Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Leo mwishoHivi zile siku 21 zimeisha au bado jamanii..!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mwishoHivi zile siku 21 zimeisha au bado jamanii..!??
KweliLeo mwisho
Hata akiongoza kwa miaka 2 yenye mafanikio inatosha kuliko hata 10 ya matesoSio masihara nimemwelewa sana huyu mama,sema namuonea huruma 2025 haezi penya chamani tena
4 hii inamtosha, atupe furaha iliyopoteaMitano mingi kwa mama, amani na upendo
Mtamu umemla tayari?
Vijana wa siku hizi hamna heshima kabisa. Mbali ya kuwa Rais wa nchi pia ana umri zaidi au kama mama yako.Analika kwani?
Nilitegemea mabaharia kama wewe hapa[emoji1787]
Asiwe na pupa ya kufanya kila kitu, maisha ni muhimu kuliko pupa na tamaa za vitu vikubwa4 hii inamtosha, atupe furaha iliyopotea
Jiwe hana hamu na wadanganyikaTengua kauli.
Mama mtamu, nani kakuambia?
Hatutaki masihara kwa kipenzi chetu, masihara peleka kwa farao Jiwe
PoleVijana wa siku hamna heshima kabisa. Mbali ya kuwa Rais wa nchi pia ana umri zaidi au kama mama yako.
Vitendo mbona tayari ameshafanya mfano kufungulia vyombo vya habari na hata twitter juzi kati alifungua sijui nani akafunga tenaMimi nasubiria vitendo! Maana kama ni maneno matamu tu, hata kwenye kanga yapo!
All in all, namtakia kila la heri. Muhimu asikengeuke tu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
Atutumikie....aepuke kunyanyua mabegaasiwe na pupa ya kufanya kila kitu, maisha ni muhimu kuliko pupa na tamaa za vitu vikubwa
Leo ni siku nyingine tena Rais Samia Suluhu aka Mama amepata wasaa wa kuhutubia wateuzi na taifa kwa ujumla.
Hotuba yake imesheheni matumaini mapya, lugha laini na rahisi kueleweka na kila mtu.
Mama ameonyesha kuifahamu nchi na matatizo yake kwa ujumla.
Amegusia karibu nyanja zote za kijamii, kiuchumi nakadhalika.
Huko kote ameonyesha kuwa naye anahitaji kuona mabadiliko hasa katika huduma bora.
Jambo lingine muhimu zaidi amwonyesha kuwa pamoja na kufukua cv za wateule wake pia hufuatilia sana maoni ya wananchi kupitia mitandao ya kijamii, hii ni habari njema kabisa kuwa wengine tusiokuwa na access naye moja kwa moja tutakutana mitandaoni.
Jambo lingine muhimu ni kuqgiza vyombo vya habari vilivyofungwa vifunguliwe ili asionekane anakandamiza uhuru wa habari...hongera nyingi.
........MAMA SAMIA NI MTAMU......
Nimwtumia kauli hii nikimaanisha kuwa Mama amevuta hisia za wengi kumaikiliza, lugha yake na lugha ya mwili/body language vinafufua matumaini mapya kwa wengi wafanyabiaahara, wakulima na wafanyakazi.
Tangu aapishwe kuwa rais wa JMT anga la Tanzania limekuwa jepesi mno, kuna tumaini jipya, mwelekeo mpya na amani ya moyo.
Mambo haya machache yamwnifanya nimuone kuwa huyu mama ni Mtamu.
ANGALIZO KWA MAMA
1. Utaimbiwa kila nyimbo tamu/praise and worship na kila kada hadi nyumba za ibada
2. Utaitwa mteule wa Mungu
3. Tutajikomba sana
Nakuomba usilewe sifa zetu.
Sisi hawahawa tunaokusifu ipo siku tutakupeleka msalabani kukusulubu uchi na viboko juu.
Kukwepa hili jitahidi kuyaishi haya unayoyahubiri itakusaidia usisulubiwe sana.
Mungu akutie nguvu
Jiwe kwishnei.jiwe hana hamu na wadanganyika
Nawa-ZoomMbona Meko alikua anaongea ujinga mutupu? Waanake weupe blah blah. Samia ndio rais yule kiongozi wa maraika kapangiwa kazi ingine
Nawa-Zoom1. Unataka kupanuliwa?
2. Wanawake weupe nawasikiliza haraka
3. Kabaki na mavi yako nyumbani
4. Huo mguu wako mwingine uko vizuri? (akiongea na kilema wa miguu).
5. Nitapiga mashangazi wenu
6. Mke wangu ananipatia kweli muda wa kunieleza shida zenu nyie walimu, wajati wa chakula cha usiku
7. Tetemeko serikali ndiyo iliyorireta?
8. Wewe mwanmke unalia vizuri sana
Jiwe huyo