Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ni kwel sema kutengua baraza lote ni kaz nyingine tena sema angalie wanaomfaa kwenye hii safari hadi 2025
 
Ubarikiwe sana Mkuu. Tupige maombi. Watashindwa tu hao mafisi. Mungu ametupa Rais wetu ni lazima tumtii na kumheshimu. Asafishe nyumba yake bila kuacha hata taka isiyoonekana.
Kwa umoja wetu watamzania wenye nia njema na nchi yetu bila kufuata ukanda maombi yetu yatakubaliwa na Mungu
 
Watu unaodhani wapo na wewe hawapo na wewe,hilo ni kundi lenye itikadi ya mrengo wa kushoto.
Ni kundi Toxic,lililoathiriwa na fifth phase administration,ni kundi linaloamini Tofauti na unavyoamini wewe.
Hata namna unavyoendesha Serikali hili kundi linakupinga kimya kimya, Report ya CAG wanaamini imelenga kumchafua Hayati, wanaamini wewe ulikuwa kinyume na Hayati ndo maana CAG kaanika hayo madudu.
Kwanza hawaamini kuwa kifo cha Magufuli ni kazi ya Mungu bali wanaamini kuwa kuna hujuma imefanyika.
Hili ni kundi ambalo baadhi yao wengi Tu umewapa vyeo vikubwa.
Baadhi yao wanadiriki kusema kuwa wewe siyo CCM halisi,Eti utakuwa CHADEMA ,yote hii hawataki wala kusikia Hayati anakosolewa.
Walimuona mungu mtu asiyeweza kukosea lolote.
Hawa ndo wanajipanga kuusaka Urais 2025, ndo hawa hawa waliokuwa wanakupiga majungu usifike ili usifike hapo ulipo.
Wataalamu wa ujasusi wana slogan yao inasema,"once an enemy always an enemy".
Usitarajie hao watu wakakupenda au kukuunga mkono, Kwanza hapo walipo wamechanganyikiwa,hawajui la kufanya,hawana uwezo tu kwa sababu upo juu yao.
Ushauri wangu kwako, ni huu.
1.Ifumue TISS yote kuanzia DGS hadi chini yaani from the Top to the Bottom.
2.Teua mawaziri wapya wote sambamba na wakuu wa mikoa na wilaya.
3.Usipuuze mawazo ya wapinzani
MUHIMU
CDF aendelee kuwa Mabeyo,na hata muda wake ukiisha mwongezee,na zaidi ya yote huyu mzee mwongeze mshahara,anakufaa sana,IGP hana shida yoyote pia.
Message sent and Delivered
Hakuna kitu umeandika utopolo mtupu!! Eti unamshauri kuifumua TISS from top to bottom!! Unaujua mfumo wa TISS wewe nyumb? Ngoja niishie hapa tu!.
 
Kwenye masuala ya TISS huyo unayemtukana humgusi hata chembe , hebu mfuatilie vizuri
 
Ushahidi upo
1. Aliagiza mahabusu ambao serikali haina ushahidi waachiwe je? Wameachiwa wangapi hadi leo?
Aliagiza vyombo vya habari vilivyo fungiwa kuhuni vifunguliwe na sheria zifuatwe? Leo waziri anataka wakajiekeze kwake. Kati ya waziri na Rais nani mwenye mamlaka?
3. Wawekezaji akaunti zao zifunguliwe. Umesikia majibu ya Mwigulu na wabunge wenye akili wa darasa la saba?
Hebu tuache ushabiki, Samia Suluhu ndie Rais wetu pendeni msipende.
Hata Obama alitaka kufunga Guantanamo Bay, lakini hadi Leo bado ipo na Obama alimaliza mihula yake 2 times US President
 
Kwenye masuala ya TISS huyo unayemtukana humgusi hata chembe , hebu mfuatilie vizuri
Wewe na huyo ni walewale tu. Nimeuliza unaujua mfumo wa TISS mpaka uufumue from top to bottom? Ndiyo swali langu nijibu basi dada?
 
Watu unaodhani wapo na wewe hawapo na wewe,hilo ni kundi lenye itikadi ya mrengo wa kushoto.
Ni kundi Toxic,lililoathiriwa na fifth phase administration,ni kundi linaloamini Tofauti na unavyoamini wewe.
Hata namna unavyoendesha Serikali hili kundi linakupinga kimya kimya, Report ya CAG wanaamini imelenga kumchafua Hayati, wanaamini wewe ulikuwa kinyume na Hayati ndo maana CAG kaanika hayo madudu.
Kwanza hawaamini kuwa kifo cha Magufuli ni kazi ya Mungu bali wanaamini kuwa kuna hujuma imefanyika.
Hili ni kundi ambalo baadhi yao wengi Tu umewapa vyeo vikubwa.
Baadhi yao wanadiriki kusema kuwa wewe siyo CCM halisi,Eti utakuwa CHADEMA ,yote hii hawataki wala kusikia Hayati anakosolewa.
Walimuona mungu mtu asiyeweza kukosea lolote.
Hawa ndo wanajipanga kuusaka Urais 2025, ndo hawa hawa waliokuwa wanakupiga majungu usifike ili usifike hapo ulipo.
Wataalamu wa ujasusi wana slogan yao inasema,"once an enemy always an enemy".
Usitarajie hao watu wakakupenda au kukuunga mkono, Kwanza hapo walipo wamechanganyikiwa,hawajui la kufanya,hawana uwezo tu kwa sababu upo juu yao.
Ushauri wangu kwako, ni huu.
1.Ifumue TISS yote kuanzia DGS hadi chini yaani from the Top to the Bottom.
2.Teua mawaziri wapya wote sambamba na wakuu wa mikoa na wilaya.
3.Usipuuze mawazo ya wapinzani
MUHIMU
CDF aendelee kuwa Mabeyo,na hata muda wake ukiisha mwongezee,na zaidi ya yote huyu mzee mwongeze mshahara,anakufaa sana,IGP hana shida yoyote pia.
Message sent and Delivered
Sasa akitaka kuanguka afanye hayo unayomshauri!
 
Hakuna kitu umeandika utopolo mtupu!! Eti unamshauri kuifumua TISS from top to bottom!! Unaujua mfumo wa TISS wewe nyumb? Ngoja niishie hapa tu!.
Wewe siyo saizi yangu,Tafuta saizi yako Bwana mdogo,naijua TISS nje ndani, ugolo ni wewe,bichwa lako ni Tupu,huna unalojua zaidi ya kushabikia CCM Tu kama kahaba wa Tandale,Eti unajiita Magu,naona na wewe mauti inakuita wakati wowote
 
CCM kulakula na wezi lazia watampinga huyu mama.
Ila kwa wasaliti ndani ya ccm ni wengi mno! hasa yule wa pale mjengoni idodomya ni msaliti na ndumi la kuwili kwleikweli!
Mama kuwa makini sana mandumi la kuwili na wanafiki ndani ya ccm kwani mchana wanakuunga mkono lakini usiku wana vikao vya kukukwamisha!
 
Hayo maharage utaenda kula kuzimu na wafu wako. Tanzania imeanza maisha mapya ya furaha tena. Hata nisipokuwa na sent tano kwenye wallet lakini nikiwa na furaha inatosha. Toka 17 March hakuna mtu amepigwa au kusikia amefia mahabusu kwa kipigo. Hatujasikia mtu amechukuliwa kwenye familia na asionekane tena hata mwili wake. Watu wako na uhuru hata kutumia vyombo vya habari kuongea. Enzi za yuke dikteta ni mpaka upate kibali eti uoongee. Daaaahh Tanzania ilikuwa imebadilishwa jina maana si kwa Tanzania inayojulikana dumiani.

Ila Mungu ni fundi sana.

miezi miwili tu tayari ushatoa score marks[emoji16][emoji16].
 
Hapa upo ufipa halafu unampa ushauri Rais Samia

Back
Top Bottom