Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeibuka kutoka machimboni kwenu NgaraNi wiki ngumu na yenye majonzi. Wanalia pale uwanja wa Uhuru kuanzia watoto wa shule za msingi mpaka wazee waliostaafu. Nafsi zinalia kwani aliyeondoka alivunja daraja lililokuwepo kati ya Uongozi wa juu na mwananchi wa kawaida....
Acha mikwara wewe, mama Samia ndiye amiri jeshi muu sasa hivi, na ataongoza nchi kadri kwa style yake sio lazima amuige Magufuli, Magufuli ameshakufa.
Magufuli ali reverse vitu vingi vya Kikwete tu alivyoona havipo sawa, Mwinyi pia ali reverse vingi vya Nyerere ambavyo aliamini havipo sawa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete n.k
Ccm chama cha wababe wana taka kumchagulia makamu wa rais. Wakati yeye ndie ataje anae taka halafu Ccm ilipitishe hilo jina..Tunakuamin Mama yetu(Rais wetu) na hakika utaweza kutuvusha hapa tulipo kutupeleka mbalia zaid,Una uzoefu wa uongozi ktk nchi hii na utendaji kazi wa watu wako,hivyo Chagua Makamu wa rais umtakaye na sio wa kwenye Magazeti au Social media!..TUNAKUOMBEA DUA MAMA YETU!
Huu ushauri mbovu... unajua ni kiasi gani hiyo mradi ishagharimu taifa ?Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa...
Hakuna binadam aliyekamilika MAMA YETU naamin ni mpenda ushaur kwahiyo tuache tutumie mabando yetu kwa gharama zetu kumshaur Mama inakuuma nini,siku za nyuma tulikuwa hatuna uwezo wa kushaur lakin kwa sasa tuko huru kwahiyo tuache tushaur tunavyotaka!,Kama imekuuma sana kumshaur mama Zima data ukae pembeni!Kwani yeye mwenyewe hafahamu kuhusu hilo mpaka umshauri wewe?
yaan wewe ndio bure hamnzo.unaposema unataka maendeleo ya watu na sio vitu ,ujinga wako huu ungepost vipi kama ttcl haikutandaza mkongo wa taifa?Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa...
Loh, ndugu yangu, huna unaloelewa: Miaka 10 ni muongo mmoja, wala siyo awamu. Awamu ni kipindi maalum alichokaa Raisi madarakani. Mfano awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere ni miaka 24. Tukitaka kukubaliana na wewe, Nyerere aliongoza/alitawala awamu ngapi?Siyo awamu ya sita mkuu,Rais wa sita awamu ya tano. Awamu ni miaka kumi
Unataka kuonaabomba ya maziwa na asali nchi nzima si ndio??Maziwa na Asali