guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
pamoja Santa
vitu vya msingi ni vipi?
vitu vya msingi ni vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi za hotuba za huyu Rais akiwa makamu wa Rais zinaonesha hana tofauti na mtangulizi wake, kasoro tu yaweza kuwa ni approach.Kabla hali haijawa mbaya, hebu toa neno!
Kama sijasahau vizuri, uongozi wa aliyetutoka uliishiakwenye siasa za aina hiyo!..
Usitegemee Jambo jipya kutoka ccm.RUSTEM PASHA
nakubaliana na wewe!
lakini huoni utaratibu huu wa ukamataji hauna tofauti na aina za ushughulikiaji wa mambo wa kisheria ya awamu ya tano,ambao karibu 70% ulikuwa ukihegemea kwenye itikadi za kisiasa?
Majinga kweli hayo majamaaNyie wapiga kelele, hivi mnamuona huyu Rais ni mwepesi? Mnadhani mtamuendesha wanavyotaka Wasaliti?
Wapuuzi wakubwa
Mpaka sasa hivi, zimelipwa shilingi ngapi kati ya bilioni mia saba, (700,000,000,000/=)?Namba tatu tafadhalii tafadhalii
haha hii kauli bwanaMabeberu Hawatupendi