Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Misukule imefufuka baada ya JPM kufariki inajifanya kumpongeza SSH kwa kuonyesha ni mtu safi... Legacy ya Magu haiwezi kupotea hata siku moja... Na humu mitandaoni ndio tunaparuna ila kwa walioitwa wanyonge JPM ni shujaa wao mwanzo mwisho.

SSM akiendelea kujichanganya huu ndio muhula wake wa mwisho... Asisahau Mangula anampia, Bashiru anapimia, Mabeyo, Mipango and alike. Atafyekwa mapema sana.
 
Hizi mada nmezichoka sasa!!ukiwa insta,Facebook,tweeter,ukija Jf kote zimetamalaki mno!

Hivi kwann musimuache Magufuli apumzike sasa?

Twendeni na Mama Samia suluhu
 
MSOMI HURU GEREZANI
Tangu rais samia suluhu hassan alipoingia madarakani nimekua nikifuatilia sana hotuba zake pamoja na ripoti anazotoa CAG na nimegundua baadhi ya vitu...
JK ndiye anamharibia mama Samia maskini ya mungu
 
They did not just criticized that's lying, they jail them, as said Uamsho has call for referendum, the issue here is why they did not call for referendum or trial.
 
Hilo sahau kabisa na hamtoweza kumuondoa. Sasa hivi tumerudi kwenye mfumo unaoeleweka ulimwenguni kwamba Rais wa Nchi ni " Taasisi" na sio chombo au mali ya mtu binafsi kama alivyofanya yule mfu wenu, sasa wewe na watu wako jaribu halafu muone kitakachowapata
 
JPM ni mchafu na haihitaji kuchafuliwa na; mtu mwingine...
Shetani wenu kafa, endeleeni kuruka ruka Kama bisi
 
Alisha zikataa sifa zizizo za kweli kama tulipotoka,matokeo yameanza kuonekana na tunamatumaini tele na mabadiliko bado yanakuja .
 
Zuzu ww sukuma gang
 
Mkuu hiyo ni trend inayo endelea tu, kuna kiongozi mmoja zamani za kale alisema Kikwete anawashwa washwa, Lakini hata hakuchfuka! Mama SSH ana haki ya kuonesha mapungufu, kwa sababu pengine alikua karibu na mwendazake kuliko hata nyumba ndogo zinazo jionesha kukwazwa! Mama anajua wapi JPM alifanya ndivyo sivyo, yupo best informed kuliko any keabord worrier kama Wewe!
 
Pesa zinaweza zikaingia mfukoni 2025 akaja jiwe mwingine kuzikomba tena kwa sababu ya Katiba mbovu. Katiba mpya ndio suluhisho la matatizo yetu.
Sio lazima Katiba mpya muda huu, hitaji kubwa ni pesa ziingine mifukoni kwanza.
 
tulia mama wacha hasira,bibi yuko anapima nguvu ya umma iko wapi??

ameshajua iko na jpm,kwahiyo nyinyi wazee wa fulsa endeleeni kuskilizia michongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nendeni kaufukueni uho mzoga muuweke kwenye sebule zenu kama mnampenda sana
 
Nasikia Mwendazake huko aliko hata ukiranja wa malaika kanyimwa
Juzi mume wa malkia Marehemu Philip alipofika akamuuliza Kambarage (RIP)
"huyu buldozer aliyetoka TZ si niliambiwa kaja huku?" akajibiwa jana taarifa ya CAG imemuhamisha sasa yupo chumba kingine cha kusaga meno
jamani huyu jamaa tumsahau tu tuangalie wema wetu na Mama yetu atuongoze vyema
 
They did not just criticized that's lying, they jail them, as said Uamsho has call for referendum, the issue here is why they did not call for referendum or trial.
Jibala hii Mada naona haikuwa hapa na km sikosei uliianzisha kuhusu Watoeni Jela Masheikh wa UAMSHO acheni longolongo, au Mods wamechanganya madesa?

tukirudi kwenye Mada yetu ni kuwa UAMSHO walitishia Muungano na Serikali ya huko ikanyamza ila ya Muungano ikaona hawa watu ni hatari sana kwa mustakabali ikabidi wakatolewe huko waliko wakaletwa na ndio maana Mashtaka mpaka leo hayaeleweki ni Jinai au Uhaini.

Makamu wa Rais, naona wakati huo alikuwa Mwanasheria Bw Othman Masoud na kwa vile yupo juu huko wataamua vizuri sasa kwani wana Mamlaka.

https://www.facebook.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…