barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Msianze kupoteana tu baadae joto litakapozidi jikoni...Hakuna ukali wala hasira...ni maneno laini yenye kuvutia na kueleweka pia
Sio yale ya baki na mavi yako nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msianze kupoteana tu baadae joto litakapozidi jikoni...Hakuna ukali wala hasira...ni maneno laini yenye kuvutia na kueleweka pia
Sio yale ya baki na mavi yako nyumbani
Unateseka ukiwa Chato au wapi ndugu yangu??Msianze kupoteana tu baadae joto litakapozidi jikoni...
Nikiwa ufipa...spana ni zile zile kama mmesahau chadema basi mida utafika mtarudinkwenye reli...Unateseka ukiwa Chato au wapi ndugu yangu??
Hivi akili mlimpa Marehemu akazikwa nazo et???Nikiwa ufipa...spana ni zile zile kama mmesahau chadema basi mida utafika mtarudinkwenye reli...
Inapendeza mnafirahia ya sisiemu, safi sana!
Mmeanza!! 😇Mama nizawadi kutoka kwa Mungu
Lets wait and see. Wewe ndiye utakuwa wa mwanzo kumnang'a hasa atakapoanza kutoa vibali vya watu wa JK wasilipe kodi. Ni uungwana kuweka akiba ya maneno si kukurupukaMama anaanza vizuri zama za ubabe zinaelekea ukingoni
Wewe ulisingiziwa kesi gani?Kwakweli kanikosha leo mama tulikiwa tunateseka kwa kubambikiwa kesi za uongo!
Mungu akubariki Mama SSH
Lugha lainiAna busara saana mamahuyu, amenifurahisha sana. Mungu azidi kumjaalia mamayetu Samia
Akikosea atakosolewa hata hayati alianza vizuriLets wait and see. Wewe ndiye utakuwa wa mwanzo kumnang'a hasa atakapoanza kutoa vibali vya watu wa JK wasilipe kodi. Ni uungwana kuweka akiba ya maneno si kukurupuka
Ulisingiziwa au hiyo nyapu uliichakata kweli?Rushwa ya kupiga nyapu
Pia nakukumbusha kwakuwa mamlaka imeshikiliwa na mwanamke basi tuchague maneno ya kutumia/heshima kwa viongozi wetu,Kikawaida nyumba haitakiwi kuongozwa na mwanamke ila kwa ubovu wa mifumo yetu Leo tunaongozwa na mwanamke
Mama ni mtu wa haki. Serikali ya mwenda zake ilikuwa ya masifa na uonevu. Kila kesi ni uhujumu uchumi ili ukae mahabusu. Asante Mh. Rais kwa kuona hili. Wengi sasa wata toka.Mh Raisi mama Samia anasema takukuru waangalie Kama kuna kesi za kubumba bumba wasizipeleke mahakamani
Zinaichafua serekali hongera mama kwa kutambua"wanyonge walikuwa Wana nyongwa kweli"
Kesi nyingi ni zao la kujipendekeza so dhani hata Kama hayati alikuwa anafurahia