Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nimemwona mzee Mangula jinsi alivyozungumza kaonesha kuwa ana wasiwasi na huyu Rais wetu. Hofu yangu kuna uwezekano wa kuingiliwa na kupangiwa majukumu na baadhi ya wahuni waliopo CCM kwa kisingizio cha kumsaidia kasi kama ya Magufuli. Chondechonde watanzania tuwe makini na hawa watu, wajaribu kmwacha huyu mama atufikishe salama. Naona kuna kagenge kanaundwa ka majungu majungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe sina imani na huyu mama.
 
Nimekuelewa Sana hapo.
''Anakufa Rais anatangaza kifo Makamu wa Rais halafu ndie yeye huyo huyo anakuwa Rais Kamili bila process yoyote ya kidemokrasia ni hatari sana kwa Rais aliyepo madarakani ’'
Ni kwa mujibu wa katiba mzee
 
Mama yetu Mh. Rais Samia tayari baadhi ya wanyalokole wameanza ,sijui niiteje,ila kuna mtando uliandika wanadai Mh.Rais MamaSuluhu ni Rais wa katiba na si Rais wa watanzania.ninajua wanamaanisha nini.itakubidi uache porojo za baadhi ya wanasiasa na uanzishe slogan yako kama ambavyo marais waliokutangulia walivyofanya.Hayati JPM bila ya kujali chochote alisimamisha kama sio kuifuta miradi mingi ya Mh Rais mstaafu Kikwete.

Kwa ufupi ni bandari ya bagamoyo.mradi huu ulikuwa na manufaa makubwa.Sasa mpira upo kwako.Nakuomba sana usiige ya watangulizi wako.utashindwa tu.pia utazame ni madeni.kwa kujibu wa gazeti la financisl times la uingereza,si kweli miradi yote na bajeti pesa za ndani.mfano SGR riba au interest ni 22%.ukipiga hesabu ni pesa nyingi sana zitalipwa kama interest.

Anza kwa kudumisha umoja na mshikamo kwa kuwaruhusu vyama vya upinzani uhuru wa kueleza sera zao,kuachia uhuru wa vyombo vya habari n.k.demokrasia ichukue mkondo wake. Uhudhurie mikutano ya kimataifa kama ya DAVOS,UN annual assembly n.k,ipige vita hili gonjwa linalotumaliza la corona kwa wewe kuanza kuvaa barakoa,kukubaliana WHO kuhusu chanjo,kutowakandamiza wafanyabiashara kwa kuwabambikia makodi kibao,kuanza mchakato wa katiba mpya kama wenzetu wa jirani,hili pia litakusaidia kwani mawaziri,majaji na viongozi wengine watawajibika kwa Bunge.

Mawaziri hawatakua wabunge.jopo maalum litawasaili kila mmoja kutokana na taaluma yake.kwa hili utapata timu nzuri sana.haya ni mawazo yangu ingawa ninayo mengi.Naomba kuwasilisha.
 
Mama yetu Mh.Rais Samia tayari baadhi ya wanyalokole wameanza ,sijui niiteje,ila kuna mtando uliandika wanadai Mh.Rais MamaSuluhu ni Rais wa katiba na si Rais wa watanzania.ninajua wanamaanisha nini.itakubidi uache porojo za baadhi ya wanasiasa na uanzishe slogan yako kama ambavyo marais waliokutangulia walivyofanya.Hayati JPM bila ya kujali chochote alisimamisha kama sio kuifuta miradi mingi ya Mh Rais mstaafu Kikwete.Kwa ufupi ni bandari ya bagamoyo.mradi huu ulikuwa na manufaa makubwa.Sasa mpira upo kwako.Nakuomba sana usiige ya watangulizi wako.utashindwa tu.pia utazame ni madeni.kwa kujibu wa gazeti la financisl times la uingereza,si kweli miradi yote na bajeti pesa za ndani.mfano SGR riba au interest ni 22%.ukipiga hesabu ni pesa nyingi sana zitalipwa kama interest.Anza kwa kudumisha umoja na mshikamo kwa kuwaruhusu vyama vya upinzani uhuru wa kueleza sera zao,kuachia uhuru wa vyombo vya habari n.k.demokrasia ichukue mkondo wake.Uhudhurie mikutano ya kimataifa kama ya DAVOS,UN annual assembly n.k,ipige vita hili gonjwa linalotumaliza la corona kwa wewe kuanza kuvaa barakoa,kukubaliana WHO kuhusu chanjo,kutowakandamiza wafanyabiashara kwa kuwabambikia makodi kibao,kuanza mchakato wa katiba mpya kama wenzetu wa jirani,hili pia litakusaidia kwani mawaziri,majaji na viongozi wengine watawajibika kwa Bunge.Mawaziri hawatakua wabunge.jopo maalum litawasaili kila mmoja kutokana na taaluma yake.kwa hili utapata timu nzuri sana.haya ni mawazo yangu ingawa ninayo mengi.Naomba kuwasilisha.
Huyu aliishia la ngapi? Yaani utadhani bata mzinga alikuwa anapita!
 
Kessy, Nkamia, Sanga msukuma masanja waendelee na mchakato wa kubadili katiba uendelee atawale milele
 
Wengi wamekuwa wakitaka kuku-prempt -
Anzia na Bunge wanatakiwa wabadili ratiba yao wakupe nafasi nzuri ya kuangalia mipango yenu ya Serikali iliyoandaliwa na Dr. Mpango na Katibu wake Doto James. Usikubali kuendelea hivyo hivyo.

Subirisha hata kidogo tu. Angalia Zaidi yale mambo ya kuleta umoja na uchangamfu kwenye jamii - issue ya kutopanda mishahara hata walala hoi na wanyonge wangefurahia ipande ili nao wapate wateja wenye nguvu kidogo. Hali ni mbaya na ni hakuna mpango ulioangalia hilo. Kumbuka 2025 utakuwa mgombea, mwenzio alikuwa hana cha kupoteza sababu ilikuwa ni kipindi chake cha mwisho.

Serikalini - angalia na chagua Mwanasheria Mkuu anayekufaa- hiy nafasi ni ya mutual understanding na kila Rais huchagua Mwanasheria anayemwamini moyoni. Ni rahisi sana kuingizwa mkenge na mtu ambaye huna uhakika kama mna mutual understanding naye. Ikiwezekana anza hilo leo - Prof Kilangi ana elements za ukanda - kushauri na kutetea kilicho kinyume cha Sheria na hata kinachovunja Katiba.

Mawaziri vivyo hivyo - yawezekana ulishiriki au kushirikishwa wakati wa uteuzi wao lakini je wanakufaa wote. Chukua hatua mapema usisubiri sana manake kwa kipindi kifupi utakachowaacha wanaweza wakafanya vitendo ambavyo vitakuchafua wewe. Hapa unaweza itisha Baraza la Mawaziri haraka wakaja kila mmoja na briefing ya kinachofanyika wizarani kwake then ukatathmini na mwishowe ukachukua maamuzi.

Usiruhusu mambo ambayo hukushiriki au kushirikishwa yanayofanywa na Mawaziri yaendelee kabla ya kupata taarifa yake. Sio majungu ila lolote lisilo jema linaweza fanyika kwa sasa. Panga Timu yako wewe mwenyewe hata kama utawarudisha hakikisha wanaapa mbele yako wewe mwenyewe - wasiendelee na kiapo cha Mtangulizi wako kwani wataendelea kukitambua hicho na kukuona hufai kwa kuwa tu Katiba haijaweka wazi sana uendelezo wao wa uWaziri walioushikilia.

Kuhusu Makamu wa Rais na hata Waziri Mkuu siwezi kukusemea hapa manake ninajua lipo Kikatiba Zaidi na linafanyiwa kazi. Nimeyasemea hayo mengine kwa sababu ninaona dalili za wewe kukupre-empty kuanzia kwa Mkuu wa Majeshi ambaye ni kama ana uhakika ataendelea na kukujuza kuwa ana maagizo yako.​
 
Sikutaka ujumbe wangu huu uunganishwe hapa!
 
Tumuombee mama Samia ili apate hekima akatende bila uonevu na ubaguzi.
 
Kuhusu Makamu wa Rais na hata Waziri Mkuu siwezi kukusemea hapa manake ninajua lipo Kikatiba Zaidi na linafanyiwa kazi. Nimeyasemea hayo mengine kwa sababu ninaona dalili za wewe kukupre-empty kuanzia kwa Mkuu wa Majeshi ambaye ni kama ana uhakika ataendelea na kukujuza kuwa ana maagizo​
 
Afute vpn kwanza kule Twitter.

Twitter gulio imeluwa changa moto sana kisa tu wanatuwekea vpn sababu ya mtu mmoja.

Kweli mtu mmoja anayesambaza uongo anasababisha wametufumgia Twitter sehemu ambayo tulikuwa tunafanya sana mabiashara
 
Back
Top Bottom