Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Tutazinguana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamjambo wote...??
Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia..
Labda Magufuli alifanya ufisadi, yes ni jambo baya linalofaa kukemewa vibaya, but hey, he had Tanzanians best interests at heart! No doubt...
And yes kama biandamu wengine walivyo na madhaifu,alikua na udhaifu wa kutaka kufanya decisions peke yake,kwa mfano kuendeleza Chato...
Aliendesha Tanzania as king and not a president...
Mama Samia , huu udhaifu uwe ndio njia ya kudefine serikali yako,
Mama usichukue na kufanya miradi ya Magufuli tofauti,
Kwa kufanya hivyo utakua unatembelea kivuli cha Magufuli,...... ambapo miradi yake ikiisha je na serikali yako itakua imekufa???
Angalia the whole picture...his leadership is what you should change not miradi yake....
Create your own government, unique leadership style..huku ukiangalia kwa ukaribu wapi viongozi waliopita walishindwa ku lead a nation kwa weledi....
Mimi naomba na ninakuombea uwe kiongozi mwenye busara...
Magufuli Aliweka Gap kwetu sisi wananchi tukawa na Bunge tusilione,akazuia mikutano ya hadhira ya wanasiasa, na kufungia vyombo vya habari...
Hii yote ni kucreate tabaka/gap kati ya viongozi na wananchi, which we all know was because he didnt want to be questioned or challenged of his decisions on Projects such those of Chatto.
He lead the nation singly....
Itapendeza Government yako kama itakua serikali sikivu na iwa involve/engage wananchi
Wasalaam, Becky!
MATAGA mmepatwa na kiwewe.expand...
MATAGA mmepatwa na kiwewe.
Pambio mfululizo niaka 5 limewalemaza kabisa, mmekuwa vibudu. Jiwe aliwashika vibaya sana.
Mambo ya brainwashing na cult-following.
Niseme tu CORONA BABA LAO. Mtu kazikwa na kinyesi chake😂😂😂😂
Ni Matanga /private sio?NO Mataga hia 🙄
Ushauri mzuri.Hamjambo wote...??
Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia..
Labda Magufuli alifanya ufisadi, yes ni jambo baya linalofaa kukemewa vibaya, but hey, he had Tanzanians best interests at heart! No doubt...
And yes kama biandamu wengine walivyo na madhaifu,alikua na udhaifu wa kutaka kufanya decisions peke yake,kwa mfano kuendeleza Chato...
Aliendesha Tanzania as king and not a president...
Mama Samia , huu udhaifu uwe ndio njia ya kudefine serikali yako,
Mama usichukue na kufanya miradi ya Magufuli tofauti,
Kwa kufanya hivyo utakua unatembelea kivuli cha Magufuli,...... ambapo miradi yake ikiisha je na serikali yako itakua imekufa???
Angalia the whole picture...his leadership is what you should change not miradi yake....
Create your own government, unique leadership style..huku ukiangalia kwa ukaribu wapi viongozi waliopita walishindwa ku lead a nation kwa weledi....
Mimi naomba na ninakuombea uwe kiongozi mwenye busara...
Magufuli Aliweka Gap kwetu sisi wananchi tukawa na Bunge tusilione,akazuia mikutano ya hadhira ya wanasiasa, na kufungia vyombo vya habari...
Hii yote ni kucreate tabaka/gap kati ya viongozi na wananchi, which we all know was because he didnt want to be questioned or challenged of his decisions on Projects such those of Chatto.
He lead the nation singly....
Itapendeza Government yako kama itakua serikali sikivu na iwa involve/engage wananchi
Wasalaam, Becky!
Ushauri mzuriSio wema sepetu kweli wewe , anyway miradi ya Jiwe Ile mikubwa haina wahisani na inazidi uwezo wa Taifa kuihudumia, thus why Jiwe alifanya yafuatayo
1.Kusitisha vibali vya ajira , ( only kiduchu tuu aliruhusu)
2. Kukopa ndani na nje ya nchi , ukopji wa ndani ulilenga kwenye mifuko ya hifadhi na hapa iliathiri pesa za wastaafu, ukopaji wa nje uliongeza deni la Taifa
3. Kubuni Kodi za kila aina ikiwemo kuwabambikizia kesi watu wenye pesa , na pale walipotoa pesa kesi iliisha..
4. Kupiga chini nyongeza ya mishahara
5.Tenda nyingi zilipewa taasisi za kiserikali ili malipo yafanyike kiduchu , ili pesa ipelekwe kwenye miradi ,
6.Kutafta kasoro kwenye mfumo wa ajira eg wenye vyeti feki , na kuchukua pesa zao za mafao
7. N.k
Bado katika mazingira haya Hali ilikuwa mbaya ,na option iliyokuwepo ni yeye kubaki madarakani ili aimalizie....
Kwa mtazamo wangu mama ana option nne
1. Kuipiga chini hyo miradi
2.Kuendana nayo mdogo mdogo kulingana na uwezo wa Taifa
3.Kuendana nayo Kwa style ya kimaghufuli
4.Kutafta wahisani
Ni uamzi wake sasa..
Kila mtu ni mshauri wa raisi sasa!!??Hamjambo wote...??
Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia..
Labda Magufuli alifanya ufisadi, yes ni jambo baya linalofaa kukemewa vibaya, but hey, he had Tanzanians best interests at heart! No doubt...
And yes kama biandamu wengine walivyo na madhaifu,alikua na udhaifu wa kutaka kufanya decisions peke yake,kwa mfano kuendeleza Chato...
Aliendesha Tanzania as king and not a president...
Mama Samia , huu udhaifu uwe ndio njia ya kudefine serikali yako,
Mama usichukue na kufanya miradi ya Magufuli tofauti,
Kwa kufanya hivyo utakua unatembelea kivuli cha Magufuli,...... ambapo miradi yake ikiisha je na serikali yako itakua imekufa???
Angalia the whole picture...his leadership is what you should change not miradi yake....
Create your own government, unique leadership style..huku ukiangalia kwa ukaribu wapi viongozi waliopita walishindwa ku lead a nation kwa weledi....
Mimi naomba na ninakuombea uwe kiongozi mwenye busara...
Magufuli Aliweka Gap kwetu sisi wananchi tukawa na Bunge tusilione,akazuia mikutano ya hadhira ya wanasiasa, na kufungia vyombo vya habari...
Hii yote ni kucreate tabaka/gap kati ya viongozi na wananchi, which we all know was because he didnt want to be questioned or challenged of his decisions on Projects such those of Chatto.
He lead the nation singly....
Itapendeza Government yako kama itakua serikali sikivu na iwa involve/engage wananchi
Wasalaam, Becky!
Kila mtu ni mshauri wa raisi sasa!!??
Hakuna namna utawala uliopita unaweza kupambika never never !!! Magu aliuponda sana utawala wa JK kumbuka maneno ya " Hii nchi imechezewa sana" Muosha huoshwa Asante MunguHamjambo wote...??
Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia..
Labda Magufuli alifanya ufisadi, yes ni jambo baya linalofaa kukemewa vibaya, but hey, he had Tanzanians best interests at heart! No doubt...
And yes kama biandamu wengine walivyo na madhaifu,alikua na udhaifu wa kutaka kufanya decisions peke yake,kwa mfano kuendeleza Chato...
Aliendesha Tanzania as king and not a president...
Mama Samia , huu udhaifu uwe ndio njia ya kudefine serikali yako,
Mama usichukue na kufanya miradi ya Magufuli tofauti,
Kwa kufanya hivyo utakua unatembelea kivuli cha Magufuli,...... ambapo miradi yake ikiisha je na serikali yako itakua imekufa???
Angalia the whole picture...his leadership is what you should change not miradi yake....
Create your own government, unique leadership style..huku ukiangalia kwa ukaribu wapi viongozi waliopita walishindwa ku lead a nation kwa weledi....
Mimi naomba na ninakuombea uwe kiongozi mwenye busara...
Magufuli Aliweka Gap kwetu sisi wananchi tukawa na Bunge tusilione,akazuia mikutano ya hadhira ya wanasiasa, na kufungia vyombo vya habari...
Hii yote ni kucreate tabaka/gap kati ya viongozi na wananchi, which we all know was because he didnt want to be questioned or challenged of his decisions on Projects such those of Chatto.
He lead the nation singly....
Itapendeza Government yako kama itakua serikali sikivu na iwa involve/engage wananchi
Wasalaam, Becky!
Apo kwenye dot........ Ndio nime pasomaNaamini Mama ataisoma....
2 Samweli 1 :16Aisee huyu mama inabidi awe makini sana,Inabidi ajue aina ya viongozi alionao na jinsi walivyojaaliwa uwezo/vipaji wa kubadilika badilika at any time ( T).ajue kua anaongoza serikali ambao viongozi wenzake wana uwezo wa kujipendekeza kwa hali yoyote ile ili kulinda nafasi/matumbo yao.
Yaani ghafla wale walioanza kumponda aliemuachia kiti angeanza nao hao awapige chini wote,tabia hizo hizo watamfanyia na yeye miaka michache ijayo.
Ni kweli,Hakuna namna utawala uliopita unaweza kupambika never never !!! Magu aliuponda sana utawala wa JK kumbuka maneno ya " Hii nchi imechezewa sana" Muosha huoshwa Asante Mungu
Hamjambo wote...??
Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia...
Umeshaamuka? au bado umelalaKama ndoto huja kweli, kuna uwezekano mkubwa wa mama kuhurumia wafaidika wa mifuko ya jamii na kurejesha FAO hili lililokuwa msaada mkubwa kwa wanachama
Ndio NimezindukaUmeshaamuka? au bado umelala