Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mama Samia ,
Nikupongeza kwa dhati kwa kuapishwa kuwa Raisi wetu wa JMT.Hakuna ubishi ya kwamba umepokelewa kwa kishindo na makundi yote hata yale ambayo kimsingi yamekuwa makundi pinzani tangia mwaka 1992...
Amepokelewa hivi unavyohisi kwa vile ni MAMA. Hakuna mtoto asiye na Imani kwa Mama yake..

Tunaimani anaweza pambana na ushetani wa mCCM mengi manaume tangu uhuru.

Only that.. Nothing else.
 
CHADEMA kwisha habari yao.

2025 Mama anashinda kwa zaidi ya asilimia 80.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
 
Mhe Mama Samia, Salaam!
Ni pongezi za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni pole kwa kupoteza kiungo muhimu ktk safu yenu ya uongozi.

Pili, nashauri kwa asilimia 75 ufanye maamuzi yako mwenyewe ilimradi nafsi yako ikushuhudie kwamba una nia njema dhidi ya watanzania maskini - nimesema hayo sababu kwa vyovyote waliokuzunguka ni wanamitandao ya Urais wa mwaka 2025. Hata ktk nafasi ya Makamu wako watakushauri kwa mtizamo huo.

Tatu, kuwa mkali na usikubali kuyumbishwa - waliokuzunguka ni wajanja sana wakiona wamefaulu kubadili upepo wa Makamu wako tayari kitambo watakusaliti ili wapate Urais "Tanzania haihitaji wanamitandao ya madaraka bali wachapa kazi ya watu maskini".

Msakila M Kabende
Kigoma - 2021
 
Umesahau kuweka nambari zako za rununu ili ukitokea uteuzi uitwe kirahisi.
 
Ni jambo la kushangaza kuona wale waliosababishia taifa letu umasikini wa ajabu, leo ndio wanakuwa sehemu ya kutengeneza serikali.
 
Ushauri wangu kwa mh.rais samia ni 1) kuruhusu uhuru wa vyombo vya habari,uhuru wa vyama vya kisiasa kufanya na kunadi sera zao bila bugudha,kamatakamata ya wasiokubaliana na sera za serikali ziachwe,kufukuza watumishi au kuwalaumu hadharani kusitishwe(haki za binadamu),

kuigeuza SGR kuwa ya kibiashara zaidi kwani kutaisaidia bandari ya dar kuondoa mizigo haraka hivyo nchi nyingi za jirani zitapenda kuitumia bandari yetu,kujengwe bandari nyingi kavu morogoro kuhifadhi mizigo hiyo,kuwahimiza mama lishe wakalime kwa kuwapatia mashamba na mikopo ya matrekta ili waache kukaa juani kutwa kuuza zambarau,

kuongeza mishahara,kuwapunguzia wafanyabiashara makodi ya kubambikwa,kuwalinda wasanii kwa vituo vya redio,TV n.k kuwalipa kutokana na thamani za nyimbo au maigizo yao.kwa mfano msanii wa nyimbo za kizazikipya anapotoa album yake iendane na thamani ya nyimbo.kwa mfano pana wasanii wengi nyimbo zao zinapendwa sana hivyo moja kwa moja market price inapanda na walipwe pesa inayolingana na kazi zao,

kuhusu michezo Baraza la michezo la taifa livunjwe na kila chama cha mchezo kiboreshe mchezo husika kuanzia mashuleni.jamani uchumi wa kati maanake GDP ya kila mwananchi inapanda.aliyekuwa akipata laki 2 kwa mwezi sasa apate laki 8,tuboreshe hospitali zetu,shule zetu zitoe elimu bora sio bora elimu,waalimu wapewe mishahara kuanzia milioni,madaktari,

wauguzi vivyo hivyo pamoja na sekta zingine.mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu itolewe kwa mujibu wa utaratibu,wanaomaliza masomo vyuoni wahakikishiwe ajira serikalini na kwenye sekta binafsi.

wale wasiotaka kuajiriwa wasaidiwe kuanzisha miradi kutokana na taaluma zao.huu ndio uchumi wa kati kwa kifupi.
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3.Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4.Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5.Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7.Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8.Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
8:Sawa ka Mkubwa mana nimeona washaanza kuitumia baadhi ya makampuni ili kujinufaisha wao
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa....
Namba tatu tafadhalii tafadhalii
 
Back
Top Bottom