Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kama Rais Mama suluhu Hassan aliogopa kuyafungulia Magazeti yote baada ya kuelezwa kwa kina kuwa yapo ya hatari yatajichomeka.
Ni lazima na hapa wamshtue kuhusu hao Masheikh walivyoisumbua Zanzibar sembuse huku Bara walipowakamata.
Nguvu yao haijaisha labda wapewe Masharti ya kifungo cha nje lkn kiini chao hakijaisha
bado kundi kubwa linapinga Muungano hata Rais analijua hilo
 
Magufuli ameharibu hii nchii kwa kiwango kikubwa sana.
Alichofanikiwa ni kutengeneza vijana omba omba na walamba makalio ya wanasiasa na wenye vyeo
Lumumba buku saba mnatabu sana
 
We mpuuzi kweli!
Matusi ya nini tena> hapa tunajadili kuhusu hao Magaidi, unajua walikataa Utawala wa sasa, wakitaka utawala wa matakwa yao, walijaa ubaguzi wa Dini, unajua watamsumbua Mama?
Kwa kweli mashehe wameteswa Sana.
Rugemalila ha Habinder Sigh wao hawateseki kwa ajili ya pesa zao?
wameambiwa wakubali pesa zao walizozitafuta wampelekee Mwendesha Mashtaka
ni sheria ya wapi imewabana mpaka wanateseka hivyo?
 
Bwa shehe mbona jazba? Kwani mimi ndo nimewaweka ndani hao watu? Unataka kusema kwamba ,tusitetee mashehe kwakuwa kuna watu wa dini nyingine nao wanateswa? Uzi ulihusu mashehe ,Kama vipi anzisha wa akina Sith na Ruge.
 
Wakae jela huko huko. Maana wakitoka wataanzisha kikundi kama cha Msumbiji, Boko Haram, na Al shabab. Walianzisha uamsho ili wafanye nn? Hao hao ndiyo walikuwa wanataka kuwepo na mahakama ya Kadhi.
Ikibidi wafungwe maisha kbsa.
Unaonaje wanyongwe kabisa mzee tena hadharani bila kesi yao kutolewa hukumu?
 
Wazee jaribuni kuchangia kwa hoja wekeni chuki pembeni.
Wakitolewa wataenda ungana na wenzao wa kule msumbiji subiti kwanza.

Wakae jela huko huko. Maana wakitoka wataanzisha kikundi kama cha Msumbiji, Boko Haram, na Al shabab. Walianzisha uamsho ili wafanye nn? Hao hao ndiyo walikuwa wanataka kuwepo na mahakama ya Kadhi.
Ikibidi wafungwe maisha kbsa.

Hao magaidi na suruali zao nusu hawafai kwa usalama wa nchi
 
Yameandikwa mitandaoni,unataka tusii yaamini.
Mkuu JF unatakiwa kujiongeza.Wapo watu wa kila aina humu,Freemason,Wachawi,makuadi wa mabeberu,mafisadi na makuadi wao,mashoga na makuadi wao,wauza madawa ya kulevya na makuadi wao, wanachama wa vyama siasa,makuadi wa serikali na watu wenye mawazo ya kujitegemea na hawa ni wachache sana.Kwa hiyo unatakiwa kuchuja sana habari,uwe intelligent and diagnostic,vingenevyo utasombwa na kila upepo,kwa kuwa kila mmoja anavutia upande wake.
 
That was sarcastically presented.

sarcastic- meaning : given to using irony in order to mock or convey contempt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…