Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ushahidi upo
1. Aliagiza mahabusu ambao serikali haina ushahidi waachiwe je? Wameachiwa wangapi hadi leo?
Aliagiza vyombo vya habari vilivyo fungiwa kuhuni vifunguliwe na sheria zifuatwe? Leo waziri anataka wakajiekeze kwake. Kati ya waziri na Rais nani mwenye mamlaka?
3. Wawekezaji akaunti zao zifunguliwe. Umesikia majibu ya Mwigulu na wabunge wenye akili wa darasa la saba?
Hebu tuache ushabiki, Samia Suluhu ndie Rais wetu pendeni msipende.
Mbona unataka kufanya mambo kienyeji. Watu hawaachiwi bila kujiridhisha kuwa kweli walionewa. Hii inaepusha kuachia wasiostahiki na wapo wataachiwa na kufidiwa. Hayo majibu ya Mwigulu kwani rais hakuyasikia/mbona alisema wazi kuwa hayo ndiyo maagizo ya rais? Kuhusu vyombo vya habari, nadhani hukusoma rejoinder iliyotolewa baada ya rais kutoa ushauri husika. Pia jikumbushe kuwa rais alionya kuwa lazima vyombo husika vifuate sheria. Nadhani hapa nimekuingizia vizuri.
 
nakubaliana na mawazo ya mtoa hoja. Kinacho niuma mimi ni pale ambapo wabunge wanajadili masuala bungeni wakisahau kuwa wapo awamu ya sita na siyo ya tano. Nuhimu kuliko yote ni kufumua mfumo mzima wa ulinzi na usalama. Mle ndani kuna watu waadilifu na wacha Mungu. Bahati mbaya sana kuna watu walipenda shortcut kwa kutegemea kulindwa na mtu hao hawatufai hata kidogo. Mabeyo ni mcha Mungu atakusaidia, viongozi wadini na watanzania watukuembea usiku na mchana na mama yetu mpendwa utavuka salama. Kaa karibu na pinda ni mzalendo wa kweli na atakushauri vizuri. Usimuache mze butiku, Mzee Mkama, Mzee warioba, Mzee Lowassa, Mzee Karume, Mzee wasira hawa wana busara nyingi sana na wanaifamu historia ya nchi vizuri. Mwenyezi akulinde akujaliye afya njema na siku nyingi zenye kheri.
Akae mbali sana na subwoofer maana hana jema
 
Kwasababu ni mtoto,hivyo hana uwezo ,kama wewe BABAKE umeshindwa kuelewa KUDIGEST ataweza mwanao???

Why can't you hide your level of stupidity???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,Shame on you [emoji2955][emoji2955][emoji2][emoji2]
Hiyo tunaita like son like father
 
Watu unaodhani wapo na wewe hawapo na wewe,hilo ni kundi lenye itikadi ya mrengo wa kushoto.
Ni kundi Toxic,lililoathiriwa na fifth phase administration,ni kundi linaloamini Tofauti na unavyoamini wewe.
Hata namna unavyoendesha Serikali hili kundi linakupinga kimya kimya, Report ya CAG wanaamini imelenga kumchafua Hayati, wanaamini wewe ulikuwa kinyume na Hayati ndo maana CAG kaanika hayo madudu.
Kwanza hawaamini kuwa kifo cha Magufuli ni kazi ya Mungu bali wanaamini kuwa kuna hujuma imefanyika.
Hili ni kundi ambalo baadhi yao wengi Tu umewapa vyeo vikubwa.
Baadhi yao wanadiriki kusema kuwa wewe siyo CCM halisi,Eti utakuwa CHADEMA ,yote hii hawataki wala kusikia Hayati anakosolewa.
Walimuona mungu mtu asiyeweza kukosea lolote.
Hawa ndo wanajipanga kuusaka Urais 2025, ndo hawa hawa waliokuwa wanakupiga majungu usifike ili usifike hapo ulipo.
Wataalamu wa ujasusi wana slogan yao inasema,"once an enemy always an enemy".
Usitarajie hao watu wakakupenda au kukuunga mkono, Kwanza hapo walipo wamechanganyikiwa,hawajui la kufanya,hawana uwezo tu kwa sababu upo juu yao.
Ushauri wangu kwako, ni huu.
1.Ifumue TISS yote kuanzia DGS hadi chini yaani from the Top to the Bottom.
2.Teua mawaziri wapya wote sambamba na wakuu wa mikoa na wilaya.
3.Usipuuze mawazo ya wapinzani
MUHIMU
CDF aendelee kuwa Mabeyo,na hata muda wake ukiisha mwongezee,na zaidi ya yote huyu mzee mwongeze mshahara,anakufaa sana,IGP hana shida yoyote pia.
Message sent and Delivered
Uchambuzi huu uko DEEP. Sina nyongeza Bali nakupa kongole
 
Safari hii mataga na gang lenu hamna pa kushika.
Mrudi kwenu burundi
Sasa mbona hueleweki mara mama kazungukwa na "wanafiki" sasa hai wanafiki si Mimi miongoni "mwao" mara hakuna pakushika ina maana Mama yupo pamoja nawe sasa kelele, na kujisogeza huku mara kule kama mtu aliye kwenye maji ya moto ya nini yote hayo
 
Chadema na Ufipa wamesahau kuwa huyu mama ni CCM na bila ya CCM hana chochote Ufipa wamekuwa washauri wa huyu mama wamesahau kuwa Lissu ni mwanasiasa wao na mgombea wao
 
Ushahidi upo
1. Aliagiza mahabusu ambao serikali haina ushahidi waachiwe je? Wameachiwa wangapi hadi leo?
Aliagiza vyombo vya habari vilivyo fungiwa kuhuni vifunguliwe na sheria zifuatwe? Leo waziri anataka wakajiekeze kwake. Kati ya waziri na Rais nani mwenye mamlaka?
3. Wawekezaji akaunti zao zifunguliwe. Umesikia majibu ya Mwigulu na wabunge wenye akili wa darasa la saba?
Hebu tuache ushabiki, Samia Suluhu ndie Rais wetu pendeni msipende.
Na kama hawataki kumheshimu rais wetu basi warudi kwao burundi
 
Mkuu uko vizuri mno. Umeleza yaliyo kweli kabisa. Maadui ni wengi mno. Imagine wale wa vikao vya kutaka kupindua meza bado wana vyeo. Mama awe makini mno. Ninaamini kuna watu wake humu wampelekee huu ujumbe ni wa ukweli. Akitaka kufanikiwa asizibe viraka bali ashone nguo yake mpya ambayo anajua imemtosha vizuri. Hao aliyorepea ameacha wafuasi na wateule kutoka makenikia ajue alifanya kosa kubwa mno.
Na aliyemshauri hivyo atakuwa kundi hilo ovu kabisa. Ajue wanaendelea kujipanga mpaka wahakikishe 2025 hawampi.

Mama tunakupenda, mama umekuwa faraja kwa kila sekta, binafsi na umma najua utaboresha. Mama unapendwa na hilo ndilo linalowauma Makenikia. Mama shtuka.
Tumuombee Mungu amsimamie
 
Back
Top Bottom