Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kizazi cha kazi na bata ndiyo kinatakiwa kwasasa. Vitu vipumzike kwanza.
 
Tunakuamin Mama yetu(Rais wetu) na hakika utaweza kutuvusha hapa tulipo kutupeleka mbalia zaid,Una uzoefu wa uongozi ktk nchi hii na utendaji kazi wa watu wako, hivyo Chagua Makamu wa rais umtakaye na sio wa kwenye Magazeti au Social media!..TUNAKUOMBEA DUA MAMA YETU!
 
Kwani yeye mwenyewe hafahamu kuhusu hilo mpaka umshauri wewe?
 
Mwach
Acha mikwara wewe, mama Samia ndiye amiri jeshi muu sasa hivi, na ataongoza nchi kadri kwa style yake sio lazima amuige Magufuli, Magufuli ameshakufa.

Magufuli ali reverse vitu vingi vya Kikwete tu alivyoona havipo sawa, Mwinyi pia ali reverse vingi vya Nyerere ambavyo aliamini havipo sawa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete n.k
 
Tunakuamin Mama yetu(Rais wetu) na hakika utaweza kutuvusha hapa tulipo kutupeleka mbalia zaid,Una uzoefu wa uongozi ktk nchi hii na utendaji kazi wa watu wako,hivyo Chagua Makamu wa rais umtakaye na sio wa kwenye Magazeti au Social media!..TUNAKUOMBEA DUA MAMA YETU!
Ccm chama cha wababe wana taka kumchagulia makamu wa rais. Wakati yeye ndie ataje anae taka halafu Ccm ilipitishe hilo jina..
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa...
Huu ushauri mbovu... unajua ni kiasi gani hiyo mradi ishagharimu taifa ?
 
Kwani yeye mwenyewe hafahamu kuhusu hilo mpaka umshauri wewe?
Hakuna binadam aliyekamilika MAMA YETU naamin ni mpenda ushaur kwahiyo tuache tutumie mabando yetu kwa gharama zetu kumshaur Mama inakuuma nini,siku za nyuma tulikuwa hatuna uwezo wa kushaur lakin kwa sasa tuko huru kwahiyo tuache tushaur tunavyotaka!,Kama imekuuma sana kumshaur mama Zima data ukae pembeni!
 
mh rais maguful alifanya kazi katika style yaHave Nothing to lose hii
hii ni style ambayo kwa maamuz yako na misimamo yako tegemea kutopendwa na nchi za nje ambazo utakutana nazo katika masuala ya kimaslahi.

Hii style ni ngumu ila rahis kama ambavyo anasemaga mwenyewe aliamua kujisacrifice kwa ajili ya watanzania. maaana unapoamua kusimamia mfano rasilimal za taifa jua tu hutawapendeza wanaozitaka, sasa nini cha kukufanya?

Watakimbilia kutoa sactions, kukupiga ban usitembelee nchi zao,mara vikwazo n.k. mzee hakujal hili ndio maana akaamua kusimamia misimamo mpaka madini yetu yakapata thamani,kajenga ukuta wa mererani. kafumua mikataba ya madini kafuta ssafar za nje sasa huend mpakankwa ruhusa ya katibu mkuu kiongozi.

Na ndio mana aliboresha huduma za afya hata akiumwa atibiwe hapahapa.walobal wakisimama na misimamo mambo yataenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa...
yaan wewe ndio bure hamnzo.unaposema unataka maendeleo ya watu na sio vitu ,ujinga wako huu ungepost vipi kama ttcl haikutandaza mkongo wa taifa?

haya hutaki barabara hizo nyanya vijijin zitapaa kwa ungo kuja mjini? leo SGR inakaribia kukamilika awam ya kwanza watu wateleze.
 
Siyo awamu ya sita mkuu,Rais wa sita awamu ya tano. Awamu ni miaka kumi
Loh, ndugu yangu, huna unaloelewa: Miaka 10 ni muongo mmoja, wala siyo awamu. Awamu ni kipindi maalum alichokaa Raisi madarakani. Mfano awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere ni miaka 24. Tukitaka kukubaliana na wewe, Nyerere aliongoza/alitawala awamu ngapi?

Tumia common sense wakati mwingine, usipotoshe watu, Samia ni Raisi wa awamu ya Sita. Ni raisi wa sita. Awamu ya tano iliisha 19/3/2021.
 
Matarajio yangu ni kuwaona "WAPINZANI WALIONUNULIWA" wakiishi kama machokoraa. Aliokua anawapa kichwa na jeuri sasa hayupo, wenye chama chao wanarudisha utawala ndani ya CCM. Hekima na Busara itawale kwa viongozi wa umma (Wakituchapa viboko tena mara ingine, tujitetee self-defence kwa kuwachapa makofi).

Maisha yanaenda kwa kasi sana, hatukawii kupanda nao BRT mtaani.
 
Maziwa na Asali
Unataka kuonaabomba ya maziwa na asali nchi nzima si ndio??

Hata hivyo miradi ya kusambaza maji ishakamilishwa na Hayati,kazi aliyobakisha mama ni kuhakikisha mabomba yanatoa maziwa na asali tu nchi nzima mkilipa kodi vizuri inawezekana hii nchi tajiri
 
Back
Top Bottom