidika wa mifuko ya jamii na kurejesha FAO hili lililokuwa msaada mkubwa kwa wanachama
 
Hiyo kitu ilikuwa inaumiza watanzania, mama hatakubali hiyo sheria kupitishwa kabisa!
 
Huo ukandamizaji kwenye maslahi ya watu ulilenga kumfanya mwendazake atunishe mfuko ili aweze kufanya mamiradi yake ikiwemo kujenga jiji la chato..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…